Mange Kimambi, Diamond Platinumz, Ali Kiba; Sijawahi kuwafollow watu hawa

kumbe unaongelea utitiri wa vitu, wenzako hao unaowasema hao wa mbele script ya movie moja analipwa ela ya maana zaidi ya Bilion za Kitanzania
so?!
alianza na bilioni? kaangalia walipoanza kuandika script ndani ya miezi 6 walilipwa bei gani?

afu uje ukae mezani na ulinganishe na yangu uone kama hatukufanana!
 
Money penny.... Mwenzio anajiita money Monday nani Kati ya ww na huyo anajiita izo money money... Au ndio mtu akianza biashara ya kitumbua na mwingine anaanza pia...

But Safi unajitaidi kujiamini utatoboa... Ila next time acha ushamba
wewe ndio mshamba mpaka unafuatil;ia money money

na akili yako imefungiwa ndani ya box ukiamka asbh unakimbilia JF... INSTA... FB... unajiona mjanja!

afu bado unalalamika maisha magumu! Yeeesu nani Mshamba sasa?!

ahahahah wabongo bwana

Uncle Ngosha tunyooshe baba akili bado hazijakaa sawa za watz!
 
Sijamfollow yeyote kati hao na hata akaunti ya insta sina. Lkn usifikiri kila anayemfollow mtu ni kwajili ya kujinufaisha kiuchumi. Wengine are just for intertainment. Hata huko marekani usifikiri wote wanaowa follow celebs wao ni kwajili ya kujifunza market strategy. By the way hongera kwa kuingiza mkwanja kupitia JF but na Mimi kuna angle napiga mkwanja ambazo wewe hupigi.
 
so?!
alianza na bilioni? kaangalia walipoanza kuandika script ndani ya miezi 6 walilipwa bei gani?

afu uje ukae mezani na ulinganishe na yangu uone kama hatukufanana!
hakuna movie Tanzania iliyowahi kuwa na budget hata ya milion 500, sasa we script writter hiyo ela hata million mia akulipe nani... Ombea Industry ikue labda na sioni kama ikikua maana nayo imesimama kama mamovie ya wanaijeria
 
mkuu achana nao,muombe mod waifute hii topic,usi disclose info za watu uliopiga nao business,unakosea,hutakiwi ku prove anything to anyone humu,sana sana watakazana kukuchefua tu
 
hongera

kumbuka time haimsubiri mtu

usiridhike na hela unazopiga sasa... kajifananishe na wenzio wa mbele walioanza hiyo biashara unazopiga kwa wakati wako walitengeneza bei gan na wewe unatengeneza ngapi bro!

ni ushauri tu
 
Tatizo unaongea kwa imagination na sio uhalisia wa mambo.msanii anaingiza pesa kwa mauzo ya kazi,show,endorsments na investments za pembeni,na hivi vyote vinategemeana na uchumi wa nchi husika.ishu sio policies ishu ni mazingira hayafanani so huwezi linganisha.mimi nachokikosoa hapa ni hyo comparison unayoilazimisha
 
mkuu achana nao,muombe mod waifute hii topic,usi disclose info za watu uliopiga nao business,unakosea,hutakiwi ku prove anything to anyone humu,sana sana watakazana kukuchefua tu
wala hata asifute ili wajione walivyo 0!

ngoja nikadiscuss mambo ya hela

thanks hun kumbe na wewe ushaona loop hole kwa hawa matoto ee? ni sheedah i wonder why watu hutafutaga wachumba huku!
ahahahaha Miss Natafuta asibother!
 
haya mhalisia!
 
hongera

kumbuka time haimsubiri mtu

usiridhike na hela unazopiga sasa... kajifananishe na wenzio wa mbele walioanza hiyo biashara unazopiga kwa wakati wako walitengeneza bei gan na wewe unatengeneza ngapi bro!

ni ushauri tu
Ndio mana nikakwambia ni context mbili tofauti sana kati ya ulaya/USA na Africa. Utajiri wa dangote tajiri namba moja Africa huwezi kuulonganisha na buffet aliyewahi kuwa tajiri namba moja USA.
 
mkuu achana nao,muombe mod waifute hii topic,usi disclose info za watu uliopiga nao business,unakosea,hutakiwi ku prove anything to anyone humu,sana sana watakazana kukuchefua tu
Mwache afunguke tuu mkuu ndio raha ya humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…