Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #41
Inferiority complex kutomfollow mange na mondi? ! Doh kweli kazi unayoKwa jina rahisi tu hii inaitwa inferiority complex plus mentality slave. Period.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inferiority complex kutomfollow mange na mondi? ! Doh kweli kazi unayoKwa jina rahisi tu hii inaitwa inferiority complex plus mentality slave. Period.
Kwahiyo Wewe unafollow misambwanda duh sheddah
Unaforce ...na wewe uonekane upo juu kumbe ..hapo ulipo ni loho ..mkononi.Haina mana
Kwanzaa na follow kipi?! Nikasome nine labda? !
Iyo vocha bora nikasome marketing team ya Beyonce au Taraji P. Henson au Celine Dione au Cardi B inavyofanya kazi
Tena ya ajabu kuliko wema sepetu,,malink meusiiiiiiLakini wewe kutwa unatutag ma link yako ya ajabuajabu
hao uliofallow wa Marekani akina Beyonce, Jannet Jackson et el, kwani siyo macelebs?Ndio watu walionizunguka nafanyaje hawataki kudiscuss celebs wakibongo
This is so practical. CongratsSoma tena uzi
Nikuulize ushamfollow Mfano wema sepetu kuanzia anapokuwa maarufu mpaka sasa alichoachieve kuwa maarufu
Mchukue msanii mpya kama Taraji P. HENSON alipoanza mpaka sasa pima muda utaona ni sawa na wema tu
Au Mchukue mwanamziki Cardi B na Shilole Au Wolper alafu linganisha muda was umaarufu wao na maisha yao ukijumlisha na changamoto walizokutana nazo uone wapo wapi
Msisingizie ulaya mana technology ipo dunia nzima
Linganisha alafu uone kwanini nisipoteze muda kuwafollow celebs za wobongo mana hainilipi!
Bora nijifunze marketing team ya Beyonce inavyofanya kazi kuliko ya Lady Jay Dee nibora nijifunze marketing team ya Taraji P. HENSON (COOKie LION WA EMPIRE) kuliko kucheki team ya Sepenga inavyofanya kazi tuwe realistic jaman Bongo ina mazingirA mazuri ya kutoa vishoka na maendeleo support tunawapa sana sie raia lkn sijui shida iko wap jaman doh
hata hao akina Diamond, Alikiba hata shilole wametoka mbali sana kufikia hapo walipo. wengi wameanza from nothing mpaka leo Watanzania wengi wanawafahamu japo tunawachukulia poa ila wana wainspire watanzania walioko chini hata wasanii wadogo utakuta anataka aimbe afike alipo diamond au alikiba kwakuwa akimtazama diamond alikotoka na alipo anahisi kumbe it is possible.Nenda kaangalie YouTube au wikipedia bibliography ya hao watu walipotoka mpaka sasa na wamefanya vitu gani kwenye maisha na Jamii yao uone kama utalala usingizi wewe!
Kama tu unapenda maendeleo
Haujakosea nipo juu Bro haitakaa ibadilike labda Mungu abadilishe mwenyeweUnaforce ...na wewe uonekane upo juu kumbe ..hapo ulipo ni loho ..mkononi.
Mbea bwana utamjuaTena ya ajabu kuliko wema sepetu,,malink meusiiiiii
Heheheheh imekuchoma thread eeeYani ulivowataja hao inaonekana fika unawajua vzuri sana,,,bado kuwaanzishia Uzi humu ni tayari unawafuatilia
Halafu zile thread zako ni za ovyo zaidi ya kumfollow alikiba,,ahsante
Wamenisaidia nimeingiza hela mjini DarHii Kitale anaitaga SHOBO DUNDO
Hao uliowafollow waliwai kukusupoti
[emoji125]Nimepita
NeNena www.moneypennytz.com utajua kama mshamba au mjanja jinsi gan ulivyo bush man ungekuwa wa mjini ungeshamjua money penny kaanzia wapMoney penny... Ndo nani anaonekana ni mshamba...