Mange Kimambi amtupia kijembe Hamisa.

Wanawake buanaa!!! Yaani bila kuchafuana hamridhiki kabisaa!?? Kwa hiyo hapa lengo lako wakuone Majizo na diamond ili ikiwezekana uchukue ww hiyo nafasi!?? Acha wivu Dada,kwani Hamisa mbona mkimya sana halafu mnamuandama kweli..na mnaomshambulia ni nyie wanawake wenzie..!! Usimfanyie hivyo mwanamke mwenzio Dada....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muulize amejuaje misa huwa anapiga simu usiku wa manane? Inawezekana muda huo huwa anakuwa yupo na Majizo au Dai kwa hiyo mwenyewe anaona wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah Ila Wanaume Wa Dar Mna Ujinga Mwingi Sana Nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…