Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

Bora hata mimi ninamwambiaga Da mange hide my ID ila sio kwenye mambo ya kina Diamond na kina Kiba ila kwa kweli huwa nikiwakuta vijana wanawadiscus huwa nawaomba hivi, hakuna mwanamuziki wa bongo ambaye anakula hela ya muziki tu na akaishi mujini. Wengi huwa wanaliwa kwanza wao halafu ndo na wao waweze kula.

Ila tuaache utani kuwajadili watu huwa inaboa sana ila ndo hivo sasa vyuma viko tight,inabidi tena.Nafikiri ndo maana umeandika uzi mrefu hivi na mimi nikongeza ndefu kdogo.Ila huyo mumeo na dereva wake mbona kama sikuamini amini vile,Unamtaja dereva kwa msisitizo kuliko mmeo
 
Hapa sijaelewa yaani kuwa follow bongo celebrities ni kupoteza muda wa Kutafuta pesa ila macelebrities wa mbele huko hawakupotezei muda wa Kutafuta pesa. Umejikoroga yakhe
Soma tena uzi

Nikuulize ushamfollow Mfano wema sepetu kuanzia anapokuwa maarufu mpaka sasa alichoachieve kuwa maarufu

Mchukue msanii mpya kama Taraji P. HENSON alipoanza mpaka sasa pima muda utaona ni sawa na wema tu

Au Mchukue mwanamziki Cardi B na Shilole Au Wolper alafu linganisha muda was umaarufu wao na maisha yao ukijumlisha na changamoto walizokutana nazo uone wapo wapi

Msisingizie ulaya mana technology ipo dunia nzima

Linganisha alafu uone kwanini nisipoteze muda kuwafollow celebs za wobongo mana hainilipi!

Bora nijifunze marketing team ya Beyonce inavyofanya kazi kuliko ya Lady Jay Dee nibora nijifunze marketing team ya Taraji P. HENSON (COOKie LION WA EMPIRE) kuliko kucheki team ya Sepenga inavyofanya kazi tuwe realistic jaman Bongo ina mazingirA mazuri ya kutoa vishoka na maendeleo support tunawapa sana sie raia lkn sijui shida iko wap jaman doh
 
Bora hata mimi ninamwambiaga Da mange hide my ID ila sio kwenye mambo ya kina Diamond na kina Kiba100 ila kwa kweli huwa nikiwakuta vijana wanawadiscus huwa nawaomba hivi,hakuna mwanamuziki wa bongo ambaye anakula hela ya muziki tu na akaishi mujini.Wengi huwa wanaliwa kwanza wao halafu ndo na wao waweze kula.Ila tuaache utani kuwajadili watu huwa inaboa sana ila ndo hivo sasa vyuma viko tight,inabidi tena.Nafikiri ndo maana umeandika uzi mrefu hivi na mimi nikongeza ndefu kdogo.Ila huyo mumeo na dereva wake mbona kama sikuamini amini vile,Unamtaja dereva kwa msisitizo kuliko mmeo
Mume Wang unamtaka WA nini?!
Hanaga hate muda WA kuskiza miziki ya bongo
Anaskilizaga akin old school akina Celine. .. akina Madonna akina Dolly Pardon akina Michael Jackson... akina M people eh akin Lionel Richie

Kibongo bongo zile zilipendwaaa

Mume Wang achana nae huchelewi kumpitisha kwa Mange bure mkaanza kutudiscuss
 
Mi nilidhaniaga unawapelekea mastory wasome,,kwani hao wamarekan wanakupa maendeleo
Mengi tu mama
Kasome marketing team ya Beyonce YouTube na ya Taraji P Henson utazimia

Bado haujaja ya Celine dion na Lionel Richie utalia hautalala usingizi
 
Mi nilidhaniaga unawapelekea mastory wasome,,kwani hao wamarekan wanakupa maendeleo
Na Uncle Mheshimiwa Raisi wetu wa awamu ya 5 pia anasomaga kwenye website yangu kabla hajalala usiku ndio mana kwenye website yangu siweki matusi

Hata Kakangu Mheshimiwa Makonda nae anasomaga kwa website yangu kwa habari nilizopokea chini ya kapeti toka kwa snitches
 
Muda si mrefu utakuwa mkuu wa wilaya
 
Diamond Ana followers Mil4 alafu Alikiba ana followers Mil2.6 pia Mange Kimambi ana followers Mil1.6 ....sasa hapo ata ukimfollow ...mtu yeyote hapo..akuna atakeyekufahamu ...maana follow yako moja akuna utakacho muongezea...zaid zaid nikumjazia hewa ya kabondayoksaidi
 
Haina mana
Kwanzaa na follow kipi?! Nikasome nine labda? !

Iyo vocha bora nikasome marketing team ya Beyonce au Taraji P. Henson au Celine Dione au Cardi B inavyofanya kazi
 
Back
Top Bottom