Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu??

Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana Watu ni Zamani sana kuanzia kwenye Blog yake, akaenda Instagram akaitukana sana Serikali iliyokuwepo Madarakani na sasa kahamia kwenye App akiendeleza yale yale,

Huko kwenye App nasikia ameweka Kipengele maalum kabisa cha kuweka Videos za Kudhalilisha Watu, Serikali ya awamu ya Sita imefungia sites zote za Porn ajabu kwenye App ya Mange kuna Videos za aina hizo.

Watu Wamelia, Wameharibu Heshima, Wameharibu Kazi, Wamekosa Kutokujiamini tena mbele ya Jamii, Wamepata Misongo ya Mawazo, Wengine hadi Jela wameenda,

Je Serikali imemshindwa? Au inaona ni sawa anayoyafanya? Hakuna Wanasheria wa kuliweka hili suala lake kisheria??

Binafsi nasikitishwa sana nionapo Mtu anadhalilishwa kwa faragha zake, inafika muda hata Mke na Mume ndani tutaanza kutokuaminiana, Mtu aweza akavujisha videos kwa Mange ili apatiwe Pesa,

Mange ni sikio la Kufa hata akisemwa vipi ni kama ameshakubali liwalo na liwe as long as Pesa inaingia ndio maana nauliza hakuna jinsi ya kumshtaki kisheria hiyo tabia yake ikomeshwe?
Siku hizi eti chawa wa Maza kwa hiyo hakuna kitu atafanywa maana maza mwenyewe anamwogopa
 
Greencard hiyo kitu nilishapitia zamani sana, jinga wewe!

Mwenye Greencard hana haki sawa na Raia wa Marekani. Mwenye Greencard akifanya kosa kubwa aka felony, anaweza kunyang'anywa na kuwa deported kurudi nchi aliyotokea. Achilia mbali ndani ya Marekani kuna mambo mengi mwenye Greencard hana haki sawa kisheria ukilinganisha na Raia.
Acha ujinga US tunaijua kuliko bongo acha kudanganya mambo ya kitoto, zaidi ya kupiga kura hakuna tofauti na mbele ya sheria wote sawa tuu,na sio kila felony ni deportable offence acha ujinga
 
She is bitter mnoo Hilo lipo trauma ya baba ake haijaisha na haitaisha ,Sasa yeye mpk leo Hana rafiki wa kudumu bado inamtesa Ile kitu na hao walomfanyia baba ake Ile kitu siku akiwajua atawadhalilisha mnooo na I think ndo lengo lake na alishawahi tamka mda kidogo,hiki anachofanya I think yeye ndo anapata ahueni kidoogo.
Enzi hizo ky kulikua hamna kwahiyo alipata maumivu balaa,mku...ndu uliwaka[emoji91][emoji91]
 
Serikali haina hizo resources kuzuia malipo kwenye app ya umbeya, is almost impossible kwa yeyote au serikali kuzuia malipo kwenye google play na kuna crypto siku hizi sasa sijui nazo utazuia vipi, Mange ni mmbeya tuu na wala sio tishio kwa serikali au security ya nchi
Sijazungumzia google play.
Wasimamishe malipo ya wambea lukuki wanaolipia App kwenye kampuni za simu kama Airtel, Voda, Tigo. Serikali inaweza kuzuia miamala ya kutoka na kuingia kwa kimavi
 
Hatimaye na Mimi nimeziona za uwoya, mbona Kama alikuwa kwenye magheto yetu ya uswazi sio dubai
 
Mange hadeal na nudes tu,anaangalia vitu vingi tu ht umbea wa mjini km wanavoposti insta umbea mwingine wale Wana hide names yeye anaweka majina ya hao watu hvyo labda watu waache kumpelekea umbea wa watu Ila si rahisi maana njaa kali.mfano mmekuona star x anatukana nampelekea mange then anaposti hizo picha za uchi ni ziada tu

Ashapigwa chini Insta...
 
Ukikuta connection yako kwenye App yake utakuja kufuta hii comment huku kamasi zinakutoka

Ina maana ngono siku hizi imekuwa ni fashion kwamba lazima mchukue na video ikionesha umezama inchi 9? Kama ni hivyo wacha Mange awakomeshe watu ili washike adabu ya kujirekodi video!
 
Nikuukize ndugu, wewe ukijifungia geto kwako ukarekodi video chafu na mchafu mwenzio ktk simu yako halafu baadae ukaikuta kwa Mange ni nani atakua kafanya kosa? Mange alikuja kukushauri kukulazimisha urekodi huo upuuzi ktk simu kwa ulimwengu huu wa science na technology ya leo?
 
She is bitter mnoo Hilo lipo trauma ya baba ake haijaisha na haitaisha ,Sasa yeye mpk leo Hana rafiki wa kudumu bado inamtesa Ile kitu na hao walomfanyia baba ake Ile kitu siku akiwajua atawadhalilisha mnooo na I think ndo lengo lake na alishawahi tamka mda kidogo,hiki anachofanya I think yeye ndo anapata ahueni kidoogo.
Acc yake ya insta imefungwa. Lol
 
Back
Top Bottom