A letter to my brother Anil
Since baba amefariki in 2004 I have tried to be the best sister I can be. Siku zote nimewaweka nyinyi mbele yangu mimi. .
.
Nimejaribu kufikiria kama you thought everything through kabla hukwenda kwa Bashite. Remember nyumba mnayoishi 25% ya hiyo nyumba ni yangu. Kumbuka hoteli inayowapa kula 25% ni yangu. Na sio yangu kwa maneno ila kwa judgement ya mahakama kuu. Judgement imetoka since 2006 na mpaka leo mimi naishi nje ya nchi na sijawasumbua muuze chochote mnipe changu.
.
.
Since 2004 baba alivyofariki sijawahi kudai wala kupokea hata shingi 10 ya mapato ya hotelini sababu niliwaza nyinyi mnahitaji hizo pesa more than me. Nilitaka msimmiss sana baba sababu aliwaacha nyinyi wadogo sana. Nikaona nibusara niwaachie na share yangu ya hotel. For 14 years hamjawahi kunipa hata sumni. That’s how much I love you. Nahangaika kivyangu marekani ila hata siku moja sijawahi kuwaambia naomba muanze kunipa share yangu ya hoteli. Leo hii nikisema niwadai share yangu ya mapato ya hotel since 2004 mtakuwa na hali gani?? Au nikisema uzeni nyumba mnilipe changu mtaenda kuishi wapi? Na mmezoea kuishi kwenye mansion? Mnadhani sihitaji hizo pesa zangu ? Nazihitaji ili na kimi ninunue japo apartment hapa marekani. Sitaki kuharibu undugu sababu ya mali. Ila wewe umekubali undugu kuharibu wetu?? 3 months ago kimya kimya mmeuza ile sehemu ya kuchimba kokoto pale Tegeta kwa milioni 400 hamjanipa hata senti moja, hata kuniambia kama mmeuza hamjaniambia. Nafanya kuhadisiwa na mliowauzia. Na hata kuwauliza sijawauliza sababu nalinda undugu. Na nnalinda undugu sababu hakuna kitu baba alikuwa ananisihi kukifanya kama kuhakikisha hatufarakani. Kila siku aliniambia Wewe ndio mkubwa, wewe ukiwapenda wadogo zako hamtokaa kutengana. Wewe ndio wakuwaunganisha hawa. Nimejaribu kufanya hivi ili kumuenzi baba yetu. Nimeona bora nyinyi muishi like kings mimi niishi kawaida. .
.
Mpaka hati zangu za shamba langu la Mbweni nilikubali mkazichue kwa lawyer wangu although jaji alinikabidhi mwenyewe. Kama isingekuwa Mama Tenga kukataa kuwapata bila mimi kuwepo leo mngekuwa nazo.
Mpaka hati zangu za shamba langu la Mbweni nilikubaliana mkazichuenkwa lawywr wangu although jaji alinikabidhi mwenyewe. Kama isingekuwa lawyer kukataa kuwapata bila mimi kuwepo leo mngekuwa nazo. Kesi tumeshinda mahakamani na hata sijawasumbua kuhusu ilo shamba. .
. .
.
.
Nna uwezo wa kurudi mahakamani na kumwambia jaji mmeuza eneo la kokoto kimya kimya without giving me anything. Na hatua kali zikachukuliwa kwa kunitapeli, labda your new friend Bashite atakusaidia huko mahakamani . You have connection now [emoji849]
.
.
Ila dah umeniumiza
By the way share yangu ya machimbo ya kokoto ( Tegeta) mliouza kwa milioni 400 mngeanza kunitafutia kabisa. Mlidhani sijui? I know Ila nilikuwa kimya sababu nawapenda sana na bila nyinyi nahisigi siwezi kuishi ila labda nahitaji kujifunza kuishi bila nyinyi. I have tried my best. Baba huko aliko anajua, I have tried!!
.
.
Nna uwezo wa kurudi mahakamani na kumwambia jaji mmeuza eneo la kokoto kimya kimya without giving me anything. Na hatua kali zikachukuliwa kwa kunitapeli, labda your new friend Bashite atakusaidia huko mahakamani . You have connection now [emoji849]
.
.
I just wanted to remind you of how easily I can **** you guys over but I chose not to sababu kwangu mimi pesa na mali is nothing but undugu is everything. Ila leo you decided to **** me over. Ukooo mzima ulishangaa na unanishangaa mpaka kesho how come sijadai changu Hadi leo miaka 10 na wakati jaji alishatugawanyisha?? You have taken me for granted. But namwachia Mungu, atanilipia!!!!
.
.
.
Sorry guys, ilibidi nitoe hili kifuani ili niweze kuendelea na mambo mengine.... Nisingekwambia ingenisumbua mno. Haki leo Bashite kaniumiza.... abut the struggle continues. I promise not to address this issue again.... Kwahili mniombee kwa kweli maana limeniumiza haswa. Na nimeumia simply because najua my dad is so disappointed huko aliko finally tumefarakana!!!! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji30][emoji30][emoji30]