Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

Ndio watu walionizunguka nafanyaje hawataki kudiscuss celebs wakibongo
hao uliofallow wa Marekani akina Beyonce, Jannet Jackson et el, kwani siyo macelebs?
Maana umesema uko busy na maisha kuliko kufuatilia ma celebs wakati hapo hapo unadai mkiwa na rafiki zako mnazungumzia akina Jay z, beyonce, n.k...
Hongera lakini sijui hii mentality ya kuhisi ukiwa wafuatilia wasanii wa mbele hasa Marekani hufuatilii wa Tanzania basi wewe unakuwa level ya juu siyo inatokana na nini.
 
Soma tena uzi

Nikuulize ushamfollow Mfano wema sepetu kuanzia anapokuwa maarufu mpaka sasa alichoachieve kuwa maarufu

Mchukue msanii mpya kama Taraji P. HENSON alipoanza mpaka sasa pima muda utaona ni sawa na wema tu

Au Mchukue mwanamziki Cardi B na Shilole Au Wolper alafu linganisha muda was umaarufu wao na maisha yao ukijumlisha na changamoto walizokutana nazo uone wapo wapi

Msisingizie ulaya mana technology ipo dunia nzima

Linganisha alafu uone kwanini nisipoteze muda kuwafollow celebs za wobongo mana hainilipi!

Bora nijifunze marketing team ya Beyonce inavyofanya kazi kuliko ya Lady Jay Dee nibora nijifunze marketing team ya Taraji P. HENSON (COOKie LION WA EMPIRE) kuliko kucheki team ya Sepenga inavyofanya kazi tuwe realistic jaman Bongo ina mazingirA mazuri ya kutoa vishoka na maendeleo support tunawapa sana sie raia lkn sijui shida iko wap jaman doh
This is so practical. Congrats
 
Nenda kaangalie YouTube au wikipedia bibliography ya hao watu walipotoka mpaka sasa na wamefanya vitu gani kwenye maisha na Jamii yao uone kama utalala usingizi wewe!

Kama tu unapenda maendeleo
hata hao akina Diamond, Alikiba hata shilole wametoka mbali sana kufikia hapo walipo. wengi wameanza from nothing mpaka leo Watanzania wengi wanawafahamu japo tunawachukulia poa ila wana wainspire watanzania walioko chini hata wasanii wadogo utakuta anataka aimbe afike alipo diamond au alikiba kwakuwa akimtazama diamond alikotoka na alipo anahisi kumbe it is possible.
 
Yani ulivowataja hao inaonekana fika unawajua vzuri sana,,,bado kuwaanzishia Uzi humu ni tayari unawafuatilia

Halafu zile thread zako ni za ovyo zaidi ya kumfollow alikiba,,ahsante
Heheheheh imekuchoma thread eee
Ndio Nyie Nyie tunawasaidia
Maisha Ni zaidi ya social media
 
Back
Top Bottom