Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funga mdomo tahira wewe bullshitThis is completely bullshit!!! Familia gani inawasiliana kupitia social media?? Hawezi kumwandikia hii barua kimyakimya!?
Kwani amesema ataenda mahakama YA U. S?This bitch is a fucking lunatic. Eti ataenda mahakamani ili wampte share yake! Mahakama ipi in the US inasikiliza civil disputes za foreign country. Anajua fika kwamba she will never ever board a flight bound to Dar as long as CCM ni chama tawala, and no wonder the so called "ndugu zangu" wanajifanyia wanayo taka bila kumwambia. Matter of fact, wanajuta kuzaliwa na kituko kama yeye, aka Dr. Mange K.
Nikujibu wewe kama nani?Niliwahi kukuuliza wewe una Credential gani kwenye hili Taifa...???
Hukuwahi kunijibu mpaka leo.
Kama mwana forum ninayehitaji majibu ili niweze kujua najadili na mtu wa aina gani..,Nikujibu wewe kama nani?
Sipotezi muda wangu na vilaza kama wewe.Kama mwana forum ninayehitaji majibu ili niweze kujua najadili na mtu wa aina gani..,
Mange ni ccm.Msishangae siku moja mange akarudi bongo na kuwa ccm.
Ni suala tu la watu wa serikali kumhakikishia usalama wake na kutosumbuliwa..tena akawa rafiki wa makonda
Nawaambieni hili linawezekana
Maneno yako yanatofautiana na matendo yako..!!!Sipotezi muda wangu na vilaza kama wewe.
...hupotezi......Unasema upotezi...,
Huu mara nyingi huwa ndio mwisho wako wa kujadili...,...hupotezi...
...unaninukuu... Vilaza huwa hawajifichi....lkn bado unani quote...!!!
hahahahah wabongo mnalanaaaa mange ndo nani??? hahahahaaYaani Ali Kiba aache kufunga ndoa kwa sababu ya huyo Mange wenu, ha ha ha. Akili zenu mnazijua wenyewe.
mkuu kuwa mwehu sio kuvua nguo peke...nawanao mufollow ote lana zinawakumba.Kwahyo wewe ulikariri kuwa kufikisha ujumbe ni mpaka aandike barua atume posta?
Zawadi,
Mwambieni Mange kuwa kuandamana au kutokuandamana ni haki ya kidemokrasia.
Kila raia ana uhuru na haki ya kuamua akitakacho, kuchagua marafiki na kufungamana na mlengo wowote wa kiasiasa anaoona unamfaa.
Ni haki ya msingi kila raia kuchagua au kuchaguliwa kuongoza. Na ni uhuru binafsi wa yeyote kuchagua kiongozi wake.
Hiyo ndio demokrasia.
Alichofanya ni makosa makubwa. Kutangaza maswala binafsi ya ndugu hadharani ili kuwatishia wamuunge mkono katika harakati zake ni makosa makubwa. Hii inaitwa 'blackmail' na ni kosa kubwa kisheria.
Pia ni kinyume cha demokrasia na haki za kikatiba kumlazimisha mtu akuunge mkono kwa vitisho.
Je hapo Mange ana tofauti gani na anaowapinga?
Ndio wale wale and the same bullshit.
Na kuna jambo jingine linaloibuka hapa..Mange yuko tayari kuficha maovu na kusapoti uvunjaji wa sheria ilimradi tu hao wavunja sheria ni ndugu wanaomsapoti. Huu ni uhalifu.
Kama hao ndugu zake, kama kweli wamevunja sheria basi alipaswa kuwachukulia hatua na sio kusubiri hadi watakapotofautiana mitizamo ya kisiasa. Sasa Mange akiwa kiongozi si ndio atakuwa dikteta mbaya anayelazimisha nchi nzima iwaze kama yeye na kufuata anachotaka tu?????
Rafiki zake pia wajifunze. Siku wakiacha kumsapoti atamwaga siri zao zote hadharani na kuwasababishia matatizo kibao.
Mwenye akili na asikie.
Narcissistic Personality Disorder (MANGE KIMAMBI)Zawadi,

Very True,She just can't help it... This is like involuntary action
This bitch is a fucking lunatic. Eti ataenda mahakamani ili wampte share yake! Mahakama ipi in the US inasikiliza civil disputes za foreign country. Anajua fika kwamba she will never ever board a flight bound to Dar as long as CCM ni chama tawala, and no wonder the so called "ndugu zangu" wanajifanyia wanayo taka bila kumwambia. Matter of fact, wanajuta kuzaliwa na kituko kama yeye, aka Dr. Mange K.
Tuulize sisi wakenya. Tuliwaona wangapi waliotoroka wakawa wakimbizi wa siasa. Eti fighting for democracy in Kenya. Demokrasia ilipo ingia, walirudi na kusema its our turn to eat. Hao hao wako madarakani na hakuna tofauti. Mange ni narcissist. She has delusions of grandeur. kila kitu kiwe about her.Wewe ni matako tu, undugu hautenganishwi na siasa. They will always remain brother and sister regardless ya hizi fitina
Halafu Mange hapambani na ccm, kwa sasa she is non partisan, standing and fighting for the country. Na kwa taarifa yako tu wanaccm wengi tunamsupport. Miaka ya mbeleni baada ya utawala huu wa kidictator mchango wa Mange Kimambi utatambuliwa na kuenziwa.
In the Kingdom of the blind, the one eyed is kingKwa kusoma alichoandika huyu Mange na jinsi alivyoandika ni wazi kuwa IQ yake ni ndogo saaana. Watu wanaomkubali sijui IQ zao zikoje.
AND MANGE FERKERO HUYU HAPAEti she will never?
Yani wewe ndio mpumbavu kuliko wqpumbavu wote Tanzania.
Unadhani hiu utawala dhalimu utakaa madarakani miaka yote?
Kwa vile mnaua watu, mnaonea watu.
Mna dhambi nyingi sana. Sasa wewe Lumumba na akili zako mgando umeshajiaminisha kuwa nchi ni ya mumeo bashite hutoamini wakianguka wote kama maembe.