Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi ni watoto wa chuo, wanacomment kwa role model😀😀😀Hivi wale followers wa mange wana akili kweli?yani kila kitu anachopost huyu mjaa laana wanaona sawa nashindwa kuelewa
Huu ubuyu Mtamu!Wapandishe Haraka!Tumbua tumbua majipu da Mange , tunaomba modes mpandishe juu hiyo screen shot
Nani Kavuta Mkuu?Inalilah wainailayhi rajiun
Mange ni hatariiiiiii
Dangerous Heroine!
Kuna kijana mmoja anaitwa Rashid Chilumba Facebook aliandika makala ya kumpondea Mange
Mange kamjibu Rashid kafuta makala zake zoooote
So sad.Wengi ni watoto wa chuo, wanacomment kwa role model😀😀😀
Jamaa kasema Mange ni Raia wa USA, ulitaka akuletee vithibitisho toka uhamiajil. Hukumwaminii??Hivi wewe unajua kuisoma sentensi na kuielewa?
Mimi sijatoa kauli kuwa yeye ni raia wa USA.
Ndiyo maana nikauliza.
Sasa wewe badala ya kunijibu swali langu unaniuliza swali lako.
Dalili ya mtu kutojua anachokiongelea hivyo.
Hizi mambo hazinaga uchuo, hizi ni tabiaa tuWengi ni watoto wa chuo, wanacomment kwa role model😀😀😀
kama wewe bahashaaaMnasumbuka na Malaya !!!
huyu dada, anavuta bangi au unga. hana akili nzuri. ila kwa hili, nina uhakika pale kisutu watakuwa wameshaanza kuanda hati ya mashitaka kabisa. kumtoa marekani hadi hapa ni kitu rahisi sana kwa mutual assitance in criminal matters na extradition. wamkamate haraka awe fundisho manake kaumiza mioyo ya watu wengi sana.Kuna magonjwa mengi sana ya akili duniani hapa, hasa huko aliko kutokana na mifumo ya maisha. Huyu dada ni muhanga.
Why?Kamtundikamo na joti humohumo kamuonea lakini
Jazia nyama mkuu...Nadhani anamaanisha joti yumo kwenye kundi la watu waliotakiwa kuwa unfollow
Ok,Nadhani anamaanisha joti yumo kwenye kundi la watu waliotakiwa kuwa unfollow
NimekusomaHayo maelezo ni kama utani joti huwa anapenda Sana kuzungumzia mambo ya vilainishi
Unafikiri kazi hii kaanza leo?huyu dada, anavuta bangi au unga. hana akili nzuri. ila kwa hili, nina uhakika pale kisutu watakuwa wameshaanza kuanda hati ya mashitaka kabisa. kumtoa marekani hadi hapa ni kitu rahisi sana kwa mutual assitance in criminal matters na extradition. wamkamate haraka awe fundisho manake kaumiza mioyo ya watu wengi sana.
alikuwa anagusa wadogo, sasa anagusa wakubwa. kwa jinsi magufuli anavyompenda makonda, hakika lazima ataingilia kati. hata hivyo, suala aliloongea ni baya sana, kama makonda hana watoto hilo sio kosa lake, hakutakiwa kuongea hivyo, kati ya vitu ambavyo huwa namwonea huruma mtu ni pale anapomtusi mtu kwasababu hana mtoto.Unafikiri kazi hii kaanza leo?
Kama wangeweza kumkamata wangemkamata tangu zamani
Embu fafanua ukitaka kusema nini?mbona kulikua na mtu alitengeneza website ya kudhalilisha watu inaitwa zeutamu,huyo mtu alikua anakaa England, alitafutwa mpk akapatikana huko England na website yake kufungwa,
Kesi za ukichaa kama hizi Rais akiingilia kati itakuwa aibuu tu.alikuwa anagusa wadogo, sasa anagusa wakubwa. kwa jinsi magufuli anavyompenda makonda, hakika lazima ataingilia kati. hata hivyo, suala aliloongea ni baya sana, kama makonda hana watoto hilo sio kosa lake, hakutakiwa kuongea hivyo, kati ya vitu ambavyo huwa namwonea huruma mtu ni pale anapomtusi mtu kwasababu hana mtoto.
Jamaa kasema Mange ni Raia wa USA, ulitaka akuletee vithibitisho toka uhamiajil. Hukumwaminii??
Haitoshi yeye kuwa reference?
Ulipaswa kuelewa hivyo,
kama unabishaa ndio maana nami nikakuuliza Unauhakika gani kama si Raia wa USA kwasasa??
Kama Wapo Basi Watakuwa ni Powerful Big Boys!Who behind Mange?
Huyu dada kuna watu wapo nyuma yake, anafanya hivi kama kazi.
ahahahaAnamanisha joti hajamiliki papuchi bado
kati ya wao na wewe unae mjadili huku nani zoba?Hivi wale followers wa mange wana akili kweli?yani kila kitu anachopost huyu mjaa laana wanaona sawa nashindwa kuelewa