Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Marekani haifugi wahalifu.

Kama mhalifu ana kesi ya kujibu huko anakotoka atapatikana tu.

Tatizo humu wengi hata hawaijui vizuri Marekani.

Wanachojua ni umbea tu, basi.
Kama hawafugi uhalifu then,ni muda Sasa huyu dada apelekwe kny vyombo vya sheria....

MAGUFULI please,if you don't do something, next it will be You!
 
Tofautisha USA na England.
katika nchi iliyojaa uwenda wazimu duniani ni USA, kama mgombeaa Urais anatoa matusi, mwananchi wa kawaida itakuajee??
England ni jamii moja yenye utamaduni wa kuheshimianaa, ni taifa lililozalisha ustaarabu na taratibu nyingi hapa duniani.
USA ni mixer of different cultures, uhuru wao umezidi mipakaaa
I do still think serikali ikiamua,itamkamata tu, hata km yuko huko Tandahimba...!
 
Kama hawafugi uhalifu then,ni muda Sasa huyu dada apelekwe kny vyombo vya sheria....

MAGUFULI please,if you don't do something, next it will be You!
Mkuu kuna ajenda ya viwanda, kuhamia dodoma, watumishi hewaa, EPA
Unataka tuhamishe nchi kwa Mangee?
Kweli suala hili apelekewe Magufuli????
Unaniangusha mkuu
 
Hahaaaa mkuu umenichekesha ujue,hivi wewe unaamini kuna viwanda vinakuja hahaaaaaaa endelea kuota lol bora tubaki hukuhuku kny petty issues hahaaa umenichekesha sana, mkuu ubarikiwe
 
Sheria ya mtandao ipi? Ya marekani au yetu?
hata ya tanzania anshitakika tu kwasababu amemdhuru mtu wa tz. jamhuri ya tz inayo dhamana kuwalinda raia wake kama mtu akidhuriwa na mtu mwingine hata kama si raia wanatakiwa kumshughulikia kwa kumlinda raia wao. amefanyia kosa hili kwa mtu wa tz, aliyedhurika ni mtu wa tz aliyekuwa tz, hivyo anashitakika vizuri tu.
 
Hahaaaa mkuu umenichekesha ujue,hivi wewe unaamini kuna viwanda vinakuja hahaaaaaaa endelea kuota lol bora tubaki hukuhuku kny petty issues hahaaa umenichekesha sana, mkuu ubarikiwe
Asantee mkuu
Vitu kama hivi huja na kupoteaa, tutasahauu
 
hata ya tanzania anshitakika tu kwasababu amemdhuru mtu wa tz. jamhuri ya tz inayo dhamana kuwalinda raia wake kama mtu akidhuriwa na mtu mwingine hata kama si raia wanatakiwa kumshughulikia kwa kumlinda raia wao. amefanyia kosa hili kwa mtu wa tz, aliyedhurika ni mtu wa tz aliyekuwa tz, hivyo anashitakika vizuri tu.
Kuambiwa huna watoto ndio umedhurikaa?
Ingekuwa kadanganya tungesema kamdhalilisha, lkn habari ndio hiyooo
 
hata ya tanzania anshitakika tu kwasababu amemdhuru mtu wa tz. jamhuri ya tz inayo dhamana kuwalinda raia wake kama mtu akidhuriwa na mtu mwingine hata kama si raia wanatakiwa kumshughulikia kwa kumlinda raia wao. amefanyia kosa hili kwa mtu wa tz, aliyedhurika ni mtu wa tz aliyekuwa tz, hivyo anashitakika vizuri tu.
Achana na hao. Wewe tangaza neno liendalo na AZUSA STREET
 
Nadhani Mange ni smart kuliko tunavyomchukulia, kuna kila dalili anatafuta status ya mkimbizi wa kisiasa marekani baada ya mume wake kumkalia kooni.
 
Back
Top Bottom