Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?

Na wewe usiwe dwanzi, sio Mange aliyeleta thread hii huku bali wa kulaumiwa ni huyu kiherehere Zawadi whatever!
 
Mshana urafiki ndio ulivyo mkuu.
Ila mkuu Bashite amethibitisha hana urafiki wa kudumu labda akitaka kukutumia au kupata kitu toka kwako. So ni kweli mtu hapangiwi urafiki ila urafiki huu wa ghafla na ANIL kwa wakati huu unatia mashaka sana.
 
Kwanini unahisi ANIL anatumiwa mkuu?
 
Kwanini unahisi ANIL anatumiwa mkuu?
Hapana hilo siwezi thibitisha, ni haki yake kuwasiliana na yeyote na hatujui walichoongea, labda dada yake anajua. Nimeshuhudia familia ambazo mke anagombea CDM, mme CCM na wako poa tu. Dada mtu pia ameonyesha udhaifu kuandika alichoandika, ila ninachojua ni kuwa ni urafiki wa mashaka na mwisho wake ni mgawanyiko kwa wanafamilia watabaki wenyewe.
 
Ok sawa mkuu ila amini MANGE ata walichoongea akijui na kama angejua asingeweza kukaa kimya bila kueleza mazungumzo yaliyojiri kati ya ANIL na RC.

Vile vile ata siku ANIL ana appointment na RC akujua pia, angejua mapema ungeona angekuwa wa kwanza ku post. Ila mkuu jua pia hii ni trap ya MANGE ili aje nchini ku claim 25%ya share.
 
Wewe una IQ ya ngapi ? Tuanze hapo usijekuta una IQ ya 15 halafu unajidaiii[emoji2]

Ukweli unabaki kuwa IQ ya mtu anayewasaidia ndugu zake akitarajia kuwa hao ndugu watakuwa marafiki wa rafika zake na maadui wa maaduii zake huyu mtu ana IQ ya kutisha. Halafu anawatishia hao nduguze kwenye poblic. Sasa wewe kama ni shabiki au unamkubali mtu design hiyo JIFIKIRIE upya wewe ni mtu wa aina gani
 
Hyo picha anayolalamikia Mange ikwapi mtoa post???
 
Kuna siku mambo yatasambaratika mazima. Kikulacho no nguoni mwako. At least tunaanza kuona kwa mbali
 
Fredo,You are my older brother,and i love you so much but don't take any side against the family,ever by Michael Corleone.
 
@misasa utaona mwisho wa huu urafiki trust me... You will be surprised......
Ridhiwani aliwahi kufungwa mpaka gidamu za viatu
Ruge was the best friend
Vipi ya GSM!? Just to mention a few..!!!
Tatizo mnaangalia hili kiitikadi. Mange angepata credit kubwa kama angepotezea hili. Unapofikia sehemu ya kumuanika ndugu au familia huku ukisema unalipenda Taifa lazima wenye akili wahoji! Kama unaweza kuvunja agano la mshikamano alilowaachia baba yenu tena kwa kuanikana mitandaoni mnategemea nini kwenye misimamo mingine?

Mange amejibebesha mizigo ambayo mwisho wake atajikuta peke yake. Kama ameamua kuvalia njuga anachohamasisha ajipange na matokeo yake maana si madogo pia.

Mbaya zaidi wabongo ujanja wao unaishia kwenye keyboard tu lakini pale watapofanikiwa kumuweka kati na kumrudisha Tanzania atajikuta na wanasheria wachache wa kumpigania kwa muda huku wengine wakiishia kulaani mitandaoni na kumsahau baadae.

Ni vizuri wenye nia njema nae wakawa wanamshauri namna ya kuikosoa serikali bila udhalilishaji na matusi ya kupitiliza. Pia taarifa zingine anapozitoa mitandaoni ajue na matokeo yake wakimpata maana watakuwa wanakusanya ushahidi kwa namna ambayo inaweza kuja kumtia hatiani.

Influence yake ingebaki kwenye mambo ya msingi kama ilivuokuwa JF enzi hizo na akina invisible. Watu wanakusanya facts na nyaraka kuibua uozo na unawakilishwa kwa staha. I believe she can be better than that sababu wanaomfatilia ni wengi kuliko enzi zile za JF.
 
MANGE ni weak sana.

Sio strong kama anavyojipanua yaani picha ya ndugu yake na RC ndio kimesababisha kutoa mambo ya familia hadharani.
 
Huyo kijana, the one Anil, ni mazingira yanayoweza kumlazimisha kuwa karibu na Bashite ikizingatiwa kuwa kina Bashite kwa sasa wanahusishwa na mambo mengi hasi.

Na Bashite naye anajaribu kuwa karibu na huyo kijana for political milage akiamini kwa kufanya hivyo anaweza kuwa anam-frustrate Mange.

All in all, kitu kinapowekwa wazi ni njia moja wapo ya kusaidia wengine kwani hakuna case ambayo ni "Unique", nyingi hujirudia-rudia tu na kuficha sio suluhisho kwani je, wakiamua kwenda mahakamani, itakuwa siri tena?

Mwisho, ukweli utabaki pale pale kuwa anayodai na kupigania Mange ni ya ukweli na wanaopinga ni wale wanaonufaika ktk hii awamu. That's all.
 
This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?
Mbona hujashangaa ya kina diamond na mama yake, familia yake na wengineo huwasiliana kwenye mitandao??????

Au umejaaa unafiki ili tukuone unashangaaa
 
Sasa wanaume wenzangu, mara paaap unajikuta mke wako wa ndoa ni Mange.

YESU na MARIA kweli!

Wewe utakwenda PEPONI tu siku ya hukumu kwa sababu adha ya ziraili na MOTONI utakuwa tayari unaipata hapa hapa duniani.
 
Nimemfundisha darasani Esacs Academy 2000./2001. He was always the last in everything
Professional Academic Ethics umezitupia wapi teacher?

Yaani unaanika academic performances za wanafunzi wako hadharani bila sababu yoyote?

Ndio maana kijana hakuwa anafanya vizuri. Walimu wenyewe ni vilaza kama wewe.
 
Back
Top Bottom