Hivi ulichokiandika umekisoma kwa makiniJombaa hiyo sheria iko wapi....usa wanamziki kibao wanakufa na unga hawajawahi kuitwa kuhojiwa,ila makonda kakosa kiki ndio kaona atoke na hii ila comedy nyingi unamtaja petit cjui alteza wauza unga wakati.madon wapo wakubwa na wadogo kina rummy,kanyau,tikotiko
Kama hao wakina rummy unawajua so ukaripoti polisi uwasaidie, wale wameitwa kuhojiwa hakuna alihukumiwa paleJombaa hiyo sheria iko wapi....usa wanamziki kibao wanakufa na unga hawajawahi kuitwa kuhojiwa,ila makonda kakosa kiki ndio kaona atoke na hii ila comedy nyingi unamtaja petit cjui alteza wauza unga wakati.madon wapo wakubwa na wadogo kina rummy,kanyau,tikotiko
Sasa kama inasemekana kulikua na haja gani ya kuwa na Press conference? Kwanini huyu jamaa anafanya kazi kwa sifa hivi?Alichosema makonda ni wanasemekana na haijathibitika so ni haki yake kuwakata ili kuwahoj nankupata ukwel akiwa kama mwenyekit wa kamat ya ulinz na usalama
Ni tuhuma tu
Acha wivu kila mtu na nyota yakeKwan wema ndo nani, ina mana watu wote walioitwa pale hawajaonekana au wao hawajazaliwa kwa uchungu???
Ni kipi kinachokufanya uamini hakuna ushahidi?Kitendo cha kusema ambao hawakufika jana watafutwe wakamatwe wakae central mpaka j3 unakichukuliaje? Maana yake kufika siyo hiari ni lazima.
Wakiwa na ushahidi wanamuita kumhoji na ushahidi wanampa ili a confess. Aki confess au asipo confess as long as tayari wana ushahidi basi wanafuata utaratibu wa kumpeleka mahakamani.
Sasa kwa habari ninazosoma ni kwamba watu jana wengine bado wameshikiliwa hope tutasikia soon wamepelekwa mahakamani ikawa tofauti itanishangaza kuwashikilia bila kuwa na ushahidi juu yao.
The bottom line siyo kwamba natetea wala nampinga makonda nachojaribu kusema ni juu ya polisi wanavyofanya kazi
Point, good girlHivi kutumia madawa ya kulevya ni makosa kisheria?
Na kama anasemekana anauza amekutwa na uthibisho?
Mtu anaitwa kuhojiwa kwa tuhuma za kutumia madawa ya kulevya? Like serious?
Hata wale madon wa unga huwezi kuwaita kuwahoji kisha ukawatia hatiani bila uthibitisho.
Makonda hajui anachokifanya
Period
Msando ni wakili ma yeye ndio ametoa vifungu vya sheria hadharani kukosoa kile anachokifanya makondaKwanini Wema na sio wengine? Kwanini Msando
Hizi personal attack hazisaidii chochoteUkweli Mama yako alijiuza ndipo ukazaliwa wewe.
Mtu anaemshabikia wema inabidi achunguzwe na yeye, makonda tunaomba na hili ulifanyie kaziPoint, good girl
JF kwa vitisho [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha wenda wazimu, tena shikaadabuyako;
Mkuu sheria ipo Tanzania sio USA kila nchi ina sheria zake Jamaica ganja ni zao la bishara ila huku kwetu ni marufuku......... tafuta sheria inayozuia isome vizuri inaitwa THE DRUG CONTROL AND ENFORCEMENT ACT, 2015Jombaa hiyo sheria iko wapi....usa wanamziki kibao wanakufa na unga hawajawahi kuitwa kuhojiwa,ila makonda kakosa kiki ndio kaona atoke na hii ila comedy nyingi unamtaja petit cjui alteza wauza unga wakati.madon wapo wakubwa na wadogo kina rummy,kanyau,tikotiko
Tusipende kuhitimisha kwa mazoea.....Kwa Tanzania hayo yote ni mambo ya kawaida. Kulazimishwa kwa kuteswa ili ukubali kosa ni jambo la kawaida sana
Kalala lock upKuna watu waliitwa kwenda kutoa maelezo kuhusu madawa hayo si kila aliyeitwa basi ana tumia au kufanya biashara bali wengine wana saidia kutoa taarifa......
Huyo Wema mbona kaachiwa siku ile ile?
...wameharibu watoto wetu, wafungwe tu hakuna namna.. Makonda go, go, go. Mungu atakuwa pamoja na wewe.
Mange kimambi" mkuu wananchi tunaomba uchukue kesi ya Wema probono.
Tena sio kumtoa ndani tu, tunaomba umfunze Makonda adabu by during him and the city for defamation wamlipe Wema mabilioni kama Yale Togo waliambiwa walipe....
Please please Albert tunaomba, Wema kutoka ndani sio solution kabisa, wameshamwalibia maisha yake, hawezi kufanya Kazi na kampuni yoyote ile kubwa,
Please please tunakuomba au kama vipi tujichange tukulipe".
Hadi sasa wasanii walioitwa kuhojiwa bado wanashikiliwa na jeshi la polisi
Ndiyo maana nimekwambia nasubiri kusikia wamepelekwa mahakamani wasipopelekwa nitashangaa siyo kuhojiwa kwao bali kwa kushikiliwa kwao kama ni kweli wameshikiliwa...Ni kipi kinachokufanya uamini hakuna ushahidi?