Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

This bitch is a fucking lunatic. Eti ataenda mahakamani ili wampte share yake! Mahakama ipi in the US inasikiliza civil disputes za foreign country. Anajua fika kwamba she will never ever board a flight bound to Dar as long as CCM ni chama tawala, and no wonder the so called "ndugu zangu" wanajifanyia wanayo taka bila kumwambia. Matter of fact, wanajuta kuzaliwa na kituko kama yeye, aka Dr. Mange K.
Kwani amesema ataenda mahakama YA U. S?
 
Msishangae siku moja mange akarudi bongo na kuwa ccm.
Ni suala tu la watu wa serikali kumhakikishia usalama wake na kutosumbuliwa..tena akawa rafiki wa makonda
Nawaambieni hili linawezekana
Mange ni ccm.
images-9.jpg
 
Zawadi,

Mwambieni Mange kuwa kuandamana au kutokuandamana ni haki ya kidemokrasia.

Kila raia ana uhuru na haki ya kuamua akitakacho, kuchagua marafiki na kufungamana na mlengo wowote wa kiasiasa anaoona unamfaa.

Ni haki ya msingi kila raia kuchagua au kuchaguliwa kuongoza. Na ni uhuru binafsi wa yeyote kuchagua kiongozi wake.

Hiyo ndio demokrasia.

Alichofanya ni makosa makubwa. Kutangaza maswala binafsi ya ndugu hadharani ili kuwatishia wamuunge mkono katika harakati zake ni makosa makubwa. Hii inaitwa 'blackmail' na ni kosa kubwa kisheria.
Pia ni kinyume cha demokrasia na haki za kikatiba kumlazimisha mtu akuunge mkono kwa vitisho.
Je hapo Mange ana tofauti gani na anaowapinga?
Ndio wale wale and the same bullshit.

Na kuna jambo jingine linaloibuka hapa..Mange yuko tayari kuficha maovu na kusapoti uvunjaji wa sheria ilimradi tu hao wavunja sheria ni ndugu wanaomsapoti. Huu ni uhalifu.
Kama hao ndugu zake, kama kweli wamevunja sheria basi alipaswa kuwachukulia hatua na sio kusubiri hadi watakapotofautiana mitizamo ya kisiasa. Sasa Mange akiwa kiongozi si ndio atakuwa dikteta mbaya anayelazimisha nchi nzima iwaze kama yeye na kufuata anachotaka tu?????

Rafiki zake pia wajifunze. Siku wakiacha kumsapoti atamwaga siri zao zote hadharani na kuwasababishia matatizo kibao.
Mwenye akili na asikie.

Narcissistic Personality Disorder (MANGE KIMAMBI)
While most people including people who suffer from NPD do not care for being abandoned, this is not a central fear for most people who suffer from NPD. Their underlying fears are instead based on: fear of public humiliation, lack of admiration or attention, being ignored, feeling unimportant, feeling ineffective, feeling “less than” someone else, being excluded, etc. If a narcissist was afraid of abandonment, this would likely have more to do with the shame of being broken up with, the public embarrassment, feeling worthless and unimportant, etc- NOT because the abandonment itself is their focus.
 
This bitch is a fucking lunatic. Eti ataenda mahakamani ili wampte share yake! Mahakama ipi in the US inasikiliza civil disputes za foreign country. Anajua fika kwamba she will never ever board a flight bound to Dar as long as CCM ni chama tawala, and no wonder the so called "ndugu zangu" wanajifanyia wanayo taka bila kumwambia. Matter of fact, wanajuta kuzaliwa na kituko kama yeye, aka Dr. Mange K.
Wewe ni matako tu, undugu hautenganishwi na siasa. They will always remain brother and sister regardless ya hizi fitina

Halafu Mange hapambani na ccm, kwa sasa she is non partisan, standing and fighting for the country. Na kwa taarifa yako tu wanaccm wengi tunamsupport. Miaka ya mbeleni baada ya utawala huu wa kidictator mchango wa Mange Kimambi utatambuliwa na kuenziwa.
Tuulize sisi wakenya. Tuliwaona wangapi waliotoroka wakawa wakimbizi wa siasa. Eti fighting for democracy in Kenya. Demokrasia ilipo ingia, walirudi na kusema its our turn to eat. Hao hao wako madarakani na hakuna tofauti. Mange ni narcissist. She has delusions of grandeur. kila kitu kiwe about her.
 
Eti she will never?
Yani wewe ndio mpumbavu kuliko wqpumbavu wote Tanzania.

Unadhani hiu utawala dhalimu utakaa madarakani miaka yote?

Kwa vile mnaua watu, mnaonea watu.
Mna dhambi nyingi sana. Sasa wewe Lumumba na akili zako mgando umeshajiaminisha kuwa nchi ni ya mumeo bashite hutoamini wakianguka wote kama maembe.
AND MANGE FERKERO HUYU HAPA
 
Aheshimu hisia za ndugu zake mali zake asiwanyanyase kwani lazima wawe kama yeye! Sasa ndio nini kuwatangaza hivyo nadhani hiyo ni family issues kuileta huku ni kuwadhalilisha ndugu zake tu si angewapigia simu tuu au ndio kiki halafu vipesa vyenyewe 400mil.anatujazia server hapa!
 
Back
Top Bottom