Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mfano wa kuigwa wakati anawasiliana na ndugu zake kwa kupitia instagram! My left foot.

Leo anaanza kutolea siri zao za ndani kwenye instagram halafu unamwambia mfano wa kuigwa!

Kama una akili timamu ukiona ndugu zako wa damu wanaanza kukukumbia mpaka unatumia instagram kuwasiliana nao lazima uanze kujitafakari kwa kina.

Tanzania kuna vituko!
Mnataka aje Tanzania. Mumgawe vipande vipande?kama mwenyewe alivyosema?
 
This bitch is a fucking lunatic. Eti ataenda mahakamani ili wampte share yake! Mahakama ipi in the US inasikiliza civil disputes za foreign country. Anajua fika kwamba she will never ever board a flight bound to Dar as long as CCM ni chama tawala, and no wonder the so called "ndugu zangu" wanajifanyia wanayo taka bila kumwambia. Matter of fact, wanajuta kuzaliwa na kituko kama yeye, aka Dr. Mange K.
 
Ili kumtoa kwenye moody yake ya kuhamasisha 2604. Naona Makonda kamtafuta mdogo wake Mange na kupiga nae picha. Haahaaaa

Halafu kuna ndoa za kisiasa zinakuja kabla ya 2604.
Zimepangwa naona ili washabiki was Mange watoke kwenye reli ya 2604.

Alikiba kufunga ndoa karibuni. Hahaaaa..

Sikujua Mange anaisumbua hivi hii cerecali.
Mfuasi wa Mange kimambi kajifunze kuandika.
 
"Kila RAIA ana Uhuru wa kwenda popote, kukutana na MTU yeyote, ili mradi havunji sheria..."

Kuna Uhuru wa kutofungamana na upande wowote, yaani mtu hakuchagulii nani awe rafiki na nani awe adui!!!

Mwanaharakati wa demokrasia, tena ambaye kilasiku amekuwa akituonyesha hats haki alizonazo mwanaye Kenzo huko marekani, anapokuja na hoja za kulazimisha mtu atii matakwa yake kwa sababu ya faida ya malengo yake ni ajabu ya kalne.
Kwa taarifa yake, wenzie wamejua yeye ni "wanted" si wakurudi tena Tz, wameamua kutumia fulsa aliyowasogezea.
 
This bitch is a fucking lunatic. Eti ataenda mahakamani ili wampte share yake! Mahakama ipi in the US inasikiliza civil disputes za foreign country. Anajua fika kwamba she will never ever board a flight bound to Dar as long as CCM ni chama tawala, and no wonder the so called "ndugu zangu" wanajifanyia wanayo taka bila kumwambia. Matter of fact, wanajuta kuzaliwa na kituko kama yeye, aka Dr. Mange K.
Wewe ni matako tu, undugu hautenganishwi na siasa. They will always remain brother and sister regardless ya hizi fitina

Halafu Mange hapambani na ccm, kwa sasa she is non partisan, standing and fighting for the country. Na kwa taarifa yako tu wanaccm wengi tunamsupport. Miaka ya mbeleni baada ya utawala huu wa kidictator mchango wa Mange Kimambi utatambuliwa na kuenziwa.
 
Acha kujidhalilisha wewe.
 
Mimi sio mshabiki wa huyu Dada, lakini kwa jinsi anavyopaishwa na hii serikali ya Tanzania ya watu 50million plus. She is becoming more relevant day by day in Tanzania and commanding a huge following!

And surprise to many, She is revealing one thing, she IS THE ONE RUNNING THE GOVERNMENT ! AGREE TO DISAGREE.

and another aspect, why the government fail to ignore her, either in most part she is telling the truth or the government is full of incompetency autocrats, and she is irritating them really hard!

Anawakuna kisawasawa!
 
Ili kumtoa kwenye moody yake ya kuhamasisha 2604. Naona Makonda kamtafuta mdogo wake Mange na kupiga nae picha. Haahaaaa

Halafu kuna ndoa za kisiasa zinakuja kabla ya 2604.
Zimepangwa naona ili washabiki was Mange watoke kwenye reli ya 2604.

Alikiba kufunga ndoa karibuni. Hahaaaa..

Sikujua Mange anaisumbua hivi hii cerecali.
Unaamini kuna kitu maandamano hiyo 26?Nafikiri utalikimbia jukwaa siku hiyo
 
Back
Top Bottom