Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Jamani anaeweza kumuonya yule mtoto wa kike amounye, anakokwenda si kuzuri hata kidogo, hivi hajui kuwa rais Magufuli anaweza kuwasiliana na Interpol, FBI au CIA na akahojiwa?Alivyolala ndani last time nilidhani kajifunza......
Halafu ana matusiiiiiiiiiiii kuita wenzie mbwa ni mwepesi kweli kweli
Labda mwisho wake unakuja...maana siku hizi anekuwa too much
Heri angeendelea kujikita na kuposti ubuyu tu