Black Label
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 432
- 553
Walifuatilia mfumo wake wa malipo wanaweza kukata mfumo sababu yanapitia kwenye mifumo ya SIMU ambayo serikali wana uwezo wa kudhibiti.kwenye malipo hata huambiwi kama unalipia MANGE KIMAMBI... so hata usiwalaumu
Kwa kifupi serikali wabebe lawama. Na ipo siku wataanza kunyosheana vidole kwa hili.
Yule hajali akili yake haipo sawa
TCRA Wafungie API za malipo ya Selcom kwenye app ya Mange Kimambi
Tunawapongeza TCRA kwa kuifungia app ya Mange Kimambi, kwa TZ mpaka uwe na VPN ndo unaipata. Lakini Hilo halitoshi kwani Bado anaendelea kuwachangisha Watanzania kupitia Selcom. Yaan watu wanalipia upumbavu na ikiukwaji wa maadili kwenye app yake. TCRA tunajua mna uwezo wa kumwambia Selcom...