Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizazi anacho,ila tu hayupo fertile,ila Theresa May anahuzuni kukosa watoto,ila alishasema ndo nature,wamejaribu sana na mme wake na hawakufanikiwa kupata mtoto,usiseme ndo nini bana,linaumiza,na ukiona Theresa hana mtoto ,juwa kajaribu njia zote zilifail.Makonda ndio nini bana-waziri mkuu wa Uingereza kaambiwa hana kizazi na leo hii anatawala nchi
Tofautisha Uingereza na Tanzania!!Makonda ndio nini bana-waziri mkuu wa Uingereza kaambiwa hana kizazi na leo hii anatawala nchi
Umenichekesha kuuliza "nani kavuta mkuu"? Anamaanisha msiba wa maneno ya mangeHuu ubuyu Mtamu!Wapandishe Haraka!
Nani Kavuta Mkuu?
Huyu mange siku zake zinahesabika
Kwakweli nimepatwa na woga aise!![emoji125]
Kuna mwanaume anaweza shindana na Mwanamke kwa vijembee??Duuuuuuh!!!!!!! Lord have mercy-Le Mutuz amemshukia Mange like never before,amemuomba Makonda akae pembeni yeye in person atadeal na Mange-ameshusha nondo mbaya sana very personal za Mange-something will have to give I sense something bad happening katika hii free for all war-the nuclear button has been pressed-the will be no survivors
Sheria ya mtandao ya marekani au tanzania??WE NI JIPUwka sheria ya mtandao amefanya uhalifu, anastahili kukamatwa.
Acha dawa imuingiee, maaana ile mikwara ya UKUTA ilikuwa inaniboaa sanaaMange alichomfanyia Paul leo si cha kibinadamu😱😱
Haaaa haaa haa Umenoaaa..Tafadhali sana..Usiniingize kwenye shida.Utasemaje MTU atakufa ajuaye MTU kufa Ni Mungu peke yake.Mange mambo?
We acha tu nikikumbuka mim na sasa ivi kawageukia wao wanamuona nuksialitusema sana na lowassa wetu mpaka tulilia naona saa hz kachukizwaa
Kwenye hilo nitakutetea bibie maana najua wewe si Mange.Haaaa haaa haa Umenoaaa..Tafadhali sana..Usiniingize kwenye shida.Utasemaje MTU atakufa ajuaye MTU kufa Ni Mungu peke yake.
Shukrani mkuu..ila naomba hiyo million 7 uipeleke moja kwa moja katika kituo chochote cha kulelea watoto yatima.. Au hapo ulipo msaidie yeyote asiyejiweza!!Mtaje mkuu,ntakulipia millioni 7
Huko anakoishi ni waumini wa transparency hawawezi kumfanya kitu unless ibainike aliyosema ni uongoJamani anaeweza kumuonya yule mtoto wa kike amounye, anakokwenda si kuzuri hata kidogo, hivi hajui kuwa rais Magufuli anaweza kuwasiliana na Interpol, FBI au CIA na akahojiwa?
Aksante Ngabu.Kwenye hilo nitakutetea bibie maana najua wewe si Mange.
Watu waache kuotea.
Chilumba alikua anajifanya mchambuzi wa mambo ya siasa anaandika kukosoa na kurekebisha wanasiasaaIle ni namba nyingine.. Mwanamke anamwaga mitusi utadhani hajazaliwa kamwagwa.. Dadeki yule chilumba atakuwa hana ham cc nifah
Anytime dear.Aksante Ngabu.
Salaleeeeeeeeeeee duuuuhh hii sasa balaa.. Hii aibu unaibebaje aisee??[emoji125]
I'm happy to hear that my.Anytime dear.