Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #61
MxiiiuMoney penny itakuwa una akili kama za Sachiworld.
Imekupata hii.Mxiiiu
Mjanjaa wa wap... Ww wakuja unaonekana bado unapenda kiki... Sasa nkujue utanisaidia nn na mambo unayo ya discuss n ya kinyaluu... Eti huja mfollow mangee.. Sijui diamond.. Sijui na hao wengine Eti ww unafollow kina Beyonce sasa ndo nn...vitu vingine piga story mtaani kwenu uko kama cjataka kujua ulivo viandika... Sasa kama sio Ushamba unaona n nn... Ww money pennyN
NeNena www.moneypennytz.com utajua kama mshamba au mjanja jinsi gan ulivyo bush man ungekuwa wa mjini ungeshamjua money penny kaanzia wap
Nah..!! Amna alienuna Humu...wote wanashangaa Ukoo wa nabii Titto On[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji125][emoji125]Wamenisaidia nimeingiza hela mjini Dar
Vepe kwan kuna mtu kanuna?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lakini wewe kutwa unatutag ma link yako ya ajabuajabu
Anko anapenda ushilawadu huyu kwahiyo nae anasomaNa Uncle Mheshimiwa Raisi wetu wa awamu ya 5 pia anasomaga kwenye website yangu kabla hajalala usiku ndio mana kwenye website yangu siweki matusi
Hata Kakangu Mheshimiwa Makonda nae anasomaga kwa website yangu kwa habari nilizopokea chini ya kapeti toka kwa snitches
Hehehe atupe kaziKwahiyo sisi tuliowafollow ndio hivyo tena hatuna kazi asante kwa taarifa
nani huyo tenaa?Ulaaniwe sana, kuna mtu umemtaja na kuharibu maana yote ya uzi wako
mshamba mimi?Money penny... Ndo nani anaonekana ni mshamba...
my dia labda nikueleze kwa kidhunguAcha uswahili ww ndio walewale wanaojiita geti kali wakiwa Maisha club anyway uhuru wa manyani.
HAHAHAHAHA unamwongelea nani sasa shemeji?!
kwasababu wabongo ndio wameanza 0 lakini kwa time waliochukua kuwa celebs hakuna walichotengeneza kinachomfanya mtz anaetaka kuwa msanii ajifananishe nao!hao uliofallow wa Marekani akina Beyonce, Jannet Jackson et el, kwani siyo macelebs?
Maana umesema uko busy na maisha kuliko kufuatilia ma celebs wakati hapo hapo unadai mkiwa na rafiki zako mnazungumzia akina Jay z, beyonce, n.k...
Hongera lakini sijui hii mentality ya kuhisi ukiwa wafuatilia wasanii wa mbele hasa Marekani hufuatilii wa Tanzania basi wewe unakuwa level ya juu siyo inatokana na nini.
AJIRA MNAZO WENYEWE KAMA UNAWEZA KUWEKA INTERNMET UKAMFOLLOW CELEB WA BONGO basi unaweza kufukiria mbali ya hapoHehehe atupe kazi
ahahaha google bro!Huyo Dolly Pardon na yeye ni wa Marekani au Kenya?
nimesema yangu ya moyoni... vepe kwan kuna mtu kanuna?Sasa kama huwafolow inatuhusu nini?
We unafaa kuolewa na le kokobanga mutu ya watu le king of social media le super mutuz mana swaga zako ni za mbelez kama yeye u know!Kusema ukweli sijui ni marafiki nilionao au hata sielewi lakini hauwezi amini mimi money penny sijawahi KUMFOLLOW Mange Kimambi Instagram wala Facebook wala twitter
Diamond platnumz sijawahi KUMFOLLOW instagram wala Facebook wala twitter zaidi ya kula karanga na kuskiza mziki kwenye gari ya dereva was ofisini kwa mume
Ali Kiba nampenda sana mimi ni team Kiba lakini sijawahi KUMFOLLOW sijui instagram wala Facebook wala twitter sijui Snapchat
Hizo social media zote ninazo na kila. Siku lazima niingie kuperuz ila hawa watu kuwafollow haijawahi kunitokea kabisaa
Wema sijawahi KUMFOLLOW
Lulu sijawahi KUMFOLLOW
Wolverhampton stylish sijawahi KUMFOLLOW
Shihi baby... snura. .. anti ezekiel. ..moze iyobo... Zari... Hamisa...clouds media grup... efm... wasafi crew... sijawahi kuwafollow hate siku 1
Mimi nipo more focused na celebrity was marekani na uingereza hasa blacks kidogo wale wananipa kitu cha kuwafollow
Mimi na marafiki zangu tukikaa hautaskia tunaongelea bongo movie wala platnumz sijui zari sijui hamisa never tunaongelea Janet Jackson... Beyonce. ..JayZ. .. BET CREW... LONDON CREW... maraisi wa dunia... Raisi Wangu Mh. MAGUFULI na crew yake eeh... waandishi akina Daniel Steel na wengine wengi.... wanamziki akina Producer mume wa Alicia Keys... Trace Elis Ross... Diana Ross... Celine Dione... P.Diddy... Mary Mary singers... Dolly Pardon...watu ambao ukiwaangalia leo unajjifunza kitu...watu interesting ndio tunadiscuss sio vinginevyo ... Kwanzaa nikiliamsha kudiscuss Platnumz kila mtu anaaga anaondoka mana mmekosa cha kuongea
Mwenzangu niko na wakati mzuri at the same time naweza sema mgumu. .. Ni sawa kuwafollow raia was Kenya lakini haumfuatilii Msaniii hata mmoja wa Kenya unafuatilia was Tz
Tupo buzy na maisha than chasing celebrities ambao hawaniongezei chochote kwenye maisha yangu
Mange Kimambi namfahamu na nampenda sana Kwanzaa yeye ni March Baby mwenzangu ila walaaa sijawahi mfollow zaidi ya kumsoma wakimuandika jamii forum sio follower wake!
Wabongo wanamuda jamaani. .. tujaribu kudiscuss vitu vya maendeleo zaidi hao mnaowadiscuss mnawaingizia fedha alafu unatoka kapa si bora udiscuss mtu ukamwingizia hela inakusaidia kujifunza kitu ukapata idea ukatengeneza kitu kikakuingizia pesa ambayo haukutegemea na idea unique...
Ni hayo.tu kuhusu mie Money Penny
Wasaniii wote wa tz nawapenda ila sijawahi kuwafollow kiviiile kama watz wenzangu wanavyofollow hawalali