Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

hakika mange ww ni mfano hakuna wa kumuacha hata akiwa damu yako hongera kwa kutokuwa mnafiki

We mpumbavu sana. Huu ndo unafiki ujinga. Upumbavu yani kila neno uwezalo kulisema ni ukichaa. Huyu dada yako Sio mzima. Hivi unaelewa kweli alichoandika. Na why kaandika. Mange na Makonda. Mange na Makonda wanajuanaje kiasi kwamba Mdogo wake akipiga picha naye Yeye aumie na kuja hadharani kusema ya Familia. Huyu ndo anawaongoza. Huyu Sio mzima. She really needs Help. Psychological help .oh God and you as JF member unamsifia hana unafiki. Huo ndo unafiki Wa hali ya juu. Mnafiki 100% and more .Mange hawezi msema mpinzani yeyote sasa unadhani hawakosei Hapana kwa kuwa mnafiki. So stop advertising your stupidity.
 
Nashangaa wanaume wenye akili zao wanaongozwa na huyu mwanamke asokuwa na busara na hekima kwa hili tu linanifanya niwambie wote wanao ongozwa na huyu wajichunguze na kujiuliza kama kweli wako sehem sahihi.

Tafadhari nakuombeni fanyeni maamzi upya, huo ni ushauri wangu
 
We mpumbavu sana. Huu ndo unafiki ujinga. Upumbavu yani kila neno uwezalo kulisema ni ukichaa. Huyu dada yako Sio mzima. Hivi unaelewa kweli alichoandika. Na why kaandika. Mange na Makonda. Mange na Makonda wanajuanaje kiasi kwamba Mdogo wake akipiga picha naye Yeye aumie na kuja hadharani kusema ya Familia. Huyu ndo anawaongoza. Huyu Sio mzima. She really needs Help. Psychological help .oh God and you as JF member unamsifia hana unafiki. Huo ndo unafiki Wa hali ya juu. Mnafiki 100% and more .Mange hawezi msema mpinzani yeyote sasa unadhani hawakosei Hapana kwa kuwa mnafiki. So stop advertising your stupidity.
ondoa frustration zako hii page i dare to talk and comment openly and freely mpumbavu wewe unaepayuka naomba tuheshimiane mawazo ya kila mchsngiaji
 
Huko Instagram ndugu zake wamemblock sijui huyo mange angewafikishiaje huo ujumbe kirahisi zaidi ya njia aliyotumia,?
Huenda angetumia njia ya siri isingekuwa na nguvu ili kuharibu mission.
Kumbe hatakiwi hata na ndugu zake!!!!
 
alitaka tujue wanae hoteli,kokoto na vinginevyo , thanks kwa taarifa da mange , nahisi hili ni tangazo lakibiashara , joking
 
Hapa ndio huyu mwehu anapojionyesha kuwa kweli yeye hamnazo.
Kaka yako kuna haja ya kuweka mambo public?? Kwa nini asiwasiliame nae private??
 
hakika mange ww ni mfano hakuna wa kumuacha hata akiwa damu yako hongera kwa kutokuwa mnafiki
Kwako wewe kutokuwa mnafiki ni kutangaza hadharani mambobya kifamilia?? Angewasiliana nae kimya kimya angekuwa mnafiki??

Huyu dada kwa sasa nafikiri anahitaji mwanasaikolojia. Hayukk sawa.
 
Kwako wewe kutokuwa mnafiki ni kutangaza hadharani mambobya kifamilia?? Angewasiliana nae kimya kimya angekuwa mnafiki??

Huyu dada kwa sasa nafikiri anahitaji mwanasaikolojia. Hayukk sawa.
kwa hio kutangaza aibu ZA watu sawa zake akae kimya kwann double standard hio ndio natural justice ya kioo cha jamii
 
Ningekua mm ndo ile taasisi,ningemsamehe tu huyu Dada na kumtaka arudi nyumbani kuendelea na maisha yake,,ana msongo wa mawazo ,hajui hatma yake nin,,
 
Kuna watu msiomuelewa Mange.
Alichokua anafanya makusudi ilikua kwa madhuumuni
Ndugu zake aĺiowaacha huko kuwapelekea mpira.
Ndugu waliposoma mechi wakaenda kutuliza kwa bashite.
Sasa ni motomoto fire
 
Una akili ndogo sana ndugu,km ww ni mwanaume basi ww ni aibu kwa uanaume,
Mtu kudai chake mpaka aje wakati toka mwanzo ana wakili anaemsimamia kiasi hata hati baadhi zipo kwake,yani unadhani Mange na elimu yake ya sheria hajui km ni hatari yy kuja huku ilhali alishaambiwa atakamatwa,
Sheria ya wolongong University Nigeria.
Alivyokua fala atarudi bongo hapo
 
Una akili ndogo sana ndugu,km ww ni mwanaume basi ww ni aibu kwa uanaume,
Mtu kudai chake mpaka aje wakati toka mwanzo ana wakili anaemsimamia kiasi hata hati baadhi zipo kwake,yani unadhani Mange na elimu yake ya sheria hajui km ni hatari yy kuja huku ilhali alishaambiwa atakamatwa,
Uanaume mi nakuoa wewe na mamayako muwe wake wenza.
Itapendeza
 
"Hii inaitwa 'blackmail' na ni kosa kubwa kisheria.
Pia ni kinyume cha demokrasia na haki za kikatiba kumlazimisha mtu akuunge mkono kwa vitisho".

Mbona 'Just Praise Me' ndio mbinu anayoitumia hamuwaki? Hadi watu wanahama vyama hamsemi kuwa "blackmail."
hahaaa ..nilikuwa na subiri wakuijibu ile hoja...na bila shaka umeitendea haki vyema tu
 
Back
Top Bottom