Mange Kimambi ameumbuka vibaya sana alitaka kumchafua Oil Chafu Konki Konki Konki Master ila lengo lake limebuma.
Ametumia nguvu kubwa sana lakini mwisho wa siku ameumbuka wazi wazi kwa aibu kubwa.
Kikubwa nilichogundua Mange Kimambi anaishi maisha ya kuunga unga sana ,na anategemea sana IG angalau aweze kupata chochote kitu angalau aweze kula na kulea watoto wake ndio maana kila kiki ikienea hapa bongo lazima aidandie kwa mbele.
Na hilo limethibitika kwa kiki ya Dudubaya , Mange alivalia kibwebwe sana kiki hii na alijaribu njia zote kumchafua Konki Master ili aongeze followers wake wa IG.
Jana bhana aliwatia jamba jamba wafuasi wake kwa kuwahadaa kwamba ana video ya Dudubaya ambayo akiipost tu basi Dudubaya lazima akumbwe na msongo wa mawazo ambapo asipokuwa makini anaweza akafa kabisa kwa hiyo akamwambia Dudubaya kama anajiamini aseme "Su" ili aachie hiyo video, Dudubaya a.k.a Konki Master huwa hajaribiwi na huwa hatishiki akampa go ahead afanye anachokijua ,lakini kwa maajabu kabisa Mange Kimambi akawahadaa followers wake kwa kufungua account nyingine na kuwaambia waifollow kwa kuwa hiyo video ataituma humo,hawezi kuituma kwenye official account yake kwa sababu anahofia huenda akafungiwa account yake kumbe ilikuwa danganya toto.
Unaambiwa hiyo account ilikuwa na followers 100 tu ila baada ya kuwahadaa watu hiyo account ikafikisha followers 40K+ na akatangaza anaiuza , daaah njaa mbaya sana kwa kweli .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 923748View attachment 923749View attachment 923750