Mange Kimambi, mmoja wa wahamasishaji wakuu wa maandamano makubwa yaliyopelekea umwagaji damu Oct 2025, amewashutumu CHADEMA kwa kuendesha mikutano "yenye vibe" za miziki ya bongo fleva ikiwemo nyimbo za "Wanamwita Sugu."
Amewaasa CHADEMA kwamba hakuna mwananchi atajipeleka kwenye hatari za maandamano kama kwenye mikutano yao wanakuja kupata burudani - mambo ambayo ameyaita ni ya CCM - badala ya kugushwa mioyo yao kwa vilio na maombolezo ya mauaji ya mwaka jana.
Mwanaharakati huyo pia hakufurahishwa na matukio ya kula bata, ku have fun na kuchinja ng'ombe baada ya CHADEMA kufunguliwa.
Kwa sasa, Mange amesema, wananchi hatutaki kisikia masuala ya ku have fun, wala mikutano ya vaibu.