Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Decree Holder

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
2,559
Reaction score
3,745
Anaandika Mange Kimambi

A letter to my brother Anil

WhatsApp Image 2018-04-17 at 14.53.34(1).jpeg

Since baba amefariki in 2004 I have tried to be the best sister I can be. Siku zote nimewaweka nyinyi mbele yangu mimi.

Nimejaribu kufikiria kama you thought everything through kabla hukwenda kwa Bashite. Remember nyumba mnayoishi 25% ya hiyo nyumba ni yangu. Kumbuka hoteli inayowapa kula 25% ni yangu. Na sio yangu kwa maneno ila kwa judgement ya mahakama kuu. Judgement imetoka since 2006 na mpaka leo mimi naishi nje ya nchi na sijawasumbua muuze chochote mnipe changu.

Since 2004 baba alivyofariki sijawahi kudai wala kupokea hata shingi 10 ya mapato ya hotelini sababu niliwaza nyinyi mnahitaji hizo pesa more than me. Nilitaka msimmiss sana baba sababu aliwaacha nyinyi wadogo sana. Nikaona nibusara niwaachie na share yangu ya hotel. For 14 years hamjawahi kunipa hata sumni. That’s how much I love you. Nahangaika kivyangu marekani ila hata siku moja sijawahi kuwaambia naomba muanze kunipa share yangu ya hoteli. Leo hii nikisema niwadai share yangu ya mapato ya hotel since 2004 mtakuwa na hali gani?? Au nikisema uzeni nyumba mnilipe changu mtaenda kuishi wapi? Na mmezoea kuishi kwenye mansion? Mnadhani sihitaji hizo pesa zangu ? Nazihitaji ili na kimi ninunue japo apartment hapa marekani. Sitaki kuharibu undugu sababu ya mali. Ila wewe umekubali undugu kuharibu wetu?? 3 months ago kimya kimya mmeuza ile sehemu ya kuchimba kokoto pale Tegeta kwa milioni 400 hamjanipa hata senti moja, hata kuniambia kama mmeuza hamjaniambia. Nafanya kuhadisiwa na mliowauzia. Na hata kuwauliza sijawauliza sababu nalinda undugu. Na nnalinda undugu sababu hakuna kitu baba alikuwa ananisihi kukifanya kama kuhakikisha hatufarakani. Kila siku aliniambia Wewe ndio mkubwa, wewe ukiwapenda wadogo zako hamtokaa kutengana. Wewe ndio wakuwaunganisha hawa. Nimejaribu kufanya hivi ili kumuenzi baba yetu. Nimeona bora nyinyi muishi like kings mimi niishi kawaida.

Mpaka hati zangu za shamba langu la Mbweni nilikubali mkazichue kwa lawyer wangu although jaji alinikabidhi mwenyewe. Kama isingekuwa Mama Tenga kukataa kuwapata bila mimi kuwepo leo mngekuwa nazo.

Mpaka hati zangu za shamba langu la Mbweni nilikubaliana mkazichuenkwa lawywr wangu although jaji alinikabidhi mwenyewe. Kama isingekuwa lawyer kukataa kuwapata bila mimi kuwepo leo mngekuwa nazo. Kesi tumeshinda mahakamani na hata sijawasumbua kuhusu ilo shamba.

Nna uwezo wa kurudi mahakamani na kumwambia jaji mmeuza eneo la kokoto kimya kimya without giving me anything. Na hatua kali zikachukuliwa kwa kunitapeli, labda your new friend Bashite atakusaidia huko mahakamani . You have connection now [emoji849]

Ila dah umeniumiza
By the way share yangu ya machimbo ya kokoto ( Tegeta) mliouza kwa milioni 400 mngeanza kunitafutia kabisa. Mlidhani sijui? I know Ila nilikuwa kimya sababu nawapenda sana na bila nyinyi nahisigi siwezi kuishi ila labda nahitaji kujifunza kuishi bila nyinyi. I have tried my best. Baba huko aliko anajua, I have tried!!

I just wanted to remind you of how easily I can https://jamii.app/JFUserGuide you guys over but I chose not to sababu kwangu mimi pesa na mali is nothing but undugu is everything. Ila leo you decided to https://jamii.app/JFUserGuide me over. Ukooo mzima ulishangaa na unanishangaa mpaka kesho how come sijadai changu Hadi leo miaka 10 na wakati jaji alishatugawanyisha?? You have taken me for granted. But namwachia Mungu, atanilipia!!!!

Sorry guys, ilibidi nitoe hili kifuani ili niweze kuendelea na mambo mengine.... Nisingekwambia ingenisumbua mno. Haki leo Bashite kaniumiza.... abut the struggle continues. I promise not to address this issue again.... Kwahili mniombee kwa kweli maana limeniumiza haswa. Na nimeumia simply because najua my dad is so disappointed huko aliko finally tumefarakana!!!!
 
A letter to my brother Anil

Since baba amefariki in 2004 I have tried to be the best sister I can be. Siku zote nimewaweka nyinyi mbele yangu mimi. .
.
Nimejaribu kufikiria kama you thought everything through kabla hukwenda kwa Bashite. Remember nyumba mnayoishi 25% ya hiyo nyumba ni yangu. Kumbuka hoteli inayowapa kula 25% ni yangu. Na sio yangu kwa maneno ila kwa judgement ya mahakama kuu. Judgement imetoka since 2006 na mpaka leo mimi naishi nje ya nchi na sijawasumbua muuze chochote mnipe changu.
.
.
Since 2004 baba alivyofariki sijawahi kudai wala kupokea hata shingi 10 ya mapato ya hotelini sababu niliwaza nyinyi mnahitaji hizo pesa more than me. Nilitaka msimmiss sana baba sababu aliwaacha nyinyi wadogo sana. Nikaona nibusara niwaachie na share yangu ya hotel. For 14 years hamjawahi kunipa hata sumni. That’s how much I love you. Nahangaika kivyangu marekani ila hata siku moja sijawahi kuwaambia naomba muanze kunipa share yangu ya hoteli. Leo hii nikisema niwadai share yangu ya mapato ya hotel since 2004 mtakuwa na hali gani?? Au nikisema uzeni nyumba mnilipe changu mtaenda kuishi wapi? Na mmezoea kuishi kwenye mansion? Mnadhani sihitaji hizo pesa zangu ? Nazihitaji ili na kimi ninunue japo apartment hapa marekani. Sitaki kuharibu undugu sababu ya mali. Ila wewe umekubali undugu kuharibu wetu?? 3 months ago kimya kimya mmeuza ile sehemu ya kuchimba kokoto pale Tegeta kwa milioni 400 hamjanipa hata senti moja, hata kuniambia kama mmeuza hamjaniambia. Nafanya kuhadisiwa na mliowauzia. Na hata kuwauliza sijawauliza sababu nalinda undugu. Na nnalinda undugu sababu hakuna kitu baba alikuwa ananisihi kukifanya kama kuhakikisha hatufarakani. Kila siku aliniambia Wewe ndio mkubwa, wewe ukiwapenda wadogo zako hamtokaa kutengana. Wewe ndio wakuwaunganisha hawa. Nimejaribu kufanya hivi ili kumuenzi baba yetu. Nimeona bora nyinyi muishi like kings mimi niishi kawaida. .
.

Mpaka hati zangu za shamba langu la Mbweni nilikubali mkazichue kwa lawyer wangu although jaji alinikabidhi mwenyewe. Kama isingekuwa Mama Tenga kukataa kuwapata bila mimi kuwepo leo mngekuwa nazo.
Mpaka hati zangu za shamba langu la Mbweni nilikubaliana mkazichuenkwa lawywr wangu although jaji alinikabidhi mwenyewe. Kama isingekuwa lawyer kukataa kuwapata bila mimi kuwepo leo mngekuwa nazo. Kesi tumeshinda mahakamani na hata sijawasumbua kuhusu ilo shamba. .
. .
.
.
Nna uwezo wa kurudi mahakamani na kumwambia jaji mmeuza eneo la kokoto kimya kimya without giving me anything. Na hatua kali zikachukuliwa kwa kunitapeli, labda your new friend Bashite atakusaidia huko mahakamani . You have connection now [emoji849]
.
.
Ila dah umeniumiza
By the way share yangu ya machimbo ya kokoto ( Tegeta) mliouza kwa milioni 400 mngeanza kunitafutia kabisa. Mlidhani sijui? I know Ila nilikuwa kimya sababu nawapenda sana na bila nyinyi nahisigi siwezi kuishi ila labda nahitaji kujifunza kuishi bila nyinyi. I have tried my best. Baba huko aliko anajua, I have tried!!
.
.
Nna uwezo wa kurudi mahakamani na kumwambia jaji mmeuza eneo la kokoto kimya kimya without giving me anything. Na hatua kali zikachukuliwa kwa kunitapeli, labda your new friend Bashite atakusaidia huko mahakamani . You have connection now [emoji849]
.
.
I just wanted to remind you of how easily I can **** you guys over but I chose not to sababu kwangu mimi pesa na mali is nothing but undugu is everything. Ila leo you decided to **** me over. Ukooo mzima ulishangaa na unanishangaa mpaka kesho how come sijadai changu Hadi leo miaka 10 na wakati jaji alishatugawanyisha?? You have taken me for granted. But namwachia Mungu, atanilipia!!!!
.
.
.
Sorry guys, ilibidi nitoe hili kifuani ili niweze kuendelea na mambo mengine.... Nisingekwambia ingenisumbua mno. Haki leo Bashite kaniumiza.... abut the struggle continues. I promise not to address this issue again.... Kwahili mniombee kwa kweli maana limeniumiza haswa. Na nimeumia simply because najua my dad is so disappointed huko aliko finally tumefarakana!!!! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji30][emoji30][emoji30]
Huyu da'Mange ni limbukeni tu. Hana lolote zaidi ya kupewa bichwa na mazuzu wenzake. Akafie mbele huko.
 
hakika mange ww ni mfano hakuna wa kumuacha hata akiwa damu yako hongera kwa kutokuwa mnafiki

Mfano wa kuigwa wakati anawasiliana na ndugu zake kwa kupitia instagram! My left foot.

Leo anaanza kutolea siri zao za ndani kwenye instagram halafu unamwambia mfano wa kuigwa!

Ukisikia mtu anakwambia taifa kwanza, familia baadaye lazima huyo mtu atakuwa ana matatizo makubwa kiakiri!

Kama una akili timamu ukiona ndugu zako wa damu wanaanza kukukimbia mpaka unatumia instagram kuwasiliana nao lazima uanze kujitafakari kwa kina.

Tanzania kuna vituko!
 
Ili kumtoa kwenye moody yake ya kuhamasisha 2604. Naona Makonda kamtafuta mdogo wake Mange na kupiga nae picha. Haahaaaa

Halafu kuna ndoa za kisiasa zinakuja kabla ya 2604.
Zimepangwa naona ili washabiki was Mange watoke kwenye reli ya 2604.

Alikiba kufunga ndoa karibuni. Hahaaaa..

Sikujua Mange anaisumbua hivi hii cerecali.
 
Nilishangaa sana milipomsikia Musiba akidai eti Mange anatumiwa na kitengo cha Ujasusi cha Marekani.

Kitengo cha Ujasusi cha Marekani hakiwezi kumtumia mtu ambaye haeleweki eleweki kifikra (unsound mind)

Mtu ambaye kesho akiamka kivingine anaanza kutoa siri zote ulizompatia hawezi kamwe kutumiwa na taasisi makini kama CIA.

Kuna siku hata wanasiasa wa Tanzania wanaomtumia atakuja kuwaanika pamoja na mawasiliano yao.
 
Ili kumtoa kwenye moody yake ya kuhamasisha 2604. Naona Makonda kamtafuta mdogo wake Mange na kupiga nae picha. Haahaaaa

Halafu kuna ndoa za kisiasa zinakuja kabla ya 2604.
Zimepangwa naona ili washabiki was Mange watoke kwenye reli ya 2604.

Alikiba kufunga ndoa karibuni. Hahaaaa..

Sikujua Mange anaisumbua hivi hii cerecali.
Yaani Ali Kiba aache kufunga ndoa kwa sababu ya huyo Mange wenu, ha ha ha. Akili zenu mnazijua wenyewe.
 
A letter to my brother Anil

Since baba amefariki in 2004 I have tried to be the best sister I can be. Siku zote nimewaweka nyinyi mbele yangu mimi. .
.
Nimejaribu kufikiria kama you thought everything through kabla hukwenda kwa Bashite. Remember nyumba mnayoishi 25% ya hiyo nyumba ni yangu. Kumbuka hoteli inayowapa kula 25% ni yangu. Na sio yangu kwa maneno ila kwa judgement ya mahakama kuu. Judgement imetoka since 2006 na mpaka leo mimi naishi nje ya nchi na sijawasumbua muuze chochote mnipe changu.
.
.
Since 2004 baba alivyofariki sijawahi kudai wala kupokea hata shingi 10 ya mapato ya hotelini sababu niliwaza nyinyi mnahitaji hizo pesa more than me. Nilitaka msimmiss sana baba sababu aliwaacha nyinyi wadogo sana. Nikaona nibusara niwaachie na share yangu ya hotel. For 14 years hamjawahi kunipa hata sumni. That’s how much I love you. Nahangaika kivyangu marekani ila hata siku moja sijawahi kuwaambia naomba muanze kunipa share yangu ya hoteli. Leo hii nikisema niwadai share yangu ya mapato ya hotel since 2004 mtakuwa na hali gani?? Au nikisema uzeni nyumba mnilipe changu mtaenda kuishi wapi? Na mmezoea kuishi kwenye mansion? Mnadhani sihitaji hizo pesa zangu ? Nazihitaji ili na kimi ninunue japo apartment hapa marekani. Sitaki kuharibu undugu sababu ya mali. Ila wewe umekubali undugu kuharibu wetu?? 3 months ago kimya kimya mmeuza ile sehemu ya kuchimba kokoto pale Tegeta kwa milioni 400 hamjanipa hata senti moja, hata kuniambia kama mmeuza hamjaniambia. Nafanya kuhadisiwa na mliowauzia. Na hata kuwauliza sijawauliza sababu nalinda undugu. Na nnalinda undugu sababu hakuna kitu baba alikuwa ananisihi kukifanya kama kuhakikisha hatufarakani. Kila siku aliniambia Wewe ndio mkubwa, wewe ukiwapenda wadogo zako hamtokaa kutengana. Wewe ndio wakuwaunganisha hawa. Nimejaribu kufanya hivi ili kumuenzi baba yetu. Nimeona bora nyinyi muishi like kings mimi niishi kawaida. .
.

Mpaka hati zangu za shamba langu la Mbweni nilikubali mkazichue kwa lawyer wangu although jaji alinikabidhi mwenyewe. Kama isingekuwa Mama Tenga kukataa kuwapata bila mimi kuwepo leo mngekuwa nazo.
Mpaka hati zangu za shamba langu la Mbweni nilikubaliana mkazichuenkwa lawywr wangu although jaji alinikabidhi mwenyewe. Kama isingekuwa lawyer kukataa kuwapata bila mimi kuwepo leo mngekuwa nazo. Kesi tumeshinda mahakamani na hata sijawasumbua kuhusu ilo shamba. .
. .
.
.
Nna uwezo wa kurudi mahakamani na kumwambia jaji mmeuza eneo la kokoto kimya kimya without giving me anything. Na hatua kali zikachukuliwa kwa kunitapeli, labda your new friend Bashite atakusaidia huko mahakamani . You have connection now [emoji849]
.
.
Ila dah umeniumiza
By the way share yangu ya machimbo ya kokoto ( Tegeta) mliouza kwa milioni 400 mngeanza kunitafutia kabisa. Mlidhani sijui? I know Ila nilikuwa kimya sababu nawapenda sana na bila nyinyi nahisigi siwezi kuishi ila labda nahitaji kujifunza kuishi bila nyinyi. I have tried my best. Baba huko aliko anajua, I have tried!!
.
.
Nna uwezo wa kurudi mahakamani na kumwambia jaji mmeuza eneo la kokoto kimya kimya without giving me anything. Na hatua kali zikachukuliwa kwa kunitapeli, labda your new friend Bashite atakusaidia huko mahakamani . You have connection now [emoji849]
.
.
I just wanted to remind you of how easily I can **** you guys over but I chose not to sababu kwangu mimi pesa na mali is nothing but undugu is everything. Ila leo you decided to **** me over. Ukooo mzima ulishangaa na unanishangaa mpaka kesho how come sijadai changu Hadi leo miaka 10 na wakati jaji alishatugawanyisha?? You have taken me for granted. But namwachia Mungu, atanilipia!!!!
.
.
.
Sorry guys, ilibidi nitoe hili kifuani ili niweze kuendelea na mambo mengine.... Nisingekwambia ingenisumbua mno. Haki leo Bashite kaniumiza.... abut the struggle continues. I promise not to address this issue again.... Kwahili mniombee kwa kweli maana limeniumiza haswa. Na nimeumia simply because najua my dad is so disappointed huko aliko finally tumefarakana!!!! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji30][emoji30][emoji30]
Zawadi,

Mwambieni Mange kuwa kuandamana au kutokuandamana ni haki ya kidemokrasia.

Kila raia ana uhuru na haki ya kuamua akitakacho, kuchagua marafiki na kufungamana na mlengo wowote wa kiasiasa anaoona unamfaa.

Ni haki ya msingi kila raia kuchagua au kuchaguliwa kuongoza. Na ni uhuru binafsi wa yeyote kuchagua kiongozi wake.

Hiyo ndio demokrasia.

Alichofanya ni makosa makubwa. Kutangaza maswala binafsi ya ndugu hadharani ili kuwatishia wamuunge mkono katika harakati zake ni makosa makubwa. Hii inaitwa 'blackmail' na ni kosa kubwa kisheria.
Pia ni kinyume cha demokrasia na haki za kikatiba kumlazimisha mtu akuunge mkono kwa vitisho.
Je hapo Mange ana tofauti gani na anaowapinga?
Ndio wale wale and the same bullshit.

Na kuna jambo jingine linaloibuka hapa..Mange yuko tayari kuficha maovu na kusapoti uvunjaji wa sheria ilimradi tu hao wavunja sheria ni ndugu wanaomsapoti. Huu ni uhalifu.
Kama hao ndugu zake, kama kweli wamevunja sheria basi alipaswa kuwachukulia hatua na sio kusubiri hadi watakapotofautiana mitizamo ya kisiasa. Sasa Mange akiwa kiongozi si ndio atakuwa dikteta mbaya anayelazimisha nchi nzima iwaze kama yeye na kufuata anachotaka tu?????

Rafiki zake pia wajifunze. Siku wakiacha kumsapoti atamwaga siri zao zote hadharani na kuwasababishia matatizo kibao.
Mwenye akili na asikie.
 
Nilishangaa sana milipomsikia Musiba akidai eti Mange anatumiwa na kitengo cha Ujasusi cha Marekani.

Kitengo cha Ujasusi cha Marekani hakiwezi kumtumia mtu ambaye haeleweki eleweki kifikra (unsound mind)

Mtu ambaye kesho akiamka kivingine anaanza kutoa siri zote ulizompatia.

Kuna siku hata wanasiasa wa Tanzania wanaomtumia atakuja kuwaanika pamoja na mawasiliano yao.
Unajua mzee, kuna siku ulisema jinsi watanzania walivyo wanafiki. Leo unadhiirisha ulichokisema. I wonder kama ulisema hivyo kipindi kile huyo Mange anampigia kampeni ********, na akisambaza taarifa za Lowassa kujinyea!!
 
...Na kuna jambo jingine linaloibuka hapa..Mange yuko tayari kuficha maovu na kusapoti uvunjaji wa sheria ilimradi tu hao wavunja sheria ni ndugu wanaomsapoti. Huu ni uhalifu.
Kama hao ndugu zake, kama kweli wamevunja sheria basi alipaswa kuwachukulia hatua na sio kusubiri hadi watakapotofautiana mitizamo ya kisiasa. Sasa Mange akiwa kiongozi si ndio atakuwa dikteta mbaya anayelazimisha nchi nzima iwaze kama yeye na kufuata anachotaka tu?????...
Naunga mkono hoja.
 
Huko Instagram ndugu zake wamemblock sijui huyo mange angewafikishiaje huo ujumbe kirahisi zaidi ya njia aliyotumia,?
Huenda angetumia njia ya siri isingekuwa na nguvu ili kuharibu mission.
 
Mali zenyewe za urithi huyu mwehu anatujazia server kwa ujinga wake,kakazana 25% utadhani kawekeza,kwanza hiyo hoteli ni makazi ya popo na bado TRA inawadai,kwa sisi waafrika mtoto wa kike hana chake katika mali za urithi hata akiwa mkubwa yeye asubiri mgawo kutoka kwa wadogo zake wa kiume.Akizidi kuhamasisha maandamano tutaanzia kubomoa hayo magofu yao ya urithi hapo ndio atajua umuhimu wa amani,anadai hayo magofu sababu ya nchi ni salama .
 
Back
Top Bottom