Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu??

Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana Watu ni Zamani sana kuanzia kwenye Blog yake, akaenda Instagram akaitukana sana Serikali iliyokuwepo Madarakani na sasa kahamia kwenye App akiendeleza yale yale,

Huko kwenye App nasikia ameweka Kipengele maalum kabisa cha kuweka Videos za Kudhalilisha Watu, Serikali ya awamu ya Sita imefungia sites zote za Porn ajabu kwenye App ya Mange kuna Videos za aina hizo.

Watu Wamelia, Wameharibu Heshima, Wameharibu Kazi, Wamekosa Kutokujiamini tena mbele ya Jamii, Wamepata Misongo ya Mawazo, Wengine hadi Jela wameenda,

Je Serikali imemshindwa? Au inaona ni sawa anayoyafanya? Hakuna Wanasheria wa kuliweka hili suala lake kisheria??

Binafsi nasikitishwa sana nionapo Mtu anadhalilishwa kwa faragha zake, inafika muda hata Mke na Mume ndani tutaanza kutokuaminiana, Mtu aweza akavujisha videos kwa Mange ili apatiwe Pesa,

Mange ni sikio la Kufa hata akisemwa vipi ni kama ameshakubali liwalo na liwe as long as Pesa inaingia ndio maana nauliza hakuna jinsi ya kumshtaki kisheria hiyo tabia yake ikomeshwe?

IMG_1098.jpg
 
Nakumbukaaa, alikua anaitwa Da Mange,
Nadhani wengi walikua hawamjui kwa sie tunayemjua tangu ni blogger tulijua tu kuna siku watalia wengi,

Kwanza ni Mwanamke Mwenye Wivu na Chuki kwa Wanawake wenzie ni kama anatamani Maisha ya wenzie ambayo yeye kayakosa, hata hizo Pesa za App hawezi kuzitumia kwa kujiachia anajua fika anawindwa.

IMG_1098.jpg
 
Waliachana kwa Amani??
Uliwahi kusikia kuachana kuna Amani kweli?
Nani anapenda Maisha ya kudanga danga kwa vibabu badala ya kutulia kwenye Ndoa mlee Watoto,

Alichokwaaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shost unanivunja mbavu mnoo. Khaaah
Babuu akaamua asepe zake. Woiiiiih
 
Yule ni urafiki wa kinafiki tu,kila mmoja anamvizia mwenzie. Mange hana na hajui maana ya urafiki
Hehehehehe umenikumbusha Rachel Temu uwiii alijua kumkalia kooni kidogo alimpoozesha,
Sijui kaenda wapi Rachel nae jamani,

Bhoke kakimbia maana angekaa nae karibu na yeye angepelekwa Hospital ya Vichaa,

Yule Mtoto wa kiume naona anasubiri kwa hamu atimize miaka 18 sidhani kama ataendelea kuishi na mama ake,

Kwa Zari alichemka maana kila akifurukuta mwenzie bado kamuacha mbali sana kimaisha pia ninachoona kinazidi kumfanya apagawe ni ile kukosa uhuru, anatamani sana arudi Bongo ajimwambafai eeh nimetoka Marekani ila hawezi, anatamani kampani za marafiki lakini wote huko walishamkimbia nani atakaa na kigeu geu, nawaza yule Iron Lady ni kajitoa muhanga au na yeye anayajua mengi ya Bidada?
 
Shoga hii umenipa mpya maana nilikua nimekaa kwenye kochi imebidi nikae chini kitako, [emoji119]

Eenh alipokea Mkanda wa Video akauweka kwenye Deki mbio mbio sijui alijua Movie ya Rambo maskini,
Basi kwa hili huyu Dada ana tatizo kubwa la Saikolojia,

Ni kweli Mwele angempeleka kwa Wataalam akatibiwe au pengine alijaribu ila muhusika amekua mbishi maana shida ya Mental Illness ni kujikubali kama bado anajikataa itachukua muda kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan shost unanivunja mbavu mnooo. Uwiiiioh
 
ubuyu ulisambazwa kuwa yeye ndio aliyeupokea huo mkanda usiku akakumbusha kuhusu ule mzigo wakadhani movie wote wapo sebuleni kitu kikatumbukizwa kwenye deki za dvd zile chezo likaanza onyesha mbona walitafutana mule ndo mwanzo wa kuishi kwa mwele badala ya kwa mama wa kambo. Ndo maana hata kumuongelea hamuongelei

Ana shida kubwa mno. Alitegemea mzungu atakua tiba akakutana na rungu la kutaka kujiweka maisha ya nyota tano wakati mzungu ana kipato cha kawaida hivyo akaanza maisha ya kuigiza yaliyopelekea kuchukiwa na wakwe na divorce juu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie.
 
Pole sana Mkuu na unaonyesha kuwa nawe ni Mhanga wa huko Kujeruhiwa nae.

Hata hivyo pamoja na Kumshutumu Kwako hivi ila 98% ya Taarifa zake huwa ni za Kweli.

Tafadhali Mange piga tu Spana Bibie.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]nacheka kama mazuri
 
Wht happened mpaka mzee akafanyiwa namna hiyo
Alikuwa anakula mke wa mtu,, mwenye mke akamtega akamfuma,, akamkodia kundi la wanaume wakamfila walipotosheka wakamuwekea miti,, huku wakimrekodi,,.. tukio lilitokea kigoma ilikodiwa ndege mpk dar alipopata nafuu akaamua kujimaliza tu maana sio kwa fedheha ile
 
Upo sahihi,
Ana Mental Disorder iliyotokana na Trauma ya alichokishuhudia kwa Baba ake na Ndoa yake ilivyovunjika kwa kubebewa Mume na Shoga ake ndio alitaka kuwehuka kabisa, ila aliufyata maana Marekani sio Bongo ati
Hawezi kuwa na utu,, na ukiangalia yeye ni kudhalilisha watu tu km alivyodhalilishwa baba yake ndo anahisi kupata ahueni
 
Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu??

Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana Watu ni Zamani sana kuanzia kwenye Blog yake, akaenda Instagram akaitukana sana Serikali iliyokuwepo Madarakani na sasa kahamia kwenye App akiendeleza yale yale,

Huko kwenye App nasikia ameweka Kipengele maalum kabisa cha kuweka Videos za Kudhalilisha Watu, Serikali ya awamu ya Sita imefungia sites zote za Porn ajabu kwenye App ya Mange kuna Videos za aina hizo.

Watu Wamelia, Wameharibu Heshima, Wameharibu Kazi, Wamekosa Kutokujiamini tena mbele ya Jamii, Wamepata Misongo ya Mawazo, Wengine hadi Jela wameenda,

Je Serikali imemshindwa? Au inaona ni sawa anayoyafanya? Hakuna Wanasheria wa kuliweka hili suala lake kisheria??

Binafsi nasikitishwa sana nionapo Mtu anadhalilishwa kwa faragha zake, inafika muda hata Mke na Mume ndani tutaanza kutokuaminiana, Mtu aweza akavujisha videos kwa Mange ili apatiwe Pesa,

Mange ni sikio la Kufa hata akisemwa vipi ni kama ameshakubali liwalo na liwe as long as Pesa inaingia ndio maana nauliza hakuna jinsi ya kumshtaki kisheria hiyo tabia yake ikomeshwe?

Huyo ndo nani huko daslam
 
Back
Top Bottom