Kama hawafugi uhalifu then,ni muda Sasa huyu dada apelekwe kny vyombo vya sheria....Marekani haifugi wahalifu.
Kama mhalifu ana kesi ya kujibu huko anakotoka atapatikana tu.
Tatizo humu wengi hata hawaijui vizuri Marekani.
Wanachojua ni umbea tu, basi.
Kama hawafugi uhalifu then,ni muda Sasa huyu dada apelekwe kny vyombo vya sheria....
MAGUFULI please,if you don't do something, next it will be You!
I do still think serikali ikiamua,itamkamata tu, hata km yuko huko Tandahimba...!Tofautisha USA na England.
katika nchi iliyojaa uwenda wazimu duniani ni USA, kama mgombeaa Urais anatoa matusi, mwananchi wa kawaida itakuajee??
England ni jamii moja yenye utamaduni wa kuheshimianaa, ni taifa lililozalisha ustaarabu na taratibu nyingi hapa duniani.
USA ni mixer of different cultures, uhuru wao umezidi mipakaaa
wka sheria ya mtandao amefanya uhalifu, anastahili kukamatwa.Lakini kwani huyo dada kafanya uhalifu?
Mkuu kuna ajenda ya viwanda, kuhamia dodoma, watumishi hewaa, EPAKama hawafugi uhalifu then,ni muda Sasa huyu dada apelekwe kny vyombo vya sheria....
MAGUFULI please,if you don't do something, next it will be You!
Lazima lipo la Ziada aisee sio kawaidaHizi personal attack za Mange kwa Paul ni sababu za kisiasa au kuna mengine?
Sheria ya mtandao ipi? Ya marekani au yetu?wka sheria ya mtandao amefanya uhalifu, anastahili kukamatwa.
Sizonje ndo nani?Huyu binti anataka kufanya mchezo wa kitoto na sizonje..
Hahaaaa mkuu umenichekesha ujue,hivi wewe unaamini kuna viwanda vinakuja hahaaaaaaa endelea kuota lol bora tubaki hukuhuku kny petty issues hahaaa umenichekesha sana, mkuu ubarikiweMkuu kuna ajenda ya viwanda, kuhamia dodoma, watumishi hewaa, EPA
Unataka tuhamishe nchi kwa Mangee?
Kweli suala hili apelekewe Magufuli????
Unaniangusha mkuu
hata ya tanzania anshitakika tu kwasababu amemdhuru mtu wa tz. jamhuri ya tz inayo dhamana kuwalinda raia wake kama mtu akidhuriwa na mtu mwingine hata kama si raia wanatakiwa kumshughulikia kwa kumlinda raia wao. amefanyia kosa hili kwa mtu wa tz, aliyedhurika ni mtu wa tz aliyekuwa tz, hivyo anashitakika vizuri tu.Sheria ya mtandao ipi? Ya marekani au yetu?
wka sheria ya mtandao amefanya uhalifu, anastahili kukamatwa.
Asantee mkuuHahaaaa mkuu umenichekesha ujue,hivi wewe unaamini kuna viwanda vinakuja hahaaaaaaa endelea kuota lol bora tubaki hukuhuku kny petty issues hahaaa umenichekesha sana, mkuu ubarikiwe
Kuambiwa huna watoto ndio umedhurikaa?hata ya tanzania anshitakika tu kwasababu amemdhuru mtu wa tz. jamhuri ya tz inayo dhamana kuwalinda raia wake kama mtu akidhuriwa na mtu mwingine hata kama si raia wanatakiwa kumshughulikia kwa kumlinda raia wao. amefanyia kosa hili kwa mtu wa tz, aliyedhurika ni mtu wa tz aliyekuwa tz, hivyo anashitakika vizuri tu.
Achana na hao. Wewe tangaza neno liendalo na AZUSA STREEThata ya tanzania anshitakika tu kwasababu amemdhuru mtu wa tz. jamhuri ya tz inayo dhamana kuwalinda raia wake kama mtu akidhuriwa na mtu mwingine hata kama si raia wanatakiwa kumshughulikia kwa kumlinda raia wao. amefanyia kosa hili kwa mtu wa tz, aliyedhurika ni mtu wa tz aliyekuwa tz, hivyo anashitakika vizuri tu.
Nadhani Mange ni smart kuliko tunavyomchukulia, kuna kila dalili anatafuta status ya mkimbizi wa kisiasa marekani baada ya mume wake kumkalia kooni.
Uzima ni majaaliwaTuombe mungu atupe uzima ili siku adhabu zikimkuta tushuhudie wote ili iwe fundisho kwetu pia.
nenda insta kachukue nambaMwenye namba ya mange anisaidie ili nimshauri maana kipindi tuko o level alinipenda sana