Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Ili kumtoa kwenye moody yake ya kuhamasisha 2604. Naona Makonda kamtafuta mdogo wake Mange na kupiga nae picha. Haahaaaa

Halafu kuna ndoa za kisiasa zinakuja kabla ya 2604.
Zimepangwa naona ili washabiki was Mange watoke kwenye reli ya 2604.

Alikiba kufunga ndoa karibuni. Hahaaaa..

Sikujua Mange anaisumbua hivi hii cerecali.
Nandy kuonyesha vitako haijasaidia....
 
This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?
Angeandika barua kimya kimya vita yake ya ukombozi (according to her) ingekua kubwa zaidi. Kwa kusema wazi Dunia nzima ikajua ndio tayari ameshinda vita.
 
This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?
"Transparency",uwazi ndio sera ya Mange Kimambi,kuna kitu gani cha kuficha hapo,kuna kosa gani kuifamishe jamii ya kitanzania kilichomtokea..

kama kaweza kuwahamisha watazania kuandamana kupinga uovu unaofanywa na Serikali kwanini asiwafahamishe watanzania maovu yanayofanywa na Serikali ili kuitenganisha familia yake,Kwanini Makonda amtafute ndugu yake Mange na kupiga nae picha!!?kama si ufisadi ni kitu gani?!
 
Hakuna serikali inayomwongelea huyu mshenzi, bali kuna mda tu jeshi la polisi liliwahi kuongea maramoja kuhusiana ja ishu zake. Ila raia ndo tunamwongelea sana. In short mi mange nimesoma naye AVU namjua vizuri sana toka akiwa kapuku tu, hajulikani na yeyote. So ni mpuuzi flani, mapepe ambaye hajatulia kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona ukimsaidia boss ako kupga makelele
pablo-conca-bosch-girls.gif

Nasemaje Panic at your own risk [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiniondoe kwenye lengo nataka picha ya bidada na boss wako [emoji28][emoji28][emoji23] hiyo tu ndo itanifanya nione mmelamba dume tofauti na hapo mnayumba yumba tu hamjui mshike wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bidada anawatoa makamasi sana [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama nakuona ukimsaidia boss ako kupga makeleleView attachment 745021
Hahhaaaaaa sasa mimi na wewe nani anayemsaidia boss wake kupiga kelele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lete picha hapa usinitoe kwenye lengo [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14].

Naona kamasi zinakutoka [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Unasoma unachoandika?

Tafakari kitu kimoja why would I and other 50millions plus should be given attention by the government office aka private entity ya Makonda to the visitation of private citizen.

Does Makonda as RC don’t have any better thing to do than talking and posing with Anil,

Would love to hear their outcome of their meeting, how would help me as resident of Dar and citizen of Tanzania in any citizen, labda unafahamu utuelezee hapa!

Lakini nitaanza kukusaidia, moja, Probably they talk about “lishe Bora” for That I would agree.

Or if they talk business na mafanikio yake Anil, we also want to hear, may be we all going to get an inspiration from their meeting to start business of our own.

Or else is the worst of tax payers money kwa kuendeleza udaku ndani ya ofisi ya serikali paid for and financed by your money, my money and money belongs to 50plus millions citizen.

And that’s make us come to conclusion Mange runs this Government in proxy.

Anazidi kuwakuna hawajielewi na hawajitambui, not worthy the position they are holding as public servant.

This tells you and me how incompetent our leaders are ? It is a scum run on steroid.

Usidanganyike!
Muwe na siku njema [emoji13][emoji13]
 
Anzisha uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maskin hadi nakuonea huruma jins ile picha ilivyokuuma kuliko hata livymuuma mhusika daaah jaman jaman makonda punguza spidi baba utatupunguzia memba huku bado tunampenda mwee mweee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahhaaaaaa sasa mimi na wewe nani anayemsaidia boss wake kupiga kelele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lete picha hapa usinitoe kwenye lengo [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14].

Naona kamasi zinakutoka [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mmh ina maana hujawahi ona wema,diamond,na wasanii wenzake kibao tu wakipiga picha na makonda

Je ile picha aliyopiga diamond na maguful ina maana dai ana run government ee anaipelekesha ee daah makonda ameumiza wengi jaman
Unasoma unachoandika?

Tafakari kitu kimoja why would I and other 50millions plus should be given attention by the government office aka private entity ya Makonda to the visitation of private citizen.

Does Makonda as RC don’t have any better thing to do than talking and posing with Anil,

Would love to hear their outcome of their meeting, how would help me as resident of Dar and citizen of Tanzania in any citizen, labda unafahamu utuelezee hapa!

Lakini nitaanza kukusaidia, moja, Probably they talk about “lishe Bora” for That I would agree.

Or if they talk business na mafanikio yake Anil, we also want to hear, may be we all going to get an inspiration from their meeting to start business of our own.

Or else is the worst of tax payers money kwa kuendeleza udaku ndani ya ofisi ya serikali paid for and financed by your money, my money and money belongs to 50plus millions citizen.

And that’s make us come to conclusion Mange runs this Government in proxy.

Anazidi kuwakuna hawajielewi na hawajitambui, not worthy the position they are holding as public servant.

This tells you and me how incompetent our leaders are ? It is a scum run on steroid.

Usidanganyike!
 
Anzisha uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maskin hadi nakuomea huruma jins ile picha ilivyokuuma kuliko hata livymuuma mhusika daaah jaman jaman makonda punguza spidi baba utatupunguzia memba huku bado tunampenda mwee mweee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasemaje lete picha hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hizo nyingine mbwembwe tu picha ndo muhimu [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]

Lete ili nipungue humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Picha tu wacha maneno [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kuna mdau hapo juu kanikosha sana.

Bidada anawajambishaaaaa take it or leave it[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]

[emoji112] [emoji112] [emoji112]
 
Yaani Ali Kiba aache kufunga ndoa kwa sababu ya huyo Mange wenu, ha ha ha. Akili zenu mnazijua wenyewe.
Namkubari Mange ila watanzania ni watu wa ajabu.
Yani now watu wasifanye yao sa kuoa kwa alikiba na 2604 kuba uhusiano gani?
No wonder Dr.Shika aliweza washika watu na akili zao humu eti wanajifanya wanaleta uchambuzi kuwa ni CIA.
 
This is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?
Dada bora huyo....anachamba wadogo zake kwenye insta.
Tusiwalaumu hiyo familia ina hela lakini ni mabingwa wa vitimbi.
 
The only picha inayoliza wengi bwahahahahahah
30592120_341335756388829_3207771495535214592_n.jpg
30592120_341335756388829_3207771495535214592_n.jpg
30592120_341335756388829_3207771495535214592_n.jpg
tena nimekuwekea tatu kabisa ,saaafiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khe khe kheeee
Nasemaje lete picha hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hizo nyingine mbwembwe tu picha ndo muhimu [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]

Lete ili nipungue humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Picha tu wacha maneno [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kuna mdau hapo juu kanikosha sana.

Bidada anawajambishaaaaa take it or leave it[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]

[emoji112] [emoji112] [emoji112]
 
nachompenda huyu dada ni mkweli, akiumizwa na adui yake anakiri kuwa kaumizwa. angekuwa ni mtu mwingine angejifanya dongo halijampata.
 
"Transparency",uwazi ndio sera ya Mange Kimambi,kuna kitu gani cha kuficha hapo,kuna kosa gani kuifamishe jamii ya kitanzania kilichomtokea..

kama kaweza kuwahamisha watazania kuandamana kupinga uovu unaofanywa na Serikali kwanini asiwafahamishe watanzania maovu yanayofanywa na Serikali ili kuitenganisha familia yake,Kwanini Makonda amtafute ndugu yake Mange na kupiga nae picha!!?kama si ufisadi ni kitu gani?!
Hana uwaz wowote ule mange mbona miaka yote hajasema aseme baada ya dogo kupiga picha na makonda? Kuna vitu vungne vinahtaji IQ ndogo saana kuvielewa
 
Back
Top Bottom