Mnyakyusa Ipinda
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 439
- 1,526
Acha wivu, kafubaa wapi? pesa anayo ndio na anaingiza zaidi ya 100M kila mwezi, uliza crdb bank na exim bank figure zilizokua zinaingia kabla hajahamishia pesa zake bank za nnje ili uache wivu. Kua mbunifu pia.Mbona kafubaa?
Yule awe na hela asiwatambishie watu?
Watu wana shida na hela usipojirikodi watakurikodi wauze. Nani asie na faragha kwenye hii dunia? Kila mtu ana mambo yake ya sirini na ni ya ajabu yakionekana public. Kusapoti biashara ya kuanika mambo ya faragha ni hatari.Wewe unachukuaje video za ngono? Huwezi kufanya faragha zako hadi mjirekodi?
Halafu anakuumizaje kwa jambo ambalo una uhakika nalo kwamba ni jambo jema mbele ya jamii? Kama unafanya maovu acha uovu wako uanikwe mbele ya jamii ili uache tabia hiyo.
Mpaka siku atapogusa sehemu nyeti ndio dola itasimama kwa vidole kuhangaika. Ndio binadamu tumejaa uchafu lakini bado si sababu ya kuvua utu wa mtu. Ni laana ambayo itamtafuna siku moja au kizazi chake.
Sikuwahi kufikiri anaweza kufikia kiwango hiki, sorry for her family sababu spiritually ni suicide! Kuvua utu wa mtu kwenye kadamnasi hata kama ni muovu kiasi gani ni kumgusa muumba wake moja kwa moja anayetusiri wote pamoja na maovu yetu.
Hee...hii mbona persona hii kaahh[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mange songa mbele, ondoa upuuzi ktk jamii na usiogope kabisa!
Tena zidi kufichua uozo na uanaharamu kama wa yule shetani Uwoya
Kwann apigwe chuma? Yule anatakiwa adhibitiwe kama kisheria inashindikana basi adhalilishwe. Kila video atakayotuma iambatanshwe na ya kumdhalilisha yeye.Hivi kuna wenye pesa humu Tanzania kuizidi serikali?Mange kawasema marangapi akina JPM?Kule nje,raia wanalindwa sana,labda umpige chuma,halafu uishie jela,yaani ujitoe muhanga.
Mh waTz kwa kutunga [emoji23], eti kuna taarifa, kutoka wapi? kila mwaka mange anapima cancer na cancer ya matiti na huonesha live instagram yake hadi matokeo, acheni kujifariji kwa uzushi kisa hamumpendi mtu.Kuna taarifa yule mwanamke ni mgonjwa wa kansa ya damu, anajijua wazi siku yeyote atakata kamba. Jambo hili ndiyo linamfanya atende ujinga ule, hana cha kupoteza na kuharibu maisha ya mtu kwake ni faraja.
Yaani ninachoshangaa Watu humu wanadhani hizo videos ni za watu Maarufu tu na wanadhani kwa kua wao hawajirekodi basi hawawezi kurekodiwa, nakwambia kabla hujafa usiseme jambo fulani haliwezi nitokea kamwe hapo unajidanganya,Watu wana shida na hela usipojirikodi watakurikodi wauze. Nani asie na faragha kwenye hii dunia? Kila mtu ana mambo yake ya sirini na ni ya ajabu yakionekana public. Kusapoti biashara ya kuanika mambo ya faragha ni hatari.
Kuna siku utakutana na video ya mazazi wako au yako ukiwa umebanwa na tumbo la kuhara ukaingia kwenye public toilet yoyote ukavua nguo ukaanza kuhara watu wakarikodi wakauza. Soko si lipo.
Mwaka mbali hivo!! Wame downloads watu zaid 100k+ ktk hao walio download tuseme walipe watu 80k tu ni 80milion, kwa miez 6 ni 480Milion sasa toa milion ya 100 tu kama ununuaji wa hizo videos chafu yaan kwa mwaka anaingz hata milion 400Yule manzi serikali haina kosa tena maana ishafungia APP yake mpaka uwe na VPN.... ila ndo hivyo wadau wa kupenda udaku na zile ponoo wanalipaa mahelaaa tuuu...!! yule manzi ikipita mwaka na ile app kama hajafikisha mil 200 cash aisee kuna mkono wa mtuu...
2018 namba D kwenye plate ya gari zilikuwa zimeshaanza?Ila hii ya uwoya waligombana na mtu wake, ndo akatshia utaona, uwoya akajibu mapigo, ndo jamaa alituma kwa mange, hii video ilichukuliwa 2018.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ushamba, ana green card huyo, ana rights zote kasoro kupiga kura na za kudeal na siasa, analindwa na sheria kama mmarekani.Huyo ni TZ Citizen, hana protections under US laws, plus she's doing all her stupid, evil sh.it simply for profit, knowing she's unapproachable nd beyond the reach of TZ law given the fact she's based in the US.
Wafungie namba yake inayofanya malipoWatu wanaona kwa vpn hakuna jinsi
Yule akivurugwaa ataanza kutoa madongo ya udhaifu wa serikali Sasa viongoz hawatak Hilo kwa kuwa Kuna Cha kumfanya awe bize ngoja awe anaingiza pesa huko na aache kusumbuana na serikaliInasemekana online App yake imesajiliwa Tanzania,ana wafanyakazi Tz, physical address ipo Dsm na ilikuwaonyesha yeye ni exceptional alionana na kupiga Picha na Rais wenu ,Kifupi Serikalini haijashindwa bali inawezekana watendaji wanaogopa kupoteza vibarua vyao Kwa kisingizio Cha Mama kaleta Uhuru wa habari.......
kauza alawi junior na ndiye aliyemrekodi akiwa amemzimisha, kaanza ku m blackmail tangu 2019 na hiyo clip kalipwa pesa sana hadi muhusika kachokaKwa taarifa yako hiyo connection ya Uwoya ni yeye mwenyewe ndiyo kaiuza kwa Mange....
Mange alishawahi kusema siku akipata connection ya Wema atainunua kwa pesa yoyote ile maana ana uhakika wa kutengeneza 1B siku hiyo...
Hawa wasanii wetu wana njaa kali balaa.... Kama wanadangwa kwa 2M, 3M, 5M tena hapo wanatoa mbele na nyuma, hawaoni hasara ya kumrekodia Mange kisha awape 10M,20M,30M,50M...
Mjini hapa bibie, kaa kimasta.
Mayala alisema nin kakaNi project.....! Yawezekana ni kwa ajili ya wale waliokuwa kindakindaki na mtu fulani wakati fulani (Nawaza, yawezekana nawaza hisivyo kabisa).
Aujue kuna Karma! Pascal Mayalla hakutudanganya katika hili.
Halafu video za wasio maarufu aliyerikodi anauza hata Tsh 10,000. Tuvimaumbile twako tunakua mtaani kwa elfu kumi. Hainunui hata lita 3 ya mafuta kwa bei ya tarehe ya leo.Yaani ninachoshangaa Watu humu wanadhani hizo videos ni za watu Maarufu tu na wanadhani kwa kua wao hawajirekodi basi hawawezi kurekodiwa, nakwambia kabla hujafa usiseme jambo fulani haliwezi nitokea kamwe hapo unajidanganya,
Mfano mzuri Uwoya hakujua kama kuna siku angeanikwa vile ila ilitokea akiwa hajitambui mtu akamrekodi na kusambaza,
Zari alikua kwenye video call na mpenzi wake aliyemuamini lakini akamrekodi na kuambaza,
Hassan Dilunga, Lulu Diva wote hao hawakua wakifahamu kama wanarekodiwa na videos zao kusambazwa,
Tunapokemea hili wenye akili ndogo akili za utapia mlo wanaona kwa wepesi tu hadi siku wakute videos za Wazee/ Watoto ndio wataelewa.
Sasa matusi yanakujaje we kima shoga?Yule akivurugwaa ataanza kutoa madongo ya udhaifu wa serikali Sasa viongoz hawatak Hilo kwa kuwa Kuna Cha kumfanya awe bize ngoja awe anaingiza pesa huko na aache kusumbuana na serikali