Mange Kimambi aumbuka peupeeeee

Mange Kimambi aumbuka peupeeeee

Hahahaha Konki Master kaamka kasema yuko tayari alipue.... Hakika hUYU kONKI NDIO size ya Mange na amemuweza yaani kifupi Mange kapata kiboko yake....
 
Nkonk nkonk nkonk bashite[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Mange Kimambi ameumbuka vibaya sana alitaka kumchafua Oil Chafu Konki Konki Konki Master ila lengo lake limebuma.

Ametumia nguvu kubwa sana lakini mwisho wa siku ameumbuka wazi wazi kwa aibu kubwa.


Kikubwa nilichogundua Mange Kimambi anaishi maisha ya kuunga unga sana ,na anategemea sana IG angalau aweze kupata chochote kitu angalau aweze kula na kulea watoto wake ndio maana kila kiki ikienea hapa bongo lazima aidandie kwa mbele.


Na hilo limethibitika kwa kiki ya Dudubaya , Mange alivalia kibwebwe sana kiki hii na alijaribu njia zote kumchafua Konki Master ili aongeze followers wake wa IG.


Jana bhana aliwatia jamba jamba wafuasi wake kwa kuwahadaa kwamba ana video ya Dudubaya ambayo akiipost tu basi Dudubaya lazima akumbwe na msongo wa mawazo ambapo asipokuwa makini anaweza akafa kabisa kwa hiyo akamwambia Dudubaya kama anajiamini aseme "Su" ili aachie hiyo video, Dudubaya a.k.a Konki Master huwa hajaribiwi na huwa hatishiki akampa go ahead afanye anachokijua ,lakini kwa maajabu kabisa Mange Kimambi akawahadaa followers wake kwa kufungua account nyingine na kuwaambia waifollow kwa kuwa hiyo video ataituma humo,hawezi kuituma kwenye official account yake kwa sababu anahofia huenda akafungiwa account yake kumbe ilikuwa danganya toto.

Unaambiwa hiyo account ilikuwa na followers 100 tu ila baada ya kuwahadaa watu hiyo account ikafikisha followers 40K+ na akatangaza anaiuza , daaah njaa mbaya sana kwa kweli .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 923748View attachment 923749View attachment 923750
Team Bashite utawajua tu....
 
Na wewe ulivo...! Ulishajaza bando la Laki Ktk CMU yako!
Na ile account aliyosema atapost nikaifollow, mweh kumbe anataka followers ili aiuze.
Naenda kuiunfollow sasa hivi, kanipotezea muda sana
 
Habari za mtu kama konki konki Konki master huwa hazipatikani kibaya boya tu
 
Namwaminia Konkiii konkiii master msukuma figo za watu...huyu jamaa noma sana....wakapime kama wapo poa nipo tayar kuozea jera...wote wakaingia mitini kumsaka Mange awasaidie...Mange nae kapoteana kusikojulikana....Konkii ni noumaaa
 
Hapana chezea Konki triple master... Kibibi Aga kapiga mkwara mbuzi kakutana na chuma cha mkolono kimesimaaa sawa sawa...kabakia kujizubaisha.. ooo nilikuwa natania.. ooo mimi huwa siombi ruhusu narusha bom tu hahhahha kwendraaaa in Joti' s voice.. hakuna anaekuogopa Mama weee kama mpka Wema alikutukana utamumeza triple Konki master..😂😂😂

Kwa hiyo mpambano kati ya Konkii master na Mange mshindi ni Mr.Kinkii cyo basi vizuri leo mbea kaumbuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili jamaa kweli ni OIL CHAFU haichezewi..... hadi dada enu nae kapigwa knockout....
 
Yule Mange akawatishe polisi aliowafanya warukishe kende barabarani nchi nzima kizuia maandamano, Wanaume tunajua Mange ni mwanamke ana papuchi inatafunwa kama kawaida
 
Konko konki konki masta kapigwa mkwala mwenyewe kanywea
Dudu baya aka oil chafu konki konki konki master pale ni mwisho wa reli, mwisho wa mataaluma stori zinaishia pale nadhani hamumjui vizuri konki. Mwisho wa siku Mange ataishia kumtunuku papuchi konki. Ile ni Dudu Zuri
 
Huwezi kuichafua oil chafu ila tuwe wakweli hii nchi yetu kwa matukio hasa ya kidaku ni balaa likiisha moja linaibuka lingine "kazi ikiisha inakuja shughuli "
 
Back
Top Bottom