Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mbunge wa tmk ndio![emoji16][emoji16]za waheshimiwa hazipo anaogopa mkono wa chuma,Ana akili yake pia nyingi tuuu
Hapo ndo anakwama sasa aweke za waheshimiwa mimi niko tayari kumkodi Kibatala akaimalize kesi.
 
Mbunge wa tmk ndio![emoji16][emoji16]za waheshimiwa hazipo anaogopa mkono wa chuma,Ana akili yake pia nyingi tuuu
Yaani siasa zao ni ujinga
Watoto wabichi wanaliwa na vizee kisha wanapewa vyeo,udc au ubunge kuvituliza naskia kuna mwengine yuko huko kagera mbunge yaani lile ni yutong sio chura tena..
 
Sizungumzii App nazumgumzia malipo wananchi wa tanzania wanayolipa kwenye App kutumia simu.
Serikali idhibiti malipo kutoka voda, airtel ... kwenda kwenye App. Atabaki na wateja wachache walio nje ya nchi na waliopo ndani wanaolipa kwa kadi za benki. Akishakosa hela za wapenda umbea wengi ambao wanalipa kwa simu atafunga Apo.

Serikali ilaumiwe.
watu waache kupata kwasababu ya mjinga mmoja tu kahaba wa insta kuna watu video zao zikivuja kweli ata roho inaweza kukuuma ila siyo Irine uwoya ndio mahana mwenyew hata habari hana anaendlea na mambo yake kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndo anakwama sasa aweke za waheshimiwa mimi niko tayari kumkodi Kibatala akaimalize kesi.
Yeye mwenyewe ana akili yule siyo mjinga sasa unafikiri maybe kwa mfano apate connection yoyote ile ya TOP 3 government official unafikir ataipost? anaangalia nani wa kumpost ambaye hatoleta madhara kwake sasa mtu kama uwoya atamfanya nini mange?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye mwenyewe ana akili yule siyo mjinga sasa unafikiri maybe kwa mfano apate connection yoyote ile ya TOP 3 government official unafikir ataipost? anaangalia nani wa kumpost ambaye hatoleta madhara kwake sasa mtu kama uwoya atamfanya nini mange?

Sent using Jamii Forums mobile app
Your right.
Anaangalia wale walala hoi tu wakubwa hawagusi lakini ipo siku mdosi mmoja atawekwa tu ndipo patachafuka.

Halafu naona kama ni mchezo unapangwa maslay queen wanaleweshwa na kufanyiwa unyama mwingi kisha anapewa"boss mange"
 
Yeye mwenyewe ana akili yule siyo mjinga sasa unafikiri maybe kwa mfano apate connection yoyote ile ya TOP 3 government official unafikir ataipost? anaangalia nani wa kumpost ambaye hatoleta madhara kwake sasa mtu kama uwoya atamfanya nini mange?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana Cha kumfanya chochote mpuuzi tu Yule Uwoya na wengine ,inshort wamuache mange walimfuga Sana kipindi anatukana watu wazito alianza na Lowassa ,akaja na Magufuli Leo zamu yao
Wapambane tu hakuna namna
 
Yeye mwenyewe ana akili yule siyo mjinga sasa unafikiri maybe kwa mfano apate connection yoyote ile ya TOP 3 government official unafikir ataipost? anaangalia nani wa kumpost ambaye hatoleta madhara kwake sasa mtu kama uwoya atamfanya nini mange?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana laana yule kwenye hela ata ndugu yake wa damu au mama yake anaweza kumuweka conectiion
 
yule manzi ikipita mwaka na ile app kama hajafikisha mil 200 cash aisee kuna mkono wa mtuu...
Mkuu yaani hiyo hesabu unapiga kwa mwaka au wiki? Maana kwenye Insta ana followers 6,800,000+ kama kwenye APP waki-subscribe watu 800,000 tu anakuwa anatengeneza Milion 800 kila mwezi. Akili Kunkichwa, angalia kwenye soko watu wanataka nini wape walipie hela kidogo tu kama Babu wa Liliondo alivyofanya kesho tu unakuwa Millionea
 
Mange hana kosa lolote. Anautumia ushetani wake vizuri. Anatusaidia kuwanyoosha watu ambao ni wavuruga maadili.... kila siku wasanii na watu wengine maarufu wamekuwa wakifanya mambo ya kishenzi kwa kusingizia wanatafuta "kiki" hivyo sidhani kama wanapaswa kumlaumu shetani Mange kwa kuwasaidia kufanya kiki original. Mange kaamua kutokuwa vuguvugu yaani kamkabidhi shetani roho yake kwahiyo hata shetani kwa kupitia wafuasi wake waliopo Tanzania anasapoti sana kazi ya mfuasi mwaminifu Mange. Mange anaweza kuwarudisha watu kwenye mstari sahihi wa matumizi ya simu zao.
 
Ila kwanini urekodi au urekodiwe hizo video?

Kwanini usifike chumbani kila mtu aweke simu yake sehemu moja?

Utasingizia ulevi, je kuna ulazima wa kulewa hadi kutojitambua?
Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa 'doromesha', mtu anawekewa dosage ndogo tu kwenye kinywaji au hata kwenye chakula then baada ya hapo kila anachoambiwa anatekeleza tu na dosage ikiongezwa kidogo ndiyo analala anakuwa hajielewi kabisa mjuba anamfanya atakavyo.
Kuna baadhi yamewakuwa wakiwa wameleleweshwa kimtindo huo japo pia wapo waliorekodiwa/waliojirekodi kwa upumbavu wao wenyewe.
 
Sizungumzii App nazumgumzia malipo wananchi wa tanzania wanayolipa kwenye App kutumia simu.
Serikali idhibiti malipo kutoka voda, airtel ... kwenda kwenye App. Atabaki na wateja wachache walio nje ya nchi na waliopo ndani wanaolipa kwa kadi za benki. Akishakosa hela za wapenda umbea wengi ambao wanalipa kwa simu atafunga Apo.

Serikali ilaumiwe.
Serikali haina hizo resources kuzuia malipo kwenye app ya umbeya, is almost impossible kwa yeyote au serikali kuzuia malipo kwenye google play na kuna crypto siku hizi sasa sijui nazo utazuia vipi, Mange ni mmbeya tuu na wala sio tishio kwa serikali au security ya nchi
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Labda uwe haupo kwenye Mitandao ya Kijamii yaani unaishi chini ya Jiwe ndio unaweza kuuliza hilo swali.
Niko kwenye mitandao yote lakini nafatilia yale ninayoyapenda tu....

Niko kwenye Xvideo,Telegram,Facebook,Tinder, WhatsApp,..nk,lakini Mengi Kimambe simjui,..

Umbea sio mambo yangu,sifatilii kitu kisichonipa faida katika maisha
 
Niko kwenye mitandao yote lakini natilia yale ninayoyapenda tu....

Niko kwenye Xvideo,Telegram,Facebook,Tinder, WhatsApp,..nk,lakink Mengi Kimambe simjui,..

Umbea sio mambo yangu,sifatilii kitu kisichonipa faida katika maisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jitekenyee tuu
 
Back
Top Bottom