Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Amewahonga nini hao FBI mpaka wampe ulinzi na Kila kitu?

Amewashika pabaya mwaka huu mpaka mje kumkamata mtakuwa mnahemea mipiraa, simuungi mkono mange kwa yoote lakini mi namuona mange anawakumbusha mnapokosea achaneni na matusi yake someni weakness zenu kwake mzirekebishe mkifanya ivo mtawateka hata wafuasi wake lakini mkiendelea kubishana nae ataendelea kuwavua nguo na kufichua uozo wenu.
 
Wanasaikolojia watukumbushe eti ni kweli mtu mwenyewe upungufu mkubwa wa akili huwaona wenyeafadhali ndio vichaa kuliko yeye
 
Mange ni zaidi ya Jeshiii
 

- Saafi sana ila hajamshika yoyote pabaya unaposhindana na Serikali unashindana na wewe mwenyewe, na tatizo lake kubwa anavunja sheria kwenye hilo niamini kuwa atakuja kujibu mashitaka tu it is only a matter of time, Serikali haiendeshwi kwa kuutmia mitandao, so pole sana

le Mutuz
 
Wafuasi wa bidada kwani hujawazoea kuwa akili zao ni za kushikwa? mambo ya kifamilia eti yanazungumza instagram ili iweje? anatafuta huruma ya watu tu. Mwenye akili zake mambo ya kifamilia yanaishia uko uko sio kuyaanika Insta.

Wafuasi na huyu bidada wako ovyo kabisa!
 
Tuongoze kupimwa tezi dume kwa raha zako
 
hii familia inajua game inayocheza na haifanyi kwa hasara! hawa ni wamachame wako vizuri kuzidi umnavyofikiria! vita yao sio ya kuifata kichwakichwa!
 
Kulikuwa na haja gani barua hii kutumwa mitandaoni? Hivi sisi tulihitaji kujua yote haya?
 
Le kibamiaz nimekuja dar kukupima tezi dume kuitikia wito wa joka la kibisa
 
Kila siku nakuona unasema mda c mrefu mnamkamata..achana na hizo ramli mkuu tangu uanze kusema mpaka leo naona miaka inaenda na mwanadada inaonekana kawazidi akili ndo mana midume mizima mnaweweseka...kama nyi vidume kweli mkamateni mumrudishe hapa bongo
 
una kilo ngapi uyo ujumbe? hana number za sim za uyo kakaake?
 
Namfananisha Mange na Zitto....tofauti iliyopo kati yao ni ndogo sana, Mange anatafuta wapambe through social media kwa kupost personal issues ili watu wamsifie au kumpa pole na Zitto anatafuta kiki bungeni na kwa waandishi wa habari ili apate wafuasi wengi ifikapo 2020. Kwa ujumla, wote wanahitaji kukamatwa na kupimwa akili.
 
Nimeipenda maana ukiwa na kaka mpumbavu kama huyu better kumchana namna hii ili aache kutumika na ajitambue.
Ndugu hufarakana na kupatana.Msaliti ni muuaji.
 

Wewe unazo hata kama za urithi?
 
Huu ndio ukweli, Mange anasema Magu ni dictator lakini wewe ukimfwatilia yeye ni zaidi ya Idd Amin.
 
Alitokosesha kura 2015 then anatupigia makelele yake saa hizi.
 
Mmmmmmh? huyu mdada ana watoto? Kama anao, wajifunze nini kutoka kwake
 
Inaonekana ali disco elimu ya kiuanaharakati I see, au hakumaliza kozi ya kijasusi kiukweli hapa bongo ndo maana kaenda USA na sasa yupo FIELD CIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…