Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Kusoma threads za mange, kiba, mondi and the like ni sawa na kuwa follow unknowingly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma tena uziHapa sijaelewa yaani kuwa follow bongo celebrities ni kupoteza muda wa Kutafuta pesa ila macelebrities wa mbele huko hawakupotezei muda wa Kutafuta pesa. Umejikoroga yakhe
Nimekupenda bureKusoma threads za mange, kiba, mondi and the like ni sawa na kuwa follow unknowingly
Mume Wang unamtaka WA nini?!Bora hata mimi ninamwambiaga Da mange hide my ID ila sio kwenye mambo ya kina Diamond na kina Kiba100 ila kwa kweli huwa nikiwakuta vijana wanawadiscus huwa nawaomba hivi,hakuna mwanamuziki wa bongo ambaye anakula hela ya muziki tu na akaishi mujini.Wengi huwa wanaliwa kwanza wao halafu ndo na wao waweze kula.Ila tuaache utani kuwajadili watu huwa inaboa sana ila ndo hivo sasa vyuma viko tight,inabidi tena.Nafikiri ndo maana umeandika uzi mrefu hivi na mimi nikongeza ndefu kdogo.Ila huyo mumeo na dereva wake mbona kama sikuamini amini vile,Unamtaja dereva kwa msisitizo kuliko mmeo
Mengi tu mamaMi nilidhaniaga unawapelekea mastory wasome,,kwani hao wamarekan wanakupa maendeleo
Mange ni naniiMengi tu mama
Kasome marketing team ya Beyonce YouTube na ya Taraji P Henson utazimia
Bado haujaja ya Celine dion na Lionel Richie utalia hautalala usingizi
Kamwulize si yupo insta atakuambia ni naniMange ni nanii
Siwapelekei watapelekewa na wengine hio sio kazi yanguMi nilidhaniaga unawapelekea mastory wasome,,kwani hao wamarekan wanakupa maendeleo
Hahahahah...eti mungu poriHaya bwana mungu pori
Na Uncle Mheshimiwa Raisi wetu wa awamu ya 5 pia anasomaga kwenye website yangu kabla hajalala usiku ndio mana kwenye website yangu siweki matusiMi nilidhaniaga unawapelekea mastory wasome,,kwani hao wamarekan wanakupa maendeleo
Muda si mrefu utakuwa mkuu wa wilayaNa Uncle Mheshimiwa Raisi wetu wa awamu ya 5 pia anasomaga kwenye website yangu kabla hajalala usiku ndio mana kwenye website yangu siweki matusi
Hata Kakangu Mheshimiwa Makonda nae anasomaga kwa website yangu kwa habari nilizopokea chini ya kapeti toka kwa snitches
Lazima asome,,jf nzi,a tunakusomaSiwapelekei watapelekewa na wengine hio sio kazi yangu
Ila niliskia lulu kabla hajaenda jela alikuwa anasoma
NashukuruLazima asome,,jf nzi,a tunakusoma
Haina manaDiamond Ana followers Mil4 alafu Alikiba ana followers Mil2.6 pia Mange Kimambi ana followers Mil1.6 ....sasa hapo ata ukimfollow ...mtu yeyote hapo..akuna atakeyekufahamu ...maana follow yako moja akuna utakacho muongezea...zaid zaid nikumjazia hewa ya kabondayoksaidi
Sio nitampa Mange kitu cha kuandika nikikamatwa?!Muda si mrefu utakuwa mkuu wa wilaya