denoo G
JF-Expert Member
- Apr 4, 2026
- 1,590
- 4,952
Kwani Sugu hapo alikuwa anacheka na waliomuua mama yake?Unafiwa na wazazi na bado unacheka maishani. Unacheka na aliyemuua mama yako ??? Use your noodles.
Unataka Sugu awanunie mpaka waliohudhuria huo mkutano?
Acheni hizi habari zenu.