Mange Kimambi awavaa January Makamba na Ridhiwani, Ajiunga rasmi 'Team Lowassa'

Kumekucha na hili jambo.

Kuna username humu jf topic fulani zikitokea weee utaona hiyo/hizo utetezi hadi wanataka kuparamia mawingu yasaidie kuwazungusha...unajua tu nini ni nini. Na mtu atakavyokazania hata kukubali kiduchi hakuna bali asimamie ile point iliyorushwa na anayeongelewa.

Mmh kabla hujajiuliza mie nimetokea wapi...cheki lini nimejiunga jf...
 
Hakuna mwanaccm mwenye akili mbovu na muhuni kama Mange, naona anajipendekeza kwa familia ya jk wakati hata hawamjui, SHERIA IMESHASAINIWA na atakaetukana mitandaoni Jela inamuhusu,

Acha kukurupuka mdogo wangu,
Sheria hii siyo ya kutumika kwenye developing state kama TZ, hii ni sheria inayotumika kwenye developed states yani kwa hapa tz hayo magereza yenu yatajaa hadi itabidi mje mtufunge hapo kwenye kile chumba cha mateso hapo Lumumba.
Kwanini bill ya copyright hamuipi meno iwe strictly kama hii ya kufunga kufuli uhuru wa habari?
Huyu binti Mange leo amewazidi akili hadi nyie.
 
hio sheria ni ujinga tu, mtu akitaka kufichua maovu itabidi amtumie mtu alieko nje ndo tuone watamshika nani!?
 
I used to admire you lakini Leo umenisikitisha siyo kila kitu kutetea jmni penye ukweli na fact lets b open mange hapa was rite Le mutuz

Mange yuko right kwa misingi hipi? Unakubaliana nae kuwa freedom of speech maana yake kutokuwa na cyber law? Freedom of speech maana yake kuongea lolote? Hivi kwanini Mange ameshindwa kuonesha mapungufu ya muswada badala yake anafanya personal attacks? Hivi ni kweli muswada huu ni mbaya wote kama Mange anavyo jaribu kusema? Mimi najua muswada huu una mapungufu lakini pia ni mzuri pamoja na mapungufu!
Hatuwezi kuunga mkono mtupu kwa njia hii ya ku attack !
Bahati mbaya wengi hawakufatilia huu muswada au kupata wasaha wakusoma huu muswada bali mtu akisema muswada mbaya wana kubali tuu!
 

Mimi si mchukii Mange kama unavyo jaribu kusema! Mimi ninacho sema huu muswada sio mbaya wote kama anavyo jaribu kuonesha nilitegemea angeonesha japo mazuri ya huu muswada na ange onesha mapungufu ili ashinikize kufanyiwa marekebisho! Huu muswada una mapungufu yake lakini si mbaya kiasi hiki na ukumbuke sheria ni msumeno!
Mange sio kwamba anatetea uhuru wa kufichua maovu bali ana tetea uhuru wa kutukana na kudharirisha watu ndio maana ameishia kushambulia watu tuu.
Siwezi kumuunga mkono kamwe!
 

Kwanza ukukataa ukasema Mange anatumia hii sheria mpya ku justify tabia zake na ukamshambulia, refer your previous comment.
Ulitakuwa uje straight to the point na uache alipo mu attack Shamim.
Mange anajulikana kwa ugomvi, ila mngeweka person issues asid, uangalie general idea km anachosema ukweli au anadanganya. In short viongozi wamekurupuka tuu. Wanaficha nini ili wananchi wasiseme, sasa uhuru wa vyombo vya habari upo na kina Mwandosya wanakufa na wengine kina Kibenea ndio hapo wanaponea chupuchupu sembuse hiyo sheria iwepo si itakuwa nchi ya kidictator
 
Hakuna mwanaccm mwenye akili mbovu na muhuni kama Mange, naona anajipendekeza kwa familia ya jk wakati hata hawamjui, SHERIA IMESHASAINIWA na atakaetukana mitandaoni Jela inamuhusu,


Nakubaliana na nyinyi watu wawili na wengine wote wanao support hii bill even though ina mapunguvu flani but when it comes to bullying Mange anaongoza na ndio maana anatetea na uteteaji wake anajua labda kiblog chake kitafungwa! anaongelea habari za freedom of speech eti marekani wanairusuhusu hajui ukimuandika mtu kwa habari za uongo hapa marekani akikushitaki anakufunga na fine juu! Aaangalie mifano ya kina Dwight Howard alimwambia baby momma wake asimtaje sehemu yoyote yani iwe anaongelea jwa uzuri au ubaya na akajisahau sijui akamtaja sasa Dwight kam sue na atamlipa kama bado hajamlipa! Mke wa Michael Jordan haruhusiwi kutaja jina lake sasa huyu chizi maarifa anaandika gazeeeti na kuna watu humu kwa great thinkers wanam support yote hiyo kisa Mwamvita, ajipange tuu akawa influence wale wapuuzi wenzie
 
Umeamua kutisha watu sasa, Mkuu uoni mapungufu ya hii sheria mfano police kukagua simu au pc ya mtu bila court order?!
USA ndivyo wanafanya insp wa polisi anaweza fanya hivyo ? Unajua insp ni cheo kidogo sana Kwa polisi?yaani ndio amepewa mamlaka makubwa hivyo Na hiyo sheria?
Watu wanapinga clause Za hiyo Bill
 

ndo hilo nililosema mie mfano hapo kwenye post yake kamuingiza shamim kua mmewe muuza ssmbe jamani kwa style hii tukiletewa sheria km hizi kali tunajifanya kutafuta sympathy
yaweza kua mbaya ila kwa watu km mange mi ht ikipitishwa sisemi
maana blog yake ni centre ya matusi kwa wadada wenzie
 
Sawa lakini hawa ccm dot com wana take advantage ya team hizi kuwafunga midomo wananchi!! Mfano mzuri mss tz fake bila watu kushikamana si angecheat kiulauni maana umoja ni nguvu mpaka ushaidi ukapatakini haya likaja scandal ya epa mara escrow na mengine mengi wanaogopa yatajitokeza!
 
We are living in fear sababu ya hawa blogger uchwara. Mi naunga mkono sheria. Poleni sana mliotamani msipite has wadau mnautouuweka mjini mpaka tunaposti hivi. Sasa kazi kwenu wenye ID nyingi nyingi mtahara mwaka huuu maan JF ndo inasepa hivyo
 
Duh hivi hizi blogs kweli huwa zinathamani?? Mbona zinaandikiwa hati ya hovyo hivyo??

Anyways no comment!!!
 
Tatizo watu wanaangalia nani kasema nini ndo wana judge hii point or pointless
 

Tutakua tunadanganywa halafu hatuna pa kusemea....lol ..
 

Hakuna mswada wa dharula wa madwa ya kulevya mfano...bado nao faini unakute 5 m...

he he he...wanaogopa midomo kuliko madhara ya madawa ya kulevya...

Nilimfuatilia Melo BBC..inasikitisha...maana kama wanasema hakuna kuandika chochote bila kuwa na evidence haya mambo ya EPA na Escrow tusingeyajua kama say hii sheria ingekuwa imepitishwa miaka kadhaa ilopita...

Why umpe burden of proof mwananchi wa kawaida..hacha umbea utembee afu serikali ipate kibarua cha ku prove innocence...

Kuna sheria ya right to information (kama niko sahihi) basi nayo iwe implemented kwa serikali kulazimishwa kuwa wazi pindi wananchi wanapotaka taharifa ...maana isije kuwa danganya toto...wakitaka kuficha info wanakimbilia issue ya usalama wa taifa...

Hamna shida...ukweli siku zote una njia ya kujitokeza...
 
Na kupima uelewa wa wa TZ ulivyo mdogo watu wameupenda huu mswada eti sababu ma miss sijui Bongo movie hawatatukanwa...like serious...ndio maana tunazidi kuwa masikini...

Tunaacha kuangalia madhara kiuchumi na umasikini wetu tunawafikiria watu walioamua wenyewe kuanika maisha yao kwenye mitandao....
 

- Something had to be done tumeishi bila hizi sheria all our life matokeo yake yalikuwa ni abuse, Tanzania tulishafikia hatua ya kuongoza Duniani kwa Social MEdia Abuse now Serikali inaamua kufanya kazi yake kuna watu mnalia lia yaani mtumzima na akili timamu unaandika article kubwa na mapicha ya watu kisa unalilia HAKI ya kutukana watu bila sababu that is a shame, wale wote mnaolia lia mnalillia only one thing HAKI ya kutukana wengine katika jamii that is sad,

- Mimi watu wote ninaowajua watukana matusi mitandaoni huwa ninawadharau sana na huwa hata sipotezi muda wangu hata kuwasemesha cause na mimi nitakuwa mjinga kama wao, hakuna anayekukataza kusema anything na Sheria ila unatakiwa kusema na RESPONSIBLITY that is all, mimi sijawahi in my life kukurupuka bila FACTS au EVIDENCE kwenye mitandao, na ndio maana wala sina wasi wasi na hii sheria cause nikiamua kumtwanga kiongozi yoyote wa Siasa nitafanya tena bila tatizo kwa sababu siku zote huwa ninakuwa na FACTS ambazo hata yule kiongozi hawezi kushindana nazo hata awe na nguvu vipi,

- Guys badilikeni muanze kuandika na RESPONSIBILITY, wale wote mnaolia lia poleni sana ila this Law is just great at its heart ni from now on mnatakiwa kuandika with RESPONSIBILITY that is all!!

Le Mutuz
 
Ndio maana kuna watu kama CAG...tunaanza na tetesi na debate ikiwaka bungeni CAG anachunguza kama kuna facts na evidence...

Sasa unataka whistle blowers waje na facts na wajitaje kwa kuw utawa protect?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…