Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Lazima ujue kutofautishaa
Kati ya TZ na USA
Embu fafanua ukitaka kusema nini?mbona kulikua na mtu alitengeneza website ya kudhalilisha watu inaitwa zeutamu,huyo mtu alikua anakaa England, alitafutwa mpk akapatikana huko England na website yake kufunguwa,
 
Marekani haifugi wahalifu.

Kama mhalifu ana kesi ya kujibu huko anakotoka atapatikana tu.

Tatizo humu wengi hata hawaijui vizuri Marekani.

Wanachojua ni umbea tu, basi.
 
Hapa ni lazim ujikeshe kwa aibu hao vipi kwanza au mnakimbizana na vinvuli vyenu siasa bana dj kawadaka kinoma had bifu limehamia kwenye makaz si umeona hao kodi wanazodaiwa au kama kawaida utaendelea kujichekesha [emoji116] [emoji116]

Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi inayodaiwa Sh. bilioni mbili, Benki ya Azania (Sh. milioni 161) na Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa (Sh. milioni 631).
Wadaiwa wengine walitajwa kuwa ni Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Sh. bilioni 1.3), Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sh. bilioni mbili), Tume ya Utumishi (Sh. milioni 109) na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Sh. bilioni moja.
Kumbe Wadaiwa ni Wengi!ahahaha!Mie nilifkr ni Mbowe tu!
Mimi na Makonda tunatofautiana kwenye siasa tu hayo mambo mengine anayoyaleta Mage ni kuvuka Mipaka ya Siasa!!

Hadi yule rais aliye mtukana obama aliomba radhi! Makonda kwa hili nasimama na wewe!
Ahahahaha
 
Embu fafanua ukitaka kusema nini?mbona kulikua na mtu alitengeneza website ya kudhalilisha watu inaitwa zeutamu,huyo mtu alikua anakaa England, alitafutwa mpk akapatikana huko England na website yake kufunguwa,
Tofautisha USA na England.
katika nchi iliyojaa uwenda wazimu duniani ni USA, kama mgombeaa Urais anatoa matusi, mwananchi wa kawaida itakuajee??
England ni jamii moja yenye utamaduni wa kuheshimianaa, ni taifa lililozalisha ustaarabu na taratibu nyingi hapa duniani.
USA ni mixer of different cultures, uhuru wao umezidi mipakaaa
 
ndo maana,wamerekani ndo walivyo,tangu wamseme michele obama kuwa ana uume,yaani ni mwanaume na kina sasha wameadoptiwa,nikakubali kuwa hao watu washapinda siku nyingi
Unamaanisha hawaogopi wewe ni mkulu au lah
 
Hana uraia wowote wa Marekani,na ndoa ndo hiyoooo imeyeyuka hapo akazanie tu apate custody ya wtt bs ili aendelee kubaki huko
 
Hivi wale followers wa mange wana akili kweli?yani kila kitu anachopost huyu mjaa laana wanaona sawa nashindwa kuelewa
 
wewe unauhakika gani kama si rais wa USA kwasasa??

Hivi wewe unajua kuisoma sentensi na kuielewa?

Mimi sijatoa kauli kuwa yeye ni raia wa USA.

Ndiyo maana nikauliza.

Sasa wewe badala ya kunijibu swali langu unaniuliza swali lako.

Nimesema si raia wa USA?
 
Back
Top Bottom