Mange Kimambi amuomba wakili Albert Msando akamtoe Wema Sepetu

Kilichofanyika ni uonevu na matumizi mabaya ya madaraka,
hawa wasanii wanatakiwa kufungua mashitaka,unlawfull detention,false accusation na defamation na wadai fidia ya mabilioni
 
Watulie wahojiwe. Wasi take advantage kisa ni watu maarufu. Kwani wao ni wa kwanza kuhojiwa?? Na huko kunaonekana kuna kutajana.
Makonda sio kichaa kukurupuka. Who is wema mpaka kutetewa hivyo SMH
 
Vita ya madawa ya kulevya ikiendelea kuwa ya one man show itafika mahali itamshinda, hii vita si ndogo ni kubwa sana hata JK analifahamu hilo
 
Ur so brave my dear thum up...!
 
Msando mwenyewe atakuwa zungu la unga,maana ukaribu wake na akina AY,petit man et al unaleta maswali
Jombaa hana hiyo biashara ila kupenda kukaa na vijana wa mjini ambao sio level yke ni tatizo kubwa kwake
 
Kwa Tanzania hayo yote ni mambo ya kawaida. Kulazimishwa kwa kuteswa ili ukubali kosa ni jambo la kawaida sana
 
Bwihi..! wote wako ndani au wameachiwa!?
 
Hivi ni kosa kuitwa na kuhojiwa polisi?! Kama wanakushuku unaitwa unahojiwa then mambo mengine yanafuata.
 
Mtu yeyote anaweza kuitwa na kuhojiwa kwa tuhuma yoyote. Kuhojiwa haina maana wewe ni mhalifu au aliekuita kukuhoji amesema wewe ni mhalifu.
 
Kuhojiwa au kutiliwa shaka si tatizo maana bila kuhoji au kutilia shaka upelelezi hauwezi kuanza hivo kesi haiwezi kuanza, so hizi ni hatua za awali kama hawana kosa they will be free
Hivi inakuwaje GT hawaelewi kitu simple kama hiki?!!!! Bila kuhojiwa watakukamata au kukuachia vipi kama una TUHUMA?
 
Kutumia dawa za kulevya ni kosa maana umekutwa nayo, either umekutwa nayo mwilini au mkononi.
Jombaa hiyo sheria iko wapi....usa wanamziki kibao wanakufa na unga hawajawahi kuitwa kuhojiwa,ila makonda kakosa kiki ndio kaona atoke na hii ila comedy nyingi unamtaja petit cjui alteza wauza unga wakati.madon wapo wakubwa na wadogo kina rummy,kanyau,tikotiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…