Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,633
- 5,615
Ufisadi maana yake nini? Hata huko kunufaika na faragha za watu ni ufisadi!
Mkuu wabongo ni wabahili sana kulipia kitu anacho weza kukipa bureeeMange Kimambi au kama watu wengine wanavyomuita Dada wa Taifa ni miongoni mwa Socialites wanaolipwa vizuri kwa kazi zao za mitandao.
Kwa wachache msiomjua, Mange Kimambi ni Mwanamke mwenye asili ya Tanzania aishie Marekani na mwanaharakati anayepinga vikali ufisadi na matendo yote mabaya yanayotendwa na serikali au wanajamii wanaotumia pesa au nguvu za kimamlaka kudhurumu haki za wengine, harakati zake zimepelekea kiasi kwamba ameshapigiwa muhuli wa wanted, na anaogopa kuingia nchini Tanzania akihofia maisha yake. Ameolewa na Mzungu na kubahatika kuwa na watoto wawili wa kiume.
Ukiachilia mbali kuwa mwanaharakati, Mange Kimambi ni mfanyabiashara wa habari za udaku na umbea kupitia Instagram na App yake ya Mange Kimambi ambapo uchapisha habari mbalimbali za udaku na umbea na muda mwingine kuvujisha video za siri kupitia mitandao hiyo jambo lililopelekea kuona fursa ya kuanzisha Malipo ya mwezi yani Monthly Subscription kwa wasomaji wa maudhui yake katika majukwaa anayomiliki. Kwa hivi sasa anatumia majukwaa mawili tu, Yani Instagram na Mange Kimambi App.
Nikichukulia Instagram tu, Subscription ya Mwezi kwenye Account ya Mange Kimambi ya Instagram yenye followers Million 1.6 mpaka hivi leo, anatiza shilling 2300 kwa mtu mmoja kujiunga kusoma habari zake kwa mwezi.
Sasa tuseme kati ya wafuasi hao Million 1 na laki 6, watu 50,000 ndio wawe wanalipia hiyo 2300.... kwa hiyo kwa Mwezi anakuwa na uhakika wa Shilingi za Kitanzania Milioni 115 (115,000,000).
Basi tuseme labda watu 100,000 tu ndio wanaolipia hiyo Subscription, kwa hiyo Mange Kimambi kwa mwezi anaweza kuwa anapokea Million 230 (230,000,000)
Na ukisema watu Laki 5 wote walipie hiyo Subscription ya Mwezi, unakuta anaingiza Billion 1.15 (1,150,000,000)
Pesa ambayo hakuna mfanyakazi wa serikali mwenye mshahara huo kwa mwezi.
Na ndio maana Mange Kimambi hana njaa, la sivyo angekuwa kashaongwa pesa ili hasiiponde serikali abaki kusifia na kuunga juhudi serikali. Lakini kutokana pesa anazopata hawezi kutetereka kwa sababu anawathamini wateja wake ambao ni followers wake.
Mitandao ukiitumia vizuri ni rahisi kupata mafanikio, na mitandao ukiitumia vibaya ni rahisi kuyumba kimaisha
Na alishafikishaga 10 millions followers kwenye Ile account nyingine aliyofungiwa.Mange Kimambi au kama watu wengine wanavyomuita Dada wa Taifa ni miongoni mwa Socialites wanaolipwa vizuri kwa kazi zao za mitandao.
Kwa wachache msiomjua, Mange Kimambi ni Mwanamke mwenye asili ya Tanzania aishie Marekani na mwanaharakati anayepinga vikali ufisadi na matendo yote mabaya yanayotendwa na serikali au wanajamii wanaotumia pesa au nguvu za kimamlaka kudhurumu haki za wengine, harakati zake zimepelekea kiasi kwamba ameshapigiwa muhuli wa wanted, na anaogopa kuingia nchini Tanzania akihofia maisha yake. Ameolewa na Mzungu na kubahatika kuwa na watoto wawili wa kiume.
Ukiachilia mbali kuwa mwanaharakati, Mange Kimambi ni mfanyabiashara wa habari za udaku na umbea kupitia Instagram na App yake ya Mange Kimambi ambapo uchapisha habari mbalimbali za udaku na umbea na muda mwingine kuvujisha video za siri kupitia mitandao hiyo jambo lililopelekea kuona fursa ya kuanzisha Malipo ya mwezi yani Monthly Subscription kwa wasomaji wa maudhui yake katika majukwaa anayomiliki. Kwa hivi sasa anatumia majukwaa mawili tu, Yani Instagram na Mange Kimambi App.
Nikichukulia Instagram tu, Subscription ya Mwezi kwenye Account ya Mange Kimambi ya Instagram yenye followers Million 1.6 mpaka hivi leo, anatiza shilling 2300 kwa mtu mmoja kujiunga kusoma habari zake kwa mwezi.
Sasa tuseme kati ya wafuasi hao Million 1 na laki 6, watu 50,000 ndio wawe wanalipia hiyo 2300.... kwa hiyo kwa Mwezi anakuwa na uhakika wa Shilingi za Kitanzania Milioni 115 (115,000,000).
Basi tuseme labda watu 100,000 tu ndio wanaolipia hiyo Subscription, kwa hiyo Mange Kimambi kwa mwezi anaweza kuwa anapokea Million 230 (230,000,000)
Na ukisema watu Laki 5 wote walipie hiyo Subscription ya Mwezi, unakuta anaingiza Billion 1.15 (1,150,000,000)
Pesa ambayo hakuna mfanyakazi wa serikali mwenye mshahara huo kwa mwezi.
Na ndio maana Mange Kimambi hana njaa, la sivyo angekuwa kashaongwa pesa ili hasiiponde serikali abaki kusifia na kuunga juhudi serikali. Lakini kutokana pesa anazopata hawezi kutetereka kwa sababu anawathamini wateja wake ambao ni followers wake.
Mitandao ukiitumia vizuri ni rahisi kupata mafanikio, na mitandao ukiitumia vibaya ni rahisi kuyumba kimaisha
Eti nyie ndo washauri wa adriz.Anakamata sana vilaza huyo bi mdashi, alijichetua akaona fursa, akaruka nayo.
Zamani alikua anafanya for fun alipoona mambugira ni wengi akaona utajiri huu. Na viande ni wanamuamini balaa 😆😆
Poor Brain je na wewe huwa unalipa buku mbili kila mwezi uone udaku??
Na unakuta kwenye comment za watu akipost watu wanachomeka matangazo Yao tuna dawa za nguvu za kiume sijui mMkuu wabongo ni wabahili sana kulipia kitu anacho weza kukipa bureee
Mange akipost habari yoyote ile ndani ya dakika 5 habari hiyo inakua all over the internet
Wanaolipia sana sana ni hao wambea wenzake wanaokimbizana kutafuta contents ili wawe wa kwanza kupost
Mange kwa kiasi kikubwa anategemea Child support anayolipwa na mumewe kutunza watoto..... hiyo app inampa hela za mboga tu
Uwezo wako wa kufikiria ndio umeishia hapo kwenye uhasibu? Siku nyingine jitahidi uje na maoni ya maana
Nani kukuambia wanaume awafuatili wanawake wanafanya nini... siku zote interest ya Mwanaume makini ni kufuatilia mazingira yote yanayomzunguka bila kuwa na Bias au upendeleo... Wapumbavu kama wewe ndio udhani kutokufuatilia umbea ni umwamba... Umbea ni sehemu ya maisha ya Mwanadamu, na ndio maana hata polisi kuna kitengo cha ushushushu kwa ajili ya kupeleka umbea kwa polisi... Jeshini na Sekta za Intelijensia za Nchi zote Duniani ina vitengo vya umbea na ushushushu.Siku nyingine jitahidi to mind your own business. Wanaume huwa hatufuatilii wanawake wanafanya nini. Huo ni umbeq na uchoko.