Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ukiona hajakamatwa jua serikali imeshindwaa.
Ulichoandika kina uhusiano gani na swali langu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hajakamatwa jua serikali imeshindwaa.
Embu fafanua ukitaka kusema nini?mbona kulikua na mtu alitengeneza website ya kudhalilisha watu inaitwa zeutamu,huyo mtu alikua anakaa England, alitafutwa mpk akapatikana huko England na website yake kufunguwa,Lazima ujue kutofautishaa
Kati ya TZ na USA
Embu fafanua ukitaka kusema nini?mbona kulikua na mtu alitengeneza website ya kudhalilisha watu inaitwa zeutamu,huyo mtu alikua anakaa England, alitafutwa mpk akapatikana huko England na website yake kufunguwa,
Kumbe Wadaiwa ni Wengi!ahahaha!Mie nilifkr ni Mbowe tu!Hapa ni lazim ujikeshe kwa aibu hao vipi kwanza au mnakimbizana na vinvuli vyenu siasa bana dj kawadaka kinoma had bifu limehamia kwenye makaz si umeona hao kodi wanazodaiwa au kama kawaida utaendelea kujichekesha [emoji116] [emoji116]
Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi inayodaiwa Sh. bilioni mbili, Benki ya Azania (Sh. milioni 161) na Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa (Sh. milioni 631).
Wadaiwa wengine walitajwa kuwa ni Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Sh. bilioni 1.3), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sh. bilioni mbili), Tume ya Utumishi (Sh. milioni 109) na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Sh. bilioni moja.
AhahahahaMimi na Makonda tunatofautiana kwenye siasa tu hayo mambo mengine anayoyaleta Mage ni kuvuka Mipaka ya Siasa!!
Hadi yule rais aliye mtukana obama aliomba radhi! Makonda kwa hili nasimama na wewe!
Embu nikumbushe, alisemaje?Huyu binti huyu..
Kuna sehemu nimeona kasema ati fulani anao watoto na wengine amewakataa..
Mmh!!
Tofautisha USA na England.Embu fafanua ukitaka kusema nini?mbona kulikua na mtu alitengeneza website ya kudhalilisha watu inaitwa zeutamu,huyo mtu alikua anakaa England, alitafutwa mpk akapatikana huko England na website yake kufunguwa,
Anataka kumchokoza na fulani..... shauri zakeHuyu binti huyu..
Kuna sehemu nimeona kasema ati fulani anao watoto na wengine amewakataa..
Mmh!!
Naona hujipendii mkuu, sisi tunakupenda sanaaHuyu binti huyu..
Kuna sehemu nimeona kasema ati fulani anao watoto na wengine amewakataa..
Mmh!!
Mbona hio ni sifa njema kwa sie Waafrika!Huyu binti huyu..
Kuna sehemu nimeona kasema ati fulani anao watoto na wengine amewakataa..
Mmh!!
Duh [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hule demu nomaMange ni hatariiiiiii
Kuna kijana mmoja anaitwa Rashid Chilumba Facebook aliandika makala ya kumpondea Mange
Mange kamjibu Rashid kafuta makala zake zoooote
Si bure kuna mengine nahisi pia kwani amekwenda mbali mnooHizi personal attack za Mange kwa Paul ni sababu za kisiasa au kuna mengine?
Huyu binti anataka kufanya mchezo wa kitoto na sizonje..Anataka kumchokoza na fulani..... shauri zake
Unamaanisha hawaogopi wewe ni mkulu au lahndo maana,wamerekani ndo walivyo,tangu wamseme michele obama kuwa ana uume,yaani ni mwanaume na kina sasha wameadoptiwa,nikakubali kuwa hao watu washapinda siku nyingi
wewe unauhakika gani kama si rais wa USA kwasasa??Una uhakika ni raia wa USA?
Kumbe Wadaiwa ni Wengi!ahahaha!Mie nilifkr ni Mbowe tu!
Ahahahaha
mfate instaa kudadek ata kupolomoshea matusi baba hadi utajihsi umejinyeaMwenye namba ya mange anisaidie ili nimshauri maana kipindi tuko o level alinipenda sana
wewe unauhakika gani kama si rais wa USA kwasasa??