cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Kumekucha na hili jambo.
Kuna username humu jf topic fulani zikitokea weee utaona hiyo/hizo utetezi hadi wanataka kuparamia mawingu yasaidie kuwazungusha...unajua tu nini ni nini. Na mtu atakavyokazania hata kukubali kiduchi hakuna bali asimamie ile point iliyorushwa na anayeongelewa.
Mmh kabla hujajiuliza mie nimetokea wapi...cheki lini nimejiunga jf...