Elimu yako imeishia pale mwalimu alipokuambia mwanamke ndio anaweza kutukana. Huyo MTU anayetoa personal info za MTU anastahili makavu, ni kumchana live mnavomuogopa mnampa kichwa, ye ni nani haswa. Anatafuta kiki kama mentally unavyomkubalinina mashaka na wewe mwanaume unae jisifia kwa matusi [emoji12]
Ila Makonda naye kazidi kwa kutoa kauli zenye ukakasi!...!Hili suala la kushindwa kupata mtoto la Makonda,kama ni kweli.Hili suala lipo beyond his capacity,yeye anakosa gani kutokana na repduction defect yake?Mange amekosea kwa kweli,ila muda wa kuandika yote hayo yeye anautoa wapi jamani?Au mwenzetu anaishi sayari nyingine?
Mange awe shushushu? Lets be serious na kuheshimu kazi za watu jamani? Out of all people, taasisi nyeti iajiri mental case kama huyu, kweli?Nahisi ni shushushu huyu dada maana ana data zote kama yupo tz inaonekana kuna watu wanamsaidia kupata info
Anadai amesha upata uraiaUna uhakika ni raia wa USA?
HahhaaMange awe shushushu? Lets be serious na kuheshimu kazi za watu jamani? Out of all people, taasisi nyeti iajiri mental case kama huyu, kweli?
Yaani we acha hakufanya vyema kabsaa, hakustahili kumfanyia hivyo kaka au mume wa mwenzake, uongozi na maisha ya familia yake ni vitu viwili tofauti.Me nimesoma nikajiweka kwenye [emoji151][emoji151] Viatu vya mrs mkuu wa jiji lakini bado nilihisi vimenibana. Ni vibaya mno kufanya personal attacks Kiama hizi anaharibu saikolojia za watu. Tangu amtukane mzee lowasa sijawahi kumuelewa tena anapenda matusi magumu magumu kurushia watu hajali kabisa I see.
Ila yameshakwisha nadhaniMe nimesoma nikajiweka kwenye [emoji151][emoji151] Viatu vya mrs mkuu wa jiji lakini bado nilihisi vimenibana. Ni vibaya mno kufanya personal attacks Kiama hizi anaharibu saikolojia za watu. Tangu amtukane mzee lowasa sijawahi kumuelewa tena anapenda matusi magumu magumu kurushia watu hajali kabisa I see.
Fundisho la nini sasa? Au umekaririTuombe mungu atupe uzima ili siku adhabu zikimkuta tushuhudie wote ili iwe fundisho kwetu pia.