nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Tatizo CCM wanajichukulia kama wana hati miliki ya kutawala hii nchi...
Hawajui kuwa inawezekana kufikia November nchi hii inakuwa chini ya Ukawa na wao kuwa upinzani...
Hapo ni kuwatengenezea 'Ukawa' mazingira ya kuwa mafisadi bila kuguswa...(no wonder walikaa kimya wakati wa huu mswada)
Ndio mana wataalamu wanasema sheria inabidi iwe fair maana hujui itamshugulikia nani siku za usoni...(prisoner's dilemma)
Ndio maana kuna watu kama CAG...tunaanza na tetesi na debate ikiwaka bungeni CAG anachunguza kama kuna facts na evidence...
Sasa unataka whistle blowers waje na facts na wajitaje kwa kuw utawa protect?
Tatizo CCM wanajichukulia kama wana hati miliki ya kutawala hii nchi...
Hawajui kuwa inawezekana kufikia November nchi hii inakuwa chini ya Ukawa na wao kuwa upinzani...
Hapo ni kuwatengenezea 'Ukawa' mazingira ya kuwa mafisadi bila kuguswa...(no wonder walikaa kimya wakati wa huu mswada)
Ndio mana wataalamu wanasema sheria inabidi iwe fair maana hujui itamshugulikia nani siku za usoni...(prisoner's dilemma)
- Watu mnaotetea wananchi kutukanwa bila sababu mkishika nchi mimi nitahama nchi, hahahahahah eti mtashika nchi ipi hiyo?
Le Mutuz
- Something had to be done tumeishi bila hizi sheria all our life matokeo yake yalikuwa ni abuse, Tanzania tulishafikia hatua ya kuongoza Duniani kwa Social MEdia Abuse now Serikali inaamua kufanya kazi yake kuna watu mnalia lia yaani mtumzima na akili timamu unaandika article kubwa na mapicha ya watu kisa unalilia HAKI ya kutukana watu bila sababu that is a shame, wale wote mnaolia lia mnalillia only one thing HAKI ya kutukana wengine katika jamii that is sad,
- Mimi watu wote ninaowajua watukana matusi mitandaoni huwa ninawadharau sana na huwa hata sipotezi muda wangu hata kuwasemesha cause na mimi nitakuwa mjinga kama wao, hakuna anayekukataza kusema anything na Sheria ila unatakiwa kusema na RESPONSIBLITY that is all, mimi sijawahi in my life kukurupuka bila FACTS au EVIDENCE kwenye mitandao, na ndio maana wala sina wasi wasi na hii sheria cause nikiamua kumtwanga kiongozi yoyote wa Siasa nitafanya tena bila tatizo kwa sababu siku zote huwa ninakuwa na FACTS ambazo hata yule kiongozi hawezi kushindana nazo hata awe na nguvu vipi,
- Guys badilikeni muanze kuandika na RESPONSIBILITY, wale wote mnaolia lia poleni sana ila this Law is just great at its heart ni from now on mnatakiwa kuandika with RESPONSIBILITY that is all!!
Le Mutuz
Hakuna mswada wa dharula wa madwa ya kulevya mfano...bado nao faini unakute 5 m...
he he he...wanaogopa midomo kuliko madhara ya madawa ya kulevya...
Nilimfuatilia Melo BBC..inasikitisha...maana kama wanasema hakuna kuandika chochote bila kuwa na evidence haya mambo ya EPA na Escrow tusingeyajua kama say hii sheria ingekuwa imepitishwa miaka kadhaa ilopita...
Why umpe burden of proof mwananchi wa kawaida..hacha umbea utembee afu serikali ipate kibarua cha ku prove innocence...
Kuna sheria ya right to information (kama niko sahihi) basi nayo iwe implemented kwa serikali kulazimishwa kuwa wazi pindi wananchi wanapotaka taharifa ...maana isije kuwa danganya toto...wakitaka kuficha info wanakimbilia issue ya usalama wa taifa...
Hamna shida...ukweli siku zote una njia ya kujitokeza...
- Watu mnaotetea wananchi kutukanwa bila sababu mkishika nchi mimi nitahama nchi, hahahahahah eti mtashika nchi ipi hiyo?
Le Mutuz
Kinacho nishangaza mimi ni kwamba hii nchi inamatatizo 1000 kidogo, lakini hii sheria ya cybercrime ndio imeonwa ya maana saana ikimbizwe chap chap kusainiwa.
Nchi miundo mbinu mibovu, kukinyesha kidogo barabara hazipitiki, je kuna sheria imepitishwa haraka haraka wajenzi wa hizi barabara zisizodumu wapigwe fine na kunyimwa contract?
Elimi ya Tanzania is on a free fall. Tunaongeza tu madaraj ya kufeli now tuna mpaka Div 5. The quality of education is falling year after year. Private schools zimeshamiri lakini shule za Serikali zinazorota lakini hakuna anayewajibika wa kiwajibishwa from Mawaziri to Walimu. Hakuna sheria ya viongozi hawa kuwajibishwa maana wapo kazini je wanafanya kazi je, ni nani huwafanyia appraisal? Huwa wanasema wameachieve nini year after year?
Afya ndio usiseme. Yaani hii inatia huruma. Wenye hela including Rais wanaenda kutibiwa Marekani na India, meanwhile Muhimbili is struggling.
Tanzanian shilling is also on a free fall because hatuzalishi tuuze nje sisi ni kuimport tu, nchi kubwa namna hii.
Albino's are being killed for how long now? at least 4 years this is continuosly being reported on BBC. How many people have been convicted by now? And how long did it take for JK and his government to outlaw waganga?
But watu wako concerned na kutukanwa mitandaoni.
Why arent they in a hurry to pass a law to make every leader and people in position of power accountable ndio ufisadi uwe unakuwa easily exposed. Nchi imekithiri ufisadi, madawa y akulevya yamekithiri wauzaji madawa hawaogopi tena. Na hii nchi yetu inaambiwa eti kuna wasomi. Le Mutuz I respect you bro, but hii akili kubwa unaiongeleaga sana, you need to look outside social media pia. Tanzania has better things to focus on.
Kuna mahali nilisoma mtu kasema "In Tanzania some of the most educated people, are the most stupid people"
Please put your personal issues with Mange aside and discuss the entire law. It doesn't say only about to publish story/ news without evidence, it includes a lot about shutting Tanzanian up and it protect only leaders( Wala rushwa and drug dealers).
It gives authorities to police officers to inspect someone belongings eg phone, house etc without court order.
It also stop Tanzanian to criticise their government.
This is pure dictatorship country, I know you are talking from political views because you're One of them.
If you like your country you could have seen this is not right at all.
Ni kweli kabisa hii sheria inahitaji marekebisho makubwa mno, watu wengi wana comment kwa chuki zao walizonazo kwa Mange, but the issue ingekuwa addressed na different person ingepokelewa tofauti. Amka Tanzanian, siasa ya bongo ipo kidictator now.
Le Mutuz yy ni mtoto wa former prime minister, na kila cku anagombea ubunge cjii vitu gani. Ni hajabahstiks tuu, siku akifanikiwa atakuwa worse even Riidhwan au January. Point ni kuwa hawezi kuona tatizo ya hii sheria, anajua at some point atakuwa kiongozi tuu so lazima aitee ije kumlinda.
Watanzania someni hiyo sheria vizuri na mchambue kipengele kimoja baada ya kingine badala ya kushikilia matusi ya Mange. Kipengele cha matusi kinaweza kikabaki, Vp kuhusu vipengele vya kuwapa police officers mamlaka zaidi ya mahakama. Vp khs wananchi ku access documents za serikali na kuikosoa serikali, mana tusingejua kuhusu Escorl na mengi yanayoendela kimya kimya. Ridhwani kamaliza masters si zaidi ya miaka kumi now ni millioner, tunataka kujua anepata wapi hizo hela, km si kushitikiana na baba yake kuchakachua nchi.
Kinacho nishangaza mimi ni kwamba hii nchi inamatatizo 1000 kidogo, lakini hii sheria ya cybercrime ndio imeonwa ya maana saana ikimbizwe chap chap kusainiwa.
Nchi miundo mbinu mibovu, kukinyesha kidogo barabara hazipitiki, je kuna sheria imepitishwa haraka haraka wajenzi wa hizi barabara zisizodumu wapigwe fine na kunyimwa contract?
Elimi ya Tanzania is on a free fall. Tunaongeza tu madaraj ya kufeli now tuna mpaka Div 5. The quality of education is falling year after year. Private schools zimeshamiri lakini shule za Serikali zinazorota lakini hakuna anayewajibika wa kiwajibishwa from Mawaziri to Walimu. Hakuna sheria ya viongozi hawa kuwajibishwa maana wapo kazini je wanafanya kazi je, ni nani huwafanyia appraisal? Huwa wanasema wameachieve nini year after year?
Afya ndio usiseme. Yaani hii inatia huruma. Wenye hela including Rais wanaenda kutibiwa Marekani na India, meanwhile Muhimbili is struggling.
Tanzanian shilling is also on a free fall because hatuzalishi tuuze nje sisi ni kuimport tu, nchi kubwa namna hii.
Albino's are being killed for how long now? at least 4 years this is continuosly being reported on BBC. How many people have been convicted by now? And how long did it take for JK and his government to outlaw waganga?
But watu wako concerned na kutukanwa mitandaoni.
Why arent they in a hurry to pass a law to make every leader and people in position of power accountable ndio ufisadi uwe unakuwa easily exposed. Nchi imekithiri ufisadi, madawa y akulevya yamekithiri wauzaji madawa hawaogopi tena. Na hii nchi yetu inaambiwa eti kuna wasomi. Le Mutuz I respect you bro, but hii akili kubwa unaiongeleaga sana, you need to look outside social media pia. Tanzania has better things to focus on.
Kuna mahali nilisoma mtu kasema "In Tanzania some of the most educated people, are the most stupid people"
Haya yote yatafanikiwa ikiwa watu wana power ya kuongea, mana sasa ukiikosoa serikali ikiwa unasema kweli lkn huna evidence ni kosa.
Unaona mtu anakosea, na anatoa utetezi wa kijinga ukimwambia ni kosa.
Mfano ni hayo ya miundo mbinu, watu wanapewa tenda kwa kujuana na matokeo yake tunajengewa barabara chini ya kiwango, magorofa yanabomoka. Ukipaisha sauti juu kulalamika, utaulizwa una ushahidi tenda ilitolewa kwa kujuana. Ushahidi utakosekana ila ni tabia zilizozoeleka.
Kifupi, hili la kuwafunga watu midomo litaathiri mambo mengi na nchi itarudi nyuma zaidi ya hapo ilipo
Itakuwa heri kweli ukihama ila uende nchi za kiafrika at least matumizi hayatakuwa makubwa. Mana ukae nchini au uhame ww na family yako mnakula heka za walipa kodi za watanzania.
- Mkuu ungeachana na chuki zako kwa CCM na Serikali ungeweza ukaandika vizuri sana, halafu huyu mtu unayemtaja taja kwamba ndiyo chanzo cha maoni ya watu hapa ni nani hasa? Amewahikufanya nini cha ajabu mpaka unadhani watu wanamchukia mpaka kuwa na maoni ya kupenda Sheria mpya ni nani huyo MWanaume au Mwanamke anafanya nini na yupo wapi hapa Tanzania?
- Wewe sasa ni kiranja wa JF kwamba unajua kila member hapa na sababu inayomfanya kuwa na mawazo tofauti na yako, nani a;liyekupa huo ukiranja? Mimi ningekuwa naogopa anything nisingeingia kwa jina langu hapa, wewe ndio muongo na muoga ndio maana unaingia kwa kujificha ficha unaogopa nini na wewe unasema ukweli? Tuliza boli Watanzania tumeisoma hiyo Sheria haihitaji anything ila kutumika tu, halafu tizama unarudia yale yale yanayokataliwa na Sheria ya uzushi,
- Ridhiwani MWanasheria aliyebobea akitokea IMMA Advocates ambako washiiriki wote huko ni matajairi hata kabla JK hajawa Rais, leo unaleta majungu majungu tu hapa niambie ni MWanasheria gani hapa mjini ambaye ni wa kujitegemea kama Ridhiwani ni masikini? Baba yako hakwenda shule sio kosa letu, tulia mkuu pigana na maisha wacha majungu majungu Ridhiwani ni Mwanasheria wa kujiteegemea na ana ofisi yake ulitegemea awe masikini kwa vipi? Na hawa Wanasheria wengine matajiri hapa mjini baba zao ni marais?
- MKUU FUATA SHERIA MPYA BILA HIVYO UTAISHIA JELA U KNOW
Le Mutuz
Hata kwenye developed countries, lawyers are not that rich. Mwache aje ajijibie badala ya ww kuwa kibaraja wake.
Mm sio kiranja na sitokuwa, km mtanzania lazima nisene ukweli SHERIA MPYA NI YA KI DICTACTOR, ITAWALINDA LE MUTUZ NA WENZIE NA SIO MWANANCHI WA KAWAIDA.
Ww na viongozi wenzio mlojivika madaraka yote hamuitakii heri Tanzania. Na wishes zako za wasioitaka hiyi sheria mpya waende Rwanda, soon Tanzania itageuka Rwanda kwa mtindo huu maba watu wamechoka kuburuzwa.
Huyu dada ameongea point sana. Ata kama ana mapungufu yake ila hapa amesimama kama mtanzania anaetakia mema nchi yake. Ifike October UKAWA ishike hatam