Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Hili suala la kushindwa kupata mtoto la Makonda,kama ni kweli.Hili suala lipo beyond his capacity,yeye anakosa gani kutokana na repduction defect yake?Mange amekosea kwa kweli,ila muda wa kuandika yote hayo yeye anautoa wapi jamani?Au mwenzetu anaishi sayari nyingine?
Mhh umekua mpole sana hadi nimeogopa.
 
Ni kwamba Makonda Nanihii haina nanihii
Duuuuuuh!!!!!!! Lord have mercy-Le Mutuz amemshukia Mange like never before,amemuomba Makonda akae pembeni yeye in person atadeal na Mange-ameshusha nondo mbaya sana very personal za Mange-something will have to give I sense something bad happening katika hii free for all war-the nuclear button has been pressed-the will be no survivors
 
Mange ni hatariiiiiii

Kuna kijana mmoja anaitwa Rashid Chilumba Facebook aliandika makala ya kumpondea Mange

Mange kamjibu Rashid kafuta makala zake zoooote
Ile ni namba nyingine.. Mwanamke anamwaga mitusi utadhani hajazaliwa kamwagwa.. Dadeki yule chilumba atakuwa hana ham cc nifah
 
Duuuuuuh!!!!!!! Lord have mercy-Le Mutuz amemshukia Mange like never before,amemuomba Makonda akae pembeni yeye in person atadeal na Mange-ameshusha nondo mbaya sana very personal za Mange-something will have to give I sense something bad happening katika hii free for all war-the nuclear button has been pressed-the will be no survivors
Le mutuz hamuwezi Mange, le Mutuz anataka tu kuaibishwa.. Kwanza le mutuz hana jipya kwa Mange ameshatukana mitusi yote
 
Usiogope mkuu,hii suala la upungufu wa mbegu za kiume kwa Makonda ,limenisikitisha,hasa nikijiuliza kwani mimi nimefanya nini mpaka nipo fertile?makonda kakosea nini mpaka hayupo fertile?
Makonda ndio nini bana-waziri mkuu wa Uingereza kaambiwa hana kizazi na leo hii anatawala nchi
 
Back
Top Bottom