Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Makonda ndio nini bana-waziri mkuu wa Uingereza kaambiwa hana kizazi na leo hii anatawala nchi
Kizazi anacho,ila tu hayupo fertile,ila Theresa May anahuzuni kukosa watoto,ila alishasema ndo nature,wamejaribu sana na mme wake na hawakufanikiwa kupata mtoto,usiseme ndo nini bana,linaumiza,na ukiona Theresa hana mtoto ,juwa kajaribu njia zote zilifail.
 
Kuna mwanaume anaweza shindana na Mwanamke kwa vijembee??
Mange yupo USA, Makonda yupo hapa mjinitunamuona kwenye vyombo vya habari nani dawa inamuingiaa zaidii??
 
Haaaa haaa haa Umenoaaa..Tafadhali sana..Usiniingize kwenye shida.Utasemaje MTU atakufa ajuaye MTU kufa Ni Mungu peke yake.
Kwenye hilo nitakutetea bibie maana najua wewe si Mange.

Watu waache kuotea.
 
Mtaje mkuu,ntakulipia millioni 7
Shukrani mkuu..ila naomba hiyo million 7 uipeleke moja kwa moja katika kituo chochote cha kulelea watoto yatima.. Au hapo ulipo msaidie yeyote asiyejiweza!!
 
Mkuu Makonda,pole sana.yaani naimagine wewe na mkeo mko katika hali gani naumia sana.

watu hata hawatoi nafasi,mtu ukioa/kuolewa punde tu wanataka kuona una mtoto,usipokua nae utaishi kwa manyanyaso,si tu kwa ndugu zako.hata watu unaoishi nao.

hii liwe somo kwa yeyote,ugumba unaweza kumpata yeyote.si vizuri kunyoosheana vidole.

This is personal,but ningekushauri kama tatizo haliko kwako,basi mwambie mama kuna vidonge kama vitamins vinaboost uzazi(sijalifanyia utafiti msinishushue LOL .....

pia niliona tangazo kuna kitu kama thermometer kinajulisha siku ambazo unaweza kushika mimba,unapima then unadoo

huu ni wakati wa kukumbuka option ya ku adopt watoto yatima,wengi watakudhalilisha ukifanya hivyo ila MUNGU atakuongoza kuepuka maneno ya watu,na pia anaweza kukubariki na mtoto hapo baadae...

mie dada yangu amekaa miaka tisa bila mtoto na akapata,ndoa yako bado changa sana usihofu.wala msiogope mkiwa na pressure wote wawili mtaanza kuchukiana na mazingira hayo mtoto haji ng'o
 
Jamani anaeweza kumuonya yule mtoto wa kike amounye, anakokwenda si kuzuri hata kidogo, hivi hajui kuwa rais Magufuli anaweza kuwasiliana na Interpol, FBI au CIA na akahojiwa?
Huko anakoishi ni waumini wa transparency hawawezi kumfanya kitu unless ibainike aliyosema ni uongo
 
Ile ni namba nyingine.. Mwanamke anamwaga mitusi utadhani hajazaliwa kamwagwa.. Dadeki yule chilumba atakuwa hana ham cc nifah
Chilumba alikua anajifanya mchambuzi wa mambo ya siasa anaandika kukosoa na kurekebisha wanasiasaa
Juzi kaingia cha kike kaandika eti polisi na usalama wakamkamate Mange
Weeeeeeeeeeeeee
Leo nkakuta kafuta post zoooote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…