Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usagaji umekufanya uwe na akili ndogo sana.
Halafu acha shobo usinizoee .
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize amejuaje misa huwa anapiga simu usiku wa manane? Inawezekana muda huo huwa anakuwa yupo na Majizo au Dai kwa hiyo mwenyewe anaona wivuWanawake buanaa!!! Yaani bila kuchafuana hamridhiki kabisaa!?? Kwa hiyo hapa lengo lako wakuone Majizo na diamond ili ikiwezekana uchukue ww hiyo nafasi!?? Acha wivu Dada,kwani Hamisa mbona mkimya sana halafu mnamuandama kweli..na mnaomshambulia ni nyie wanawake wenzie..!! Usimfanyie hivyo mwanamke mwenzio Dada....
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hasira mkuu hili jukwaa la burudaniWcb mpo mashoga wengi kwa nn?.hamuzihurumii hizo tuzi kufokonyolewa Hance Mtanashati huo mchezo wa aunt Mudy umeuanza lini
Daaah Ila Wanaume Wa Dar Mna Ujinga Mwingi Sana NyieUrafiki wa kinafiki kati ya Mange Kimambi na Hamisa Mobeto unazidi kutia mashaka kila kukicha.
Mobeto amekuwa akimtupia vijembe vya chinichini Mange Kimambi katika hali ya kuigiza kama utani, pia Mange amekuwa akimtupia vijembe Hamisa lakini akiulizwa huwa anaruka futi mia na kudai hajamlenga Hamisa hata kidogo.
Hapo namba tisa Mange amemtupia kijembe Hamisa kwamba anajifanya anamaisha mazuri kumbe anafake tu maisha.
Hamisa Mobeto tangu kodi ya nyumba iishe amekuwa mtu wa kuhangaika huku na kule kuwapigia simu wazazi wenzake,Diamond na Majizo wamsaidie angalau kodi ya nyumba kwa sababu anateseka na watoto, na mbaya zaidi Hamisa muda mwingine anapiga simu mpaka usiku wa manane kumbembeleza Diamond Platnumz warudiane kitu ambacho kinamkera sana Mange Kimambi.
Kwa kifupi Mange Kimambi anampenda sana Diamond Platnumz kuliko kawaida ila anashindwa amuanzie wapi ndiyo maana kila mtu ambaye anadate na Diamond ,Mange huanza kumchukia tu bila sababu kwa sababu anatamani nafasi hiyo angepata yeye.
View attachment 981559
Sent using Jamii Forums mobile app
mshamba tu huyo achana naye.Acha hasira mkuu hili jukwaa la burudani
🤣🤣🤣🤣🤣Pale hance kaishia kula za usoView attachment 981762