Kinacho nishangaza mimi ni kwamba hii nchi inamatatizo 1000 kidogo, lakini hii sheria ya cybercrime ndio imeonwa ya maana saana ikimbizwe chap chap kusainiwa.
Nchi miundo mbinu mibovu, kukinyesha kidogo barabara hazipitiki, je kuna sheria imepitishwa haraka haraka wajenzi wa hizi barabara zisizodumu wapigwe fine na kunyimwa contract?
Elimi ya Tanzania is on a free fall. Tunaongeza tu madaraj ya kufeli now tuna mpaka Div 5. The quality of education is falling year after year. Private schools zimeshamiri lakini shule za Serikali zinazorota lakini hakuna anayewajibika wa kiwajibishwa from Mawaziri to Walimu. Hakuna sheria ya viongozi hawa kuwajibishwa maana wapo kazini je wanafanya kazi je, ni nani huwafanyia appraisal? Huwa wanasema wameachieve nini year after year?
Afya ndio usiseme. Yaani hii inatia huruma. Wenye hela including Rais wanaenda kutibiwa Marekani na India, meanwhile Muhimbili is struggling.
Tanzanian shilling is also on a free fall because hatuzalishi tuuze nje sisi ni kuimport tu, nchi kubwa namna hii.
Albino's are being killed for how long now? at least 4 years this is continuosly being reported on BBC. How many people have been convicted by now? And how long did it take for JK and his government to outlaw waganga?
But watu wako concerned na kutukanwa mitandaoni.
Why arent they in a hurry to pass a law to make every leader and people in position of power accountable ndio ufisadi uwe unakuwa easily exposed. Nchi imekithiri ufisadi, madawa y akulevya yamekithiri wauzaji madawa hawaogopi tena. Na hii nchi yetu inaambiwa eti kuna wasomi. Le Mutuz I respect you bro, but hii akili kubwa unaiongeleaga sana, you need to look outside social media pia. Tanzania has better things to focus on.
Kuna mahali nilisoma mtu kasema "In Tanzania some of the most educated people, are the most stupid people"