Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,016
- 6,310
Dunia ina watu 7Bil+ , kama anafahamika kwa watu milioni mbili sio issue sanaWe hujui lakini yeye ana followers zaidi ya milioni wanaomjua! Labda wewe ndio "nani"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunia ina watu 7Bil+ , kama anafahamika kwa watu milioni mbili sio issue sanaWe hujui lakini yeye ana followers zaidi ya milioni wanaomjua! Labda wewe ndio "nani"
Wangapi kati ya hao 7bil+ wanakujua wewe?Dunia ina watu 7Bil+ , kama anafahamika kwa watu milioni mbili sio issue sana
Na wewe ulivo...! Ulishajaza bando la Laki Ktk CMU yako!Walioumbuka ni sie tulikokuwa tunasubiria umbea
Konki konki konki masterWangapi kati ya hao 7bil+ wanakujua wewe?
Team Bashite utawajua tu....Mange Kimambi ameumbuka vibaya sana alitaka kumchafua Oil Chafu Konki Konki Konki Master ila lengo lake limebuma.
Ametumia nguvu kubwa sana lakini mwisho wa siku ameumbuka wazi wazi kwa aibu kubwa.
Kikubwa nilichogundua Mange Kimambi anaishi maisha ya kuunga unga sana ,na anategemea sana IG angalau aweze kupata chochote kitu angalau aweze kula na kulea watoto wake ndio maana kila kiki ikienea hapa bongo lazima aidandie kwa mbele.
Na hilo limethibitika kwa kiki ya Dudubaya , Mange alivalia kibwebwe sana kiki hii na alijaribu njia zote kumchafua Konki Master ili aongeze followers wake wa IG.
Jana bhana aliwatia jamba jamba wafuasi wake kwa kuwahadaa kwamba ana video ya Dudubaya ambayo akiipost tu basi Dudubaya lazima akumbwe na msongo wa mawazo ambapo asipokuwa makini anaweza akafa kabisa kwa hiyo akamwambia Dudubaya kama anajiamini aseme "Su" ili aachie hiyo video, Dudubaya a.k.a Konki Master huwa hajaribiwi na huwa hatishiki akampa go ahead afanye anachokijua ,lakini kwa maajabu kabisa Mange Kimambi akawahadaa followers wake kwa kufungua account nyingine na kuwaambia waifollow kwa kuwa hiyo video ataituma humo,hawezi kuituma kwenye official account yake kwa sababu anahofia huenda akafungiwa account yake kumbe ilikuwa danganya toto.
Unaambiwa hiyo account ilikuwa na followers 100 tu ila baada ya kuwahadaa watu hiyo account ikafikisha followers 40K+ na akatangaza anaiuza , daaah njaa mbaya sana kwa kweli .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 923748View attachment 923749View attachment 923750
Na ile account aliyosema atapost nikaifollow, mweh kumbe anataka followers ili aiuze.Na wewe ulivo...! Ulishajaza bando la Laki Ktk CMU yako!
Konkiiiiiiiiiiii master hahahhahahahahaNa ile account aliyosema atapost nikaifollow, mweh kumbe anataka followers ili aiuze.
Naenda kuiunfollow sasa hivi, kanipotezea muda sana
Konkiiiiiiiiiiii master hahahhahahahaha
Konk hajanywea mzee kamwambia lipua lakin cha ajabu kaja na story za kuuza acount
Dudu baya aka oil chafu konki konki konki master pale ni mwisho wa reli, mwisho wa mataaluma stori zinaishia pale nadhani hamumjui vizuri konki. Mwisho wa siku Mange ataishia kumtunuku papuchi konki. Ile ni Dudu ZuriKonko konki konki masta kapigwa mkwala mwenyewe kanywea