Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Aaah,huyu sasa ni mwisho,nimemvulia kofia asee...

Sasa kama kuna ukweli katika tuhuma hizi,nampa mh wetu mchapakazi,maana sijui ssa uso atauweka wapi maana sisi waafrica tuna attitude kuhusu mtu mwenye hali hiyo
Mstiri mwanaume mwenzio mkuu😱😱😱
 
Wana Chit-chat mmemsoma Mange Leo ? Kwa kweli hali ya hewa imechafuka nashindwa kuweka screen shot hapa inakataa Kwa anayeweza hebu aiweke wasio na insta account. Mange huyu anaelekea pabaya
peleka huko umbea wako,,
 
ndo maana,wamerekani ndo walivyo,tangu wamseme michele obama kuwa ana uume,yaani ni mwanaume na kina sasha wameadoptiwa,nikakubali kuwa hao watu washapinda siku nyingi
wenzetu haya mambo ni yakawaidaa.
Nikikumbuka Trump alivyomwambia Cruz kuwa hafaikuwa Rais kwasababu uume wake mfupi kama vidole vyake, nachekagaa sanaa
 
Kama ni kweli kwa Mzee wa matamko ataumia sana ila natabiri kuna watu wataanza kupambana Na mange Na hapo ndipo Mzee wa matamko atachafuka zaidi
 
Back
Top Bottom