Muziki unatumika kuitisha watu wakati wakisubiri muda wa mkutano ufike,
Msibani kuna mziki lakini hakuna mziki wa "Wanamwita Suguuuu."Hata vitani kuna bendi za Muziki. Mfano Vita ya Kagera, Kapteni Komba allikuwa akitumbuiza Vitani. Chadema wana nyimbo zao ambazo zinatoa ujumbe kutokana na wanachokifanya.. Nadhani Kimambi asijikite na siasa za ndani ya chama.
Hata msimbani kuna Muziki
Kumbe ni Sugu...Sio kweli kwamba walikuwa wanasubiri watu.
Mwimbo ulipigwa mzungumzaji akiwa tayari jukwaani amesimama, yani Sugu, na yeye aka densi jukwaani.
Labda iseme DJ alimu ambush na mziki. Ikabidi acheze.
Mara chache chache nimwemwona Lissu akim shut down DJ anapochomekea vaibu ambazo Lissu hazitaki. Sugu angeweza kuzi shut down vaibu za DJ.
TUMEULIWA, HATUKO KWENYE SHEREHE
Umenikumbusha Dr. Remmy.Msibani kuna mziki lakini hakuna mziki wa "Wanamwita Suguuuu."
Mange asijikite kwenye siasa za ndani za chama lakini wewe unaweza kujikita ??? Kwani we nani kwenye chama ??? Kwa nini Mange asijikite ?
Wananchi tunataka CHADEMA watusikilize tunachokitaka kwa sasa.
WE AIN'T TRYING TO HEAR THAT BONGO FLEVA HORSE SHIT. THAT IS CCM SHTICK.
WE WANT SUBSTANCE. WE WANT PRESSURE CAMPAIGNS TO HOLD KILLERS OF TANGANYIKANS TO ACCOUNT
Wanaharakati wanataka muwe kwenye mode ya mlipuko muda wote, yaani mvimbe mkiguswa mpasukeSioni shida katika hilo, huyo MANGE kapuyanga
Yale ya 29 yametokea ndugu zetu wameuawa, maisha yanaendelea, tunawakumbuka na inatuumiza, lakini sio kiasi cha hata mikutano ya siasa watu wasipige kamziki, hatwendi hivyiWanaharakati wanataka muwe kwenye mode ya mlipuko muda wote, yaani mvimbe mkiguswa mpasuke
Mange mjaza chuki hataki, anataka mvimbe red hotYale ya 29 yametokea ndugu zetu wameuawa, maisha yanaendelea, tunawakumbuka na inatuumiza, lakini sio kiasi cha hata mikutano ya siasa watu wasipige kamziki, hatwendi hivyi
Hilo haliwezekani.Mange mjaza chuki hataki, anataka mvimbe red hot
Sasa pakipoa wao hawaliHilo haliwezekani.
Hili nakupingq, mie najua wewe ni mnazi wa CCM mimi niko huru, hatuwezi jadili kituSasa pakipoa wao hawali
Wewe mnazi wa chadema,mange alitangaza rasmi 2024 kuacha kuuza udaku anahamia kwenye siasa,ule udaku sometimes akipost connection ya mastar alikua akipiga hadi 150m,kwa nini aliacha?.. kwenye siasa kungemlipa zaidi,ndiyo hoja yenye mantiki hapoHili nakupingq, mie najua wewe ni mnazi wa CCM mimi niko huru, hatuwezi jadili kitu
Unafiwa na wazazi na bado unacheka maishani. Unacheka na aliyemuua mama yako ??? Use your noodles.watu tunafiwa na wazazi lakini hilo haliwezi kuwa chanzo cha kutufanya tusicheke tena maishani,
Vyovyote vile akili yako inavyokutuma, katika rekodi zangu za maisha nimepiga kura mara 1 tu kati ya 5 zote, na nilimpigia magufuli.Wewe mnazi wa chadema,mange alitangaza rasmi 2024 kuacha kuuza udaku anahamia kwenye siasa,ule udaku sometimes akipost connection ya mastar alikua akipiga hadi 150m,kwa nini aliacha?.. kwenye siasa kungemlipa zaidi,ndiyo hoja yenye mantiki hapo