This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?
Ila mkuu Bashite amethibitisha hana urafiki wa kudumu labda akitaka kukutumia au kupata kitu toka kwako. So ni kweli mtu hapangiwi urafiki ila urafiki huu wa ghafla na ANIL kwa wakati huu unatia mashaka sana.Mshana urafiki ndio ulivyo mkuu.
Kwanini unahisi ANIL anatumiwa mkuu?Ila mkuu Bashite amethibitisha hana urafiki wa kudumu labda akitaka kukutumia au kupata kitu toka kwako. So ni kweli mtu hapangiwi urafiki ila urafiki huu wa ghafla na ANIL kwa wakati huu unatia mashaka sana.
Hapana hilo siwezi thibitisha, ni haki yake kuwasiliana na yeyote na hatujui walichoongea, labda dada yake anajua. Nimeshuhudia familia ambazo mke anagombea CDM, mme CCM na wako poa tu. Dada mtu pia ameonyesha udhaifu kuandika alichoandika, ila ninachojua ni kuwa ni urafiki wa mashaka na mwisho wake ni mgawanyiko kwa wanafamilia watabaki wenyewe.Kwanini unahisi ANIL anatumiwa mkuu?
Ok sawa mkuu ila amini MANGE ata walichoongea akijui na kama angejua asingeweza kukaa kimya bila kueleza mazungumzo yaliyojiri kati ya ANIL na RC.Hapana hilo siwezi thibitisha, ni haki yake kuwasiliana na yeyote na hatujui walichoongea, labda dada yake anajua. Nimeshuhudia familia ambazo mke anagombea CDM, mme CCM na wako poa tu. Dada mtu pia ameonyesha udhaifu kuandika alichoandika, ila ninachojua ni kuwa ni urafiki wa mashaka na mwisho wake ni mgawanyiko kwa wanafamilia watabaki wenyewe.
Wewe una IQ ya ngapi ? Tuanze hapo usijekuta una IQ ya 15 halafu unajidaiii[emoji2]
Tatizo mnaangalia hili kiitikadi. Mange angepata credit kubwa kama angepotezea hili. Unapofikia sehemu ya kumuanika ndugu au familia huku ukisema unalipenda Taifa lazima wenye akili wahoji! Kama unaweza kuvunja agano la mshikamano alilowaachia baba yenu tena kwa kuanikana mitandaoni mnategemea nini kwenye misimamo mingine?@misasa utaona mwisho wa huu urafiki trust me... You will be surprised......
Ridhiwani aliwahi kufungwa mpaka gidamu za viatu
Ruge was the best friend
Vipi ya GSM!? Just to mention a few..!!!
MANGE ni weak sana.Tatizo mnaangalia hili kiitikadi. Mange angepata credit kubwa kama angepotezea hili. Unapofikia sehemu ya kumuanika ndugu au familia huku ukisema unalipenda Taifa lazima wenye akili wahoji! Kama unaweza kuvunja agano la mshikamano alilowaachia baba yenu tena kwa kuanikana mitandaoni mnategemea nini kwenye misimamo mingine?
Mange amejibebesha mizigo ambayo mwisho wake atajikuta peke yake. Kama ameamua kuvalia njuga anachohamasisha ajipange na matokeo yake maana si madogo pia.
Mbaya zaidi wabongo ujanja wao unaishia kwenye keyboard tu lakini pale watapofanikiwa kumuweka kati na kumrudisha Tanzania atajikuta na wanasheria wachache wa kumpigania kwa muda huku wengine wakiishia kulaani mitandaoni na kumsahau baadae.
Ni vizuri wenye nia njema nae wakawa wanamshauri namna ya kuikosoa serikali bila udhalilishaji na matusi ya kupitiliza. Pia taarifa zingine anapozitoa mitandaoni ajue na matokeo yake wakimpata maana watakuwa wanakusanya ushahidi kwa namna ambayo inaweza kuja kumtia hatiani.
Influence yake ingebaki kwenye mambo ya msingi kama ilivuokuwa JF enzi hizo na akina invisible. Watu wanakusanya facts na nyaraka kuibua uozo na unawakilishwa kwa staha. I believe she can be better than that sababu wanaomfatilia ni wengi kuliko enzi zile za JF.
Hahahaaaaaaaa. Nimecheka kwa sautiNimemfundisha darasani Esacs Academy 2000./2001. He was always the last in everything
Mwenzio amezua zali jipya ili kupotezea mambo ya maandamano, wewe unayaibua upya? Ama kweli watu hamna dogo.Hivi yale maandamano bado yapo?
Mbona hujashangaa ya kina diamond na mama yake, familia yake na wengineo huwasiliana kwenye mitandao??????This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?
Professional Academic Ethics umezitupia wapi teacher?Nimemfundisha darasani Esacs Academy 2000./2001. He was always the last in everything