Mange Kimambi aichana CHADEMA kwa kufanya burudani za Bongo Fleva na kuchinja ng'ombe wakati tuna majonzi

Unafiwa na wazazi na bado unacheka maishani. Unacheka na aliyemuua mama yako ??? Use your noodles.
Kwani Sugu hapo alikuwa anacheka na waliomuua mama yake?

Unataka Sugu awanunie mpaka waliohudhuria huo mkutano?

Acheni hizi habari zenu.
 
Stupid mindset.

Tunapiga na kucheza miziki kwenye misiba.

Tunakula na kunywa kwenye misiba.

Kipi ni kipya hapo? Au yeye tangu baada ya mo29, Haja toambwa huko USA?
 
Sioni shida katika hilo, huyo MANGE kapuyanga
Mange, anasema viongozi wa cdm ni waoga wanaogopa kuitwa polisi, ila yeye kakimbia nchi kabisa! Yaani anawajaza watu kama wajinga,ilitakiwa aende bongo aongoze maandamano,sio kuwajaza wengine akiwa mbali.viongozi wa CDM wakijazwa wakafuata asemacho bila kujongeza,imekula kwao.
 
Kwenye hili la kuandama sitaki kuamini watanzania wanashikiwa akili na mange, viongozi wajitathmin, wizi, ufujaj mali za umma, matumizi mabovu ya madaraka, uchumi kuwa mbaya, ukosefu wa haki nchini na mambo mengi ndio yanachangia vmchuki na hasira kwa raia...

Unadhani mambo yangekuwa yamenyooka nani angeandamana..
Tizama iran wale wamechochewa mpaka na taifa kubwa duniani marekani na raia wengi wakaamua kuwa upande wa serikali..
Tusiwe wanafiki ni vile tunaogopa kufa lakini kila mmoja kimoyo moyo anachukia uongozi wa nchi hii, watu wamegeuza mali za taifa ni zao binafsi.. afya, elimu, miundombinu kila kitu tabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…