Yeye ana uchungu kuliko dada zake wema au mama ake, mbona wao hatujackia wakiongea popoteSasa yeye si anamtetea mtu wake? Kwa hiyo wewe ukiona mwanao anateketea kwenye moto utasubiria mpaka zimamoto si unamtoa wako?
Fiscal ipo kwa madiwani katika entity husika, be it District, Municipal or City Council. Political power anaweza kuwa nayo kupitia mlango wa nyuma-remember kwa CCM yeye ni mjumbe muhimu kwenye kamati ya siasa ya mkoa ya chama. So anaweza ku-influence political decisions nyingi katika mkoaKwa hiyo hana fiscal or political powers
Hamuwezi kuwa na hali zinazofanana kila Mtu Duniani kaumbiwa lake huyo Beyonce ana lake na Wema ana lakeWe nawe hebu kapige mswaki huko, kwa nyota ipi ya skendo zote chafu?? Sasa kama wema ana nyota Beyonce ana nin
[emoji15] [emoji15]Hivi mange na makonda walichukuliana demu
Hivyo heshima not as powerful as mayor ni michael bloomberg aliyekuwa Newyork au sadik khan wa LondonFiscal ipo kwa madiwani katika entity husika, be it District, Municipal or City Council. Political power anaweza kuwa nayo kupitia mlango wa nyuma-remember kwa CCM yeye ni mjumbe muhimu kwenye kamati ya siasa ya mkoa ya chama. So anaweza ku-influence political decisions nyingi katika mkoa
BingoSina haja ya kujua jinsia ya mange it's non of my business
Si sawa kufananisha mfumo wa kiutawala na kiuongozi kati ya TZ na nchi nyingine. Tunaongozwa na katiba tofautiHivyo heshima not as powerful as mayor ni michael bloomberg aliyekuwa Newyork au sadik khan wa London
Nadhani alitaka wahojiwe kwenye tv Live shows walizozoea au wafanye igizo bongo movie[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kwani Wema ameshitakiwa au ameshutumiwa? Ifike mahala tutofautishe hivi vitu. Alaf kwani walitakiwa wahojiwe wapi ili ionekane ni sahihi? Club, hotel au majumbani kwao?
Na ndio wengi wao wanafanya mambo haramu kuficha maovu yao kupitia umaarufu maana si rahisi kumuhisi vibayaAcheni ushabiki usio na maana, mnashabikia wasanii mkifikiri wao ni malaika hawawezi fanya makosa, hamjui kuwa wengine huwa wanatumia kivuli cha umaarufu kufanya mambo maovu. kama kweli mna huruma mbona hamna hata mmoja anaye zungumzia askari walio tajwa kujiusisha na ngada mmebaki kuzungumzia wasanii heti wamechafuliwa majina askari walio simamishwa kazi hamuwaoni mnawaona tu wakina wema. acheni kufanya mambo kwa ushabiki.
Hao keshomabondia hawajatajwa!
What's the differenceSi sawa kufananisha mfumo wa kiutawala na kiuongozi kati ya TZ na nchi nyingine. Tunaongozwa na katiba tofauti
Mkuu mbona uwa mnachanganya mara uwa mnasema alishinda ila matokeo yakabadilishwa sasa unasema waliwakosesha ushindi au wao ndiyo waliobadili yale matokeo aliyokuwa anasoma Mzee RubuAcha wafugwe tu hawa walitukosesha ushindi kisa kushabikia dubwashaaa ccm .. wengine wataajifunza kuwa tunahitaji ukombozi wa mara ya pili ..
Beyonce ana nyota pia[emoji4]We nawe hebu kapige mswaki huko, kwa nyota ipi ya skendo zote chafu?? Sasa kama wema ana nyota Beyonce ana nin
Hasa ukizingatia habari kuu ilikuwa kuvurunda kwa jiji lake kwenye matokeo ya form four.kick at work
kaona yuko kimyaaa watu tushamsahau
kaja na nitoke vipi
Kivipi mkuu?Ni kosa Nifa..