Sina Bibie ngoja nije dm yako unirushie nakuaminia mama wa udakuUjanja wote huu hapa JF kumbe huna cycle ya connection mjini lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina Bibie ngoja nije dm yako unirushie nakuaminia mama wa udakuUjanja wote huu hapa JF kumbe huna cycle ya connection mjini lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi sababu jamii imeharibika basi tuache kimavi afanye atakalo. Wamuondolee na zile vpn ma vimavi wengine waje tu kazi kazi tupate ma conectoonMimi msimamo wangu ni kukataa unafiki. Nasema sisi hatuna maadili yoyote na siku hizi zinaa imekuwa kama moja ya sifa kubwa. Wanamuziki kama kina Diamond wanapewa sifa na kuripotiwa kama wame-invert jambo kubwa sana kwa nchi yetu just kwa uwezo wao wa kubadilisha wanawake. Zamani wanawake wanabadilisha wanaume bila mpangilio tuliokuwa tunawaita makahaba na kwenye jamii walidharaulika lakini siku hizi tunawaita ma-celebrities na wana wafuasi luluki kwenye mitandao. Kwa kifupi kumsakama Mange ni kama kulaumu tulikoangukia badala ya kulaumu tulikojikwaa. Nchi imejaa wanawake makahaba wenye wafuasi kibao halafu wewe unasema Mange ndiyo anaharibu jamii wakati yeye anaonyesha tu kile kilichopo kwenye jamii?
I'm telling you atafunguliwa tu wakifunga Malipo tutalipa via PayPal hakuna namnaa [emoji16][emoji16][emoji16]maisha mafupi haya...Bora ifunguliwe lol.
Sina Ile analiwa bestie zingine nnazo Kama vipi fanya maarifaIpi si unazo zote au?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbaya wake SIRRO yuko Zimbabwe hivyo siku si nyingi atatia timu Bongo!!!Serikali imeshaifungia app yake haionekani Tanzania mpaka uwe na VPN. Yupo marekani msubirini arudi
Weka facts kama hayo unayosema ni kweli siyo unabwabwaja tu. Type kama yako mmezamia huko majuzi mnajiona wajanja. Halafu maisha yakiwashinda mnajiingiza kwenye madawa ya kulevya mnarudishwa Bongo baada ya kutoka magerezani. Halafu jifunze hata kuelewa Kiswahili: nimetumia “ataweza” meaning “may” kwa Kiingereza. Ukiwa na Green card utakuwa na haki sawa na Raia mtaani tu, lkn on an abstract level hampo sawa. Na isitoshe Green Card huwa ina expire baada ya muda. Unaweza kukataliwa ku renew kama hautimizi au umekiuka vigezo.Acha ujinga US tunaijua kuliko bongo acha kudanganya mambo ya kitoto, zaidi ya kupiga kura hakuna tofauti na mbele ya sheria wote sawa tuu,na sio kila felony ni deportable offence acha ujinga
In theory and in actuality, Green Card Holder anaweza kuwa deported, Raia hawezi kuwa deported except in extreme situations kama akiwa Naturalized Citizen. Green Card ni time-limited, na vigezo na masharti kuzingatiwa. There’s one huge difference.Acha ujinga US tunaijua kuliko bongo acha kudanganya mambo ya kitoto, zaidi ya kupiga kura hakuna tofauti na mbele ya sheria wote sawa tuu,na sio kila felony ni deportable offence acha ujinga
Kuzamia ndio ugoro gani, sihitaji kukaa US na kama unataka Green card njoo nikupe yangu siihitaji kabisa na uraia glad nilikataa kubadilisha, US pazuri kama huna cha maana bongo, likely bado una struggle weweWeka facts kama hayo unayosema ni kweli siyo unabwabwaja tu. Type kama yako mmezamia huko majuzi mnajiona wajanja. Halafu maisha yakiwashinda mnajiingiza kwenye madawa ya kulevya mnarudishwa Bongo baada ya kutoka magerezani. Halafu jifunze hata kuelewa Kiswahili: nimetumia “ataweza” meaning “may” kwa Kiingereza. Ukiwa na Green card utakuwa na haki sawa na Raia mtaani tu, lkn on an abstract level hampo sawa. Na isitoshe Green Card huwa ina expire baada ya muda. Unaweza kukataliwa ku renew kama hautimizi au umekiuka vigezo.
Sasa wamepapaswa wanajifanya kutaka afungieJamani si ni shujaa wa watu huyu, kuna watu wanamshangilia na wamekuwa wakimtumia kama msemaji wao tangu enzi za mwendazake........ tulikataa na kupinga yale yote ila tukaonekana hajujielewi.........acha aendelee kuwapapasa sharubu maana mbwa ukimdekeza sana atakufuata hadi Msikitini
Hapo sasa. Wacha wapapaswe tu na MangeIla kwanini urekodi au urekodiwe hizo video?
Kwanini usifike chumbani kila mtu aweke simu yake sehemu moja?
Utasingizia ulevi, je kuna ulazima wa kulewa hadi kutojitambua?
facts gani mshamba wewe unataka? kapige shift acha kutupotezea muda hope wanakulipa vizuri kama hawakulipi vizuri na uko East Coast naweza kukusai
Anaweza akaachana na kukusanya pesa zake kwa simu pesa akaanza kutumia visa, mastercardWewe vipi wewe? Malipo yamezuiwa maana yake watu wetu watasitiriwa mambo yao ya binafsi, watoto hawataathirika. Na yeye kimavi hatapata hela zetu. Hi hilo tu. Basi.
Hivi Yule wa chupa ya Fanta alimrusha mange?Mina Ally?menina?na wengineo...Wewe vipi wewe? Malipo yamezuiwa maana yake watu wetu watasitiriwa mambo yao ya binafsi, watoto hawataathirika. Na yeye kimavi hatapata hela zetu. Hi hilo tu. Basi.
Naenda kunnua kadi niswipe vzr[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1493][emoji125][emoji125][emoji125]it is a free country kila mtu Ana Uhuru wake Kama wao wanavyojiingiza machupa ya Fanta kwenye uchi acha na sisi tulipie application ya MangeYaan hadi nimechoka hapa mie, haha
Wigo wake wa impact utapungua na mapato yatapungua. Hii ni afadhali kuliko ilivyo sasaAnaweza akaachana na kukusanya pesa zake kwa simu pesa akaanza kutumia visa, mastercard
We unaangalia wa kumlaumu zaidi bila kufikiria madhara ya hadhira.Hivi Yule wa chupa ya Fanta alimrusha mange?Mina Ally?menina?na wengineo...
Kabla ya kumnyooshea kidole mannge tujitafakari na sisi kwanza
!
Unapochukua picha utupu tegemea. Lolote laweza tokea
Application ya mange hata mwaka Haina Ila nudes photos zimekuwepo mda mrefu Kuna Wal vijana wa ifm walikua wanaliwa Tigo aliesambaza alikua mange?
Semeni labda kama mna chuki na mange Sawa Ila Mambo ya kuvuja mapicha ya uchi hayajaanza kwa mange na hayataisha mpk tubadilike sisi wenyewe